JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Ndugu naombeni ushauri ambaye ana uzoefu juu ya Suzuki SX4 nataka kuinunua uimara wake, matumizi ya mafuta na upatikanaji wa spare. Asanteni sana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nataka chukua hii gari naombeni mnipe ushauri wadau
0 Reactions
25 Replies
13K Views
Hivi kati ya hizi baby walker mbili ipi ipo fresh kuliko mwenzake. Kwenye bei naona kama zinakaribiana ila SX4 sijaziona sana hapa bongo. Ila nimechunguza upya, inaonekana magari mengi ya suzuki...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Heshima kwenu wakuu? Ninawashukuru sana wazoefu wa magari kwa elimu mnayotoa humu jukwaani inayosaidia kutoa tongongo kwa mimi ambaye uelewa wangu kwenye mambo haya siyo mkubwa. nirudi kwenye...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyo sema ,Gari yangu aina ya voltz inazima nikiweka kwenye D au R shida inaweza kuwa nini?? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wadau kuna mtu anataka kuniuzia mitsubishi gdi ya namba b. Nini matatizo makubwa ya haya magari. Na vipi kuhusi spea zake? Ili nijue kama jamaa anataka kunisukumia msala au anauza kwa nia njema ni...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari waku.. Naomba ushauri juu ya Rav4 Killtime 2003 yenye engine 1Az ya cc 1990. Nahitaji ushauri kuhusu ulaji wake wa mafuta, comfortability pamoja na uimara. Nakaribisha michango yenu...
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Heshima zenu wakuu. Najua humu kuna wadau wa mikebe kwa namna moja ama nyingine yaani wenye mikebe, waazima mikebe, wapanda mikebe na kadhalika. Kiufupi tu JF tupo vizuri kila eneo. Sasa hebu...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari wapendwa .Mwenye kuwa na gari aina ya Starlet Glanza iliyonyooka anitafute WhatsApp 0765806904 tufanye biashara..Nashukuru. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu. Kuna Verossa ninayo hapa ila kuna siku niliingiza mtaroni kule kwenye mguu wa kushoto wa mbele. Baada ya hapo hilo tyre la mbele la kushoto likawa kama inagusa sehemu hivi nikikata...
0 Reactions
0 Replies
643 Views
Nataka gari mpya ya bei ndogo zaidi
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Heshima kwenu wakuu, Napenda kufahamu endapo CIF price ya gari unayotaka kununua inapokuwa kubwa kuliko CIF price ambayo TRA wameiweka kwenye calculator yao Je, wakati wa kulipa kodi gari...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu habarini za kazi, baada ya kupata ushauri Mzuri wa gari ya kununua ambapo wadau wangi walinishauri nichukue mnyama Carina Ti sasa ninakuja tena na msaada mwingine wa kupata gari hii ambayo...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Hi,.hope weekend iko njema... Tangu wiki iliyopita nikiwa road,nikikanyaga brake nahisi umoto kwenye nyayo na joto hupanda kadri ninavyokanyaga brake,.nimeogopa hata sielewi shida ni nini...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
MAGARI ni kati ya vitu vinavyoundwa kwa ubunifu mkubwa zaidi duniani; yamekuwa yakiifanya dunia kuwa sehemu rahisi kufikika kwa haraka ingawa hasa kwenye maeneo yenye barabara tu. Magari si kwa...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Mambo vp wakuu? Kwa mtu wa kawaida anawezaje kutofautisha kati ya gari inayotumia petroli na ile ya dizeli hasa kwa gari hizi ndogo kama haikuandikwa? Kuna mahali nimesoma kuna mtu kasema kwamba...
0 Reactions
9 Replies
9K Views
wakuu habari zenu nahitaji mwenye kufahamu nitaipataje hiyo kitu ,ninahitaji kuifunga kwenye basi langu la abiria nashukuru Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
567 Views
Habari wadau Kuna jamaa yangu amevutiwa na page moja ya magari yaliyoko usa na uk huko mtaa wa instagram, hao watu wanauza used cars na tz wana agent. Ningependa kujua ubora wa used za nchi hizo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari zenu wadau Kuna rafiki yangu ameniomba nimuulizie kuhusu hizi gari zote ni milango 3 na za 2003 ,Benz C class kompressor c180 na C200. ipi ambayo ni nzuri na inafaa kwa matumizi ya familia...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wadau, nimeona injini ya 3s ya Toyota rav4 vvti, ningependa kujua kama inaweza kuingiliana na zingine za kawaida kama 3s Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…