JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
iko katika hali nzuri manual 5 gear 6 reverse kwa mnunuaji aliye serious mawasiliano 0716505153 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
27 Replies
5K Views
ABS inawaka ilitokea tu nlipeleka kwa fundi akarekebishe kwenye miguu kulikuwa kunapiga kelele...kukawa sawa kuchukua gari inawaka Taa ABS. hakunipa maelezo yanayoeleweka. Sitaki tena mrudishia...
0 Reactions
17 Replies
9K Views
Nlipoanza kazi nlikuwa natumia tu kagari kadogo BMW nlinunua mil 34 toka japan. Nikawa nasema anyway ni tu gari twa kimaskini ngoja kwanza angalau niwe na tuvibanda twangu angalau tutatu hivi...
6 Reactions
111 Replies
11K Views
Wadau hii gari nimekuwa nikiielewa sana kuanzia muonekano, space kwa ndani na uwezo wa kubeba watu wengi (7 seats). Naomba mwenye uzoefu au anayeielewa vizuri anidadavulie kuanzia unywaji mafuta...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari wa jamii naomba kufahamu madhara ya kuweka mafuta kidogo kidogo kama ya 5000 au 10000 na kutembelea mpk yanaisha alafu naweka tena ya 5000 kwa gari kama Noah voxy nini madhara ya baadae...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba mnisaidie cc 2500 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
11 Replies
9K Views
Wakuu kwema? Naomba kuijua hii subaru hasa ubora na spea zake.Nimeielewa sana Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari wakuu, Naomba kuuliza. Hivi inabidi ukamilishe vitu gani haswa kwenye pikipiki yako ili usisumbuliwe sana na traffic barabarani? Ikiwa ni binafsi tu sio ya biashara. Aksanteni.!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kutokana na mvua zinazoendelea. Tujuzane hatua za kufanya iwapo gari itasombwa na maji au itaingia maji kutokana na mafuriko.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Abiria anapaswa kuandika barua kwenda kampuni husika ya bima iliyokatiwa hilo Bus. Katika barua hiyo aambatanishe vifuatavyo 1.TIKETI YA SAFARI. 2.CHETI CHA MATIBABU YA HOSPITALI. 3. FOMU YA...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau habari, Jana nimekatiza sehemu kuna dimbwi la maji mengi sana kutokana na haya ma mvua yanayoendelea,nikapambana nami nikapita baada ya kuona wenzangu nao wamepita Sasa baada ya kupita...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Wadau vipi Mimi nina vits ilikuwa na nguvu sana but hivi majuzi imeanza tabia ya ajabu kuna muda kutoka gear namba 2 kwenda tatu inachelewa Namba 2 kuna muda usiku unakuta uko speed tu inasoma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima kwenu. Tatizo la gari yangu ni kuwa inachanganya oil na diesel. Yaani diesel inaingia kwenye oil. Gari ni aina ya FUSO. Naomba msaada wa maarifa
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Nadhani ingekuwa vyema tukiwa na directory inayoonesha garage ambazo members wanatumia na ikiwezekana weka namba ya simu ya fundi ambaye unamuona ni reliable. Hii itawasaidia wengine wanaohitaji...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndg zangu mafundi naomba msada kuhusu hii gia box, ninapoondoka gia moja, ya pili inapotaka kubadilisha kuingia tatu inajifunga breki, na ikishafanikiwa kuingia inaishia gia tatu, na wakati...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu Habari zenu, naomba ushauri kidogo juu ya hii gari, sina uzoefu nayo sana, Mama watoto ni mjamzito kwa hyo Nakusudia kumchukulia usafiri Nikaona Porte inaweza kumfaa.. Je gari hizi udhaifu...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Jamani naomba kufahamu mambo haya kuhusu gari tajwa hapo juu Gari ina cc 1998/2000, na ni 4wD / 2wD Left hand diesel Auto TM Swali , je nitatumia 1L kwa kilometre ngapi? Na vipi kubusu ubora...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Waungwana nisaidieni... Nijue bei... Ushuru... Specifications zake... Nk..
0 Reactions
25 Replies
7K Views
.
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Jamani poleni na majukumu Gari limenigomea ghafla nimemwita fundi akafuatilia mafuta yanafika, akitest plug zinachoma. Titizo bado hajalitambua akitest plug nje ya injini zinachoma akizirudishia...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…