JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari zenu wakuu samahani kwa kuwasumbua mimi mgeni katika ulimwengu wa magari ila mwezi wa 5 nataka kununua gari baada ya kuchanga milioni kadhaa kwa ajili hiyo...naomba kufahamishwa hiyo gari...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za mda huu wakuu, nina gari yangu mazda demio old model. Imepatwa na tatzo la gear box, gari ilikua inapiga kelele kama vile gia zinaingiliana. fundi wa kwanza alinambia bearing zimeisha...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Kichwa cha habari chajieleza...nimepata majanga na subaru legacy...sasa rim 1 imepasuka vibaya sana na mafundi wakanishauri ni heri nitafute rim nyngne tu...wap naweza nikapata rim hyo kwa hapo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari Jf Nataka kufunga sport rim kwenye Nissan Note, naweza kubadili tyre na rim kwa pamoja sio issue sana kwangu, mwenye kujua naomba anijuze Bei (huwa sielewi mtu akisema mf laki 8 zinakua...
0 Reactions
7 Replies
15K Views
Wadau amani? Naomba kuuliza kwa wale wamiliki au wanaozijua Nissan Elgrand hasa fuel consumption ikoje? Naomba kujua ya cc 3500 petrol E51. Aksante.
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Alteza gita ,engine 2jz-gte.twin turbo vvti.Anavutiwa nayo,lkn kabla ya kufanya uamuzi kumiliki ushauri wa wadau ni muhimu kwake. Ulaji mafuta upoje. Upatikanaji wa spea. Matatizo ya ujumla ya...
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Wakuu,natafuta kamba za spark plug ili niweze kufunga kwenye gari langu ambalo ni Rav4J old model,injini yake 3s Ge twin cam Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwakweli kama wewe unaendesha gari ndogo automatic na gari yenye gear ya manual huwezi hata kuwasha, basi jua wewe si dereva bali ni msindikizaji, haswa kwa sisi wanaume unakuta dume zima lakini...
23 Reactions
216 Replies
30K Views
Habar wakuu, Nataka ninunue gari aina ya Toyota Noah, kutokana na familia yangu naona Noah itanifaa SNA kwa matumizi ya nyumbani. Ila pia nilikua navipenda vile vigali vidogo Toyota Ist ila...
0 Reactions
38 Replies
10K Views
Habar Wadau Naomba kupata Elimu juu ya Gar yenye 4WD ambayo itakuwa ina cc chini ya 2000. Vilevile ipo juu ili niweze kupita barabara za Rough road na hizi za Lami.. Angalizo: Iwe ni Kutoka...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Nimehudhuria mafunzo katika chuo cha usafirishaji jina langu ni emmanuel mwaijumba Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Hivi Kwa nini madereva wa vibebiwoka wana vurugu sana barabarani? Ni ugeni wa gari au sms(short man syndrome)?
5 Reactions
93 Replies
9K Views
NATAFUTA DIAGNOSIS SOFTWARE/APPLICATION YA MAGARI YA KUTUMIA LAPTOP Tafadhali naomba msaada kwa mwenye uzoefu au uwelewa namna Kuitambua software inayofaa kwa mazingira yetu na aina ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jf, Nina gari aina ya Toyota Mark II Grande (gx 110), nimeitumia kwa zaidi ya miaka minne sasa na hali yake sio mbaya sana japo inahitaji marekebisho kidogo kwenye tairi za nyuma(...
5 Reactions
108 Replies
12K Views
Jaman nina gari yangu starlet nimekuwa nikinunua shockup mpya lakini hata siku 2 zishakufa sasa msaada na ushauri shockup nzuri kampuni zaid ya jumbo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau nimepata shida katika gari langu aina ya NISSAN X TRAIL ya Mwaka 2003 Taa ya check Engine ina waka hata baada ya klipeleka kwa fundi. Fundi alishauri kubadilisha sensor maana tangu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nahitaji kujua uimara wa toyota cami, kwenye safari ndefu inakuaje, engine , upatikanaji wa vipuli na matumizi yake ya mafuta. Nahitaji kununua haraka
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Baada ya kugundua magonjwa sugu yatokanayo na uchafu wa mazingira kuongeza idadi ya wagonjwa kila mwaka na kugharimu serikali sana katika tiba. Suluhisho ni kupunguza vyanzo vya uchafuzi wa hali...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wadau naomba kujua BMW X 3 PETROL NA BMW X 3 DIESEL ipi ni nzuri na nini kibaya kati yao IPI NI NZURI NA NINI KIBAYA KATI YAO. Naomba msaada plsss
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Wadau ninahitaji gari ya kutembelea ya juu nina tuhela nimepata baada ya kuuza kiazi, Naomba ushauri maana mimi ni mweupe sana kwenye ujuaji wa magari ila napenda vitu vizuri licha ya kuwa mimi...
0 Reactions
82 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…