Kama kuna changamoto yeyote uliyokutananayo wakati unaanza kujifunza chombo cha moto gari, pikipiki tupia hapa, naanza mimi.
Ilikuwa ni kwenye kota za NDC Mitaa ya Masaki, kwenye kota huwa kuna...
Kuna mzee mmoja kanisimulia kwamba miaka ya 1970 gari aina ya Peugeot 404 na 504 ndio zilikuwa habari ya mjini, na wenyewe walizipa jina la utani la 'Guruwe', ila nikasahau kumuuliza nini chanzo...
Range rover za zamani zilikuwa na hadhi ya kiume yani ukiendesha barabarani utasikia mwanaume huyo kapita. Unaweza ukawa na mke wako kwenye kivitz chenu ukamsikia mkeo anakwambia "umemuona...
Habarini wakuu, naomba msaada wa gari tajwa hapo juu. Mimi mgeni kidogo wa hizi gari, je mnaweza kuniambia hii RAV4 uzuri wake na ubaya wake ni manual, na ulaji wake wa mafuta.
Asanteni sana
Natafuta landrover kama hii HAPA
Spec:
1. Isizidi 2,490cc
2. Diesel
3. Right hand
4. Iwe bado haijaanza kutumika TZ
5. Airbag
6. Sunroof
7. Mileage <= 100,000 km
8. Color : Kama ilivyo kwenye...
Habarini wadau, natumai Ijumaa yetu inakuja vizuri.
Natumia gari aina ya Mitsubishi Outlander, week iliyopita nilijaribu kuifunga GPS kwa ajili ya kuikodisha ila tangu ifungwe GPS imeanza...
2006 TOYOTA PREMIO
Reg.Year / Month 2006
Fuel Type PETROL
Engine Size 1,490cc
Transmission Type AT
Drive Type 2WD
Doors 4
No. of Seats 5
Colour SILVER
Air Conditioning
Power Steering
Power...
Pleese naombeni ushauri kati ya hizi gari ipi ambayo inaweza kunifaa kwendea kazini na kurudi , utumiaji wake wa mafuta uwe mdogo
1.brevis
2.toyota Alex
3.Altezz
4.Verosa
Nafikiria kununua na...
Eti kodi ya Toyota Hilux ya mwaka 2012 ilinunuliwa kwa 50 Million Tzs ikaingizwa nchini kwa msamaha. Itakuwa sh ngapi kwa sasa kama mtu akiinunua kutoka kwa mhusika?
Wadau nina gari Toyota L/C Prado Engine 1KZ - CC 4166 matumizi ya diesel yalikuwa lita 1 kwa km. 9 kama mwezi mmoja uliopita kwa sasa hivi inatumia lita 1 kwa km. 5. Naomba mwenye utaalam wa...
Wadau, napenda kuuliza bei ha Yamaha YBR zinaenda beingani hasa pikipiki ambayo imetembea chini ya 40,000km ila vitu vingine vikiwa safi, na iwe imetoka kiwandani kati ya 2015 - 2019.
Naomba...
Kama kichwa kinavyoeleza, muongozo unahitajika kumpata fundi wa namna hiyo. Either eneo alilopo au namba yake ya simu, hapa Dodoma.
Natanguliza shukrani.
Wakuu, inatokea nikiwasha gari inachelewa kuwaka. Ama nijaribu mara kadhaa ndo inawaka. Msada tafadhali. Naweza kuwa naendesha ikawasha taa kwenye dashboard ya 4x4 eml, handbrake halafu baada ya...
Nimeona watu wengi wakilalamika Noah kuchemsha mpaka kusababisha injini bloku kupanuka, kubadili injini au kupiga pasi sijui cylinder head. Suluhisho lake ni nini kwa hizi gari kuchemsha?
Habarini. Natamani kujifunza caterpillar nimeambiwa VETA wanatoa kozi hiyo lakini unatoka hujui kitu chochote. Je wapi naweza kujifunza na ada ni bei gani?
Jamanii nataka kununua gari ya kutembelea kati ya Toyota Premio new model cc 1496 Na Subaru impreza1496. Ipi ipo vizuri kiuimara?
Toyota Premio
Subaru...
Wanajamvi,
Najua ni mara nyingi ushajikuta mahali ambapo gari lako linatakiwa ununue spare mbalimbali.
Sasa najua wengi hapa twatengeneza gari kwa mafundi mchundo na najua ushawahi kukutana na...