Ni China na Auto show tena, hii inaitwa Guangzhou International Motor Show inayofanyika Guangzhou China kila mwaka, mwezi wa 11 au wa 12.
Makampuni mbalimbali ya magari kutoka China na nje ya...
Hizi ni baadhi ya Model chache za magari ya TOYOTA na maana zake.
Baadhi ya Model za Toyota na tafsiri zake.
CAMRY - japanese for crown(taji)
LAND CRUISER - uwezo wa kwenda popote
RAV4...
Habari za muda huu wana jamvi.
Leo nilienda kufanya diagnostic test kwa hii volkswagen yangu.
Majibu ni kama nilivoainisha kwenye picha hii.
Naombeni wataalamu na wabobezi, nianze ku solve...
Mara ya nne hii imenitokea katika siku tofauti tofauti. Napokuwa naendesha gari (Toyota Brevis) Ghafla hizi Taa kwenye Dashboard zinawaka na kuna mlio/alarm inapiga for sme tme halafu inaweza...
Wasalaam
Kwanza nianze kwa kusema kwamba maoni yangu sio sheria..haya ni maoni tu na mambo niliyoyaona baada ya kufanikiwa kumiliki gari ya mzungu
Mwanzoni nilikuwa na Toyota premio lkn...
Ngoja nikupe facts why crown ni better kuliko mark x
Crown ina space kubwa ndani kuliko mark x, nia pana zaidi, hata. Ukiingiia kwa hizi gari mbili utajionea
Crown ina more comfortable seats...
Mkiazima magari ya watu waulizeni kwanza wahusika msije mkatia aibu mtaani[emoji28][emoji28]
Kuna mwenzenu huku kaazima Mercedes kwa ajili ya safari kwa mara ya kwanza, usiku ulipoingia...
Hawa Wajerumani sijui wamepaniki na speed ya Mchina kwenye EV?
Ili week Audi wamezundua brand specifically kwa EV uko China inaitwa AUDI, kwa herufi kubwa na bila zile rings za siku zote...
Naona Nissan wako serious, wanaleta generation nyingine ya Patrol ambayo tunaamini ndio itacompete na LC J300!
Itakuja 2025, Nissan wameipa model code Y63 na ni generation ya 7 ya Patrol tokea...
Ni tabia ya Ferrari kuzindua racing-inspired supercar kila baada ya miaka 10, na last time 2013 tuliletewa Ferrari LaFerrari, na sasa mrithi wake amefika.
Ferrari F80 ni supercar. Ni racing car...
Napenda kufaaham ubora nanulaji wa mafuta wa gari aina ya verossa
Mfano, taa ya mafuta imewaka umeongeza ya elf 10 lakini taa bado inawaka ni sahihi kutembelea hayo mafuta ya elf 10 taa ikiwa...
Kama wengi mlivyo mezeshana na kukaririshana kuwa ukiwa na gari Basi mambo Safi.
Uzi huu utaenda na kinyume na hizo fikra.
1: Watu mmekaririshana kwamba ukiwa na gari Basi mambo yote yameisha...
Kwema wakuu?
Kuna hili shindano la magari linalofanyika kila mwaka mwezi wa sita katika mji wa Le Mans, Ufaransa, linaitwa "24 Hours of Le Mans".
Hili shindano linakua nas magari sitini (60)...
Habarini wadau,naomba msaada kwa yeyote ambae anaweza kuwa na mawasiliano ya sehemu ambayo naweza nikapata taa ya nyuma upande wa dereva ya gari aina ya Toyota Belta,leo nimejikuta nagonga mti...
HABARI WANA JAMVI NAOMBA TUJIFUNZE KITU MWENYE KUONGEZEA ASISITE KUTOA MCHANGO WAKE
Mark za timing ni kiashirio muhimu kinachotumiwa kuweka uwiano wa kuwasha injini. Kwa kawaida hupatikana...
1. Matumizi ya Mafuta: Ingawa ina ufanisi wa mafuta mzuri kwa injini zake, magari yenye injini kubwa kama 3.0L yanaweza kutumia mafuta kwa wingi zaidi ukilinganisha na magari madogo, hasa katika...
Ni kutoka China tena.
Kampuni ya magari kutoka China ya Roewe wamevunja record ya Dunia kwa kutembeza gari lao la D7 zaidi ya Kilometa 2,200 bila kujaza mafuta wala kuchaji.
Ni Plug-in Hybrid...