JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wakuu, Tukiachana na Japanese Car's. Je ni brand zipi za ulaya ambazo zinaendana na mazingira yetu? Brand hizo ni kama VW, Mercedes Benz, BMW, Ranger rover, jaguar, Ford, Jeep nakadhalika Japa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana MMU nataka kwenda kosoma driving one month. Je kurndesha gari ni kitu kigumu? Na je mitihani ya huko ni migumu? Maana wakati naenda kujiunga nilikuta watubwanafanya mtihani na kama mnavyojua...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Yapata miezi mi3 sasa gari langu linatatizo ya engine kupandisha joto, ni Toyota spacio hii ilitokea baada ya kubadilisha rejeta ikawa unapotembea kama umbali wa 45 au 40km unaona inatokea alarm...
0 Reactions
28 Replies
11K Views
Nahitaji fundi mzuri anayeijua kazi yake
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Fine jeshi polisi imekuwa mtihani. Nahitaji namna kujua deni kwa kutumia simu yangu, mbali ya kuomba ama kukaguliwa na askari wa barabarani. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu kuna mzee Mzungu anarudi kwao kakosa work permit. Anataka kuniuzia Nissan Cedris cc.2400 ya mwaka 2001. Wajuzi wa magari msaada tafadhali kabla sijafanya maamuz
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Heshima iwe kwenu ninahitaji kupaka rangi kakiberiti kangu sasa ktk pitapita mitandaoni nikitafuta rangi gani itakayotuliza mapepo yangu nikakutana na rangi hiyo hapo pichani Sasa tatizo limekuja...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari ndugu zangu, naomba ushauri kwa vitu vya kuzingatia unaponunua gari mpya kwa mara ya kwanza, yaani umeenda kununua showroom au umeagizia kutoka Japan na ndo limefika. Nini cha kuzingatia...
1 Reactions
45 Replies
6K Views
Habari wanajamvi kuna gari nimenunua kutoka japan na linatarajiwa kufika wiki ijayo.naomba ushauri wanajamvi ni kitu gani cha kufanya kabla ya kuanza kutembea nalo barabarani na ni service zipi...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Kila mmoja wetu anajua kwamba matairi ya magari hutengenezwa na mpira, Lakini tunaweza kuzalisha rangi yoyote ile tuitakayo , Matairi mengi hutengenezwa kwa rangi nyeusi, Lakini kuna rangi za...
1 Reactions
13 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu, Jana nilikua safari kutoka Mwanza kwenda Arusha na gari dogo, Toyota Voltz njiani gari iligoma kutembe speed ya Km 80 kwa saa hata ukanyage mafuta vipi, kwenye mteremko ndio...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Umofia kwenu wadau,kama title inavyojieleza hapo juu ni kuwa mimi ni muumini wa research kabla ya kuamua kufanya jambo. Hivi sasa nataka kununua pikipiki kwa ajili ya matumizi yangu binafsi,kwanza...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau mimi nina gar aina ya nissan vannete, gari hii ina tatizo la kitobadilisha gia, hapo mwanzo ilikuwa inafika hadi gia tano na overdrive ilikuwa inafanya kazi lkn baadae ile taa ambayo...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari, Naomba kujua bei ya kuagiza starlet mpya kutoka japan mpk kufanya usajili, Pia kwa mwenye ufahamu anisaidie kunijuza tofauti ya statlet na starlet glanza, ipi bora zaidi, Na zipi...
1 Reactions
23 Replies
14K Views
Habari zenyu wandugu,naomba kufahamishwa wasifu wa gari aina ya Nissan dualis katika ulaji wa mafuta,stability katika road,upatikanaji wa mafuta etc
0 Reactions
20 Replies
11K Views
Kwa wakazi wa Arusha ni sehemu gani nzuri wanafundusha driving kama anayejua naomba anifahamishe mda pamoja na gharama Nawasilisha
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Habarini! Nina Subaru impreza tangu imefika kutoka japan inanipa Tu 7 km / litre na imetembea Tu 95000. INA cc 1450 na Mimi sina mbio kabisa kwenye uendeshaji. Nimeuliza wengine wanasema...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Hello wakuu, nahitaji kujua nitapata wapi radio nzuri ya Android kwa gari aina ya Nissan x-trial, Year 2005 Au mwenye kujua radio inayofit hapo ni size gani. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Haya kumbe Watumishi mnafaidi matunda hivi? Mshindwe kununua Magari sana Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…