Wana jf,
Katika magari mabovu passo na kilitime rav4 zinaongoza kuharibika reki End na shock Up za mbele, niliagiza passo kukabiriana na hali ya mafuta, lakini gari hili...
kama unagari yako popote pala ndani ya dar es salaam nakupa big offer ya punguzo la hadi 50% kutoka bei ya awali ambayo ni 50000/= kwa hiyo utaitaji tu kulipa 25000/= na gharama za usafiri...
Habari wakuu, kwanza nitangulize samahani kwenu.
Pili naomba kufikishiwa ujumbe wangu kwa ma mods.
nimejirejister tangu tarehe 16-1-2019, lakini cha kushangaza mpka leo bado account yangu...
Wakuu naomba kujuzwa baada ya malipo ya kulipia magari chakavu ambayo huuzwa na serikali ni gharama gani nyingine natakiwa kulipia ili kubadili umiliki wa zile gari.
Habari ndugu zangu gari yangu inakuala mafuta fundi anasema inatakiwa ibadilishwa plug maana kama ni nozel nimesafisha tayari lakin bado inatafuna suzuki escudo toleo 1992 1ltr km7 msaada
Sent...
Teknologia inaenda kwa kasi sana kampuni ya magari ya Tesla wameka mfumo wa Dog Mode katika gari wanazotengeneza.
Huu mfumo humsaidia mwenye gari endapo kapaki gari na ndani kamuacha mbwa wake...
Habari
Wajuzi ni wengi humu hivyo naomba tuhabarishane
1. Je, kuna madhara yeyote yataweza kuikumbuka Gear Box ama Engine kwa ujumla kama ukiwa unaweka "N"/Neutral Gear wakati unaendesha sehemu...
Habari zeni wana JF, kuna hili swala la utunzaji wa magari kwenye mazingira yetu ya africa yanachangamoto sana. Gari used linakufikia toka japan au Europe unakuta halijawahi kukanyaga chini...
ECU(Engine Control Unit) kwa kifupi wengi wanaita tu Control hii ndio kama ubongo wa katika gari ndio sehemu inatoa mawasiliano yote kwenye gar
kwa gari nyingi za kisasa hizi control zimekuwa...
Wakuu naomba tupeane taarifa za upatikanaji wa spare parts za Volkswagen hasa Dar na Mwanza. Maduka yanayouza yanapatikana sehemu gani?
Nataka kufanya maamuzi ya kuachana na Toyota nihamie...
Habaru zenu...
Wataalamu naombeni msaada wenu
1.Hatua za kufungua na kufunga tairi
2.Unabonyeza wapi ili ufungue BONETI na BODI ya Gari yoyote kama
Najua humu kuna wataalamu naombeni msaada...
habari za leo ndugu wana jukwaa,
hua ninapata shida sana wakati wa mvua kuendesha gari maana kuna ukungu hua unatokea kwa ndani kwenye kioo cha mbele, hivyo huathiri kwa kiasi kikubwa uwezo wangu...
Wadau nilinunua Nissan Fuga kwa mtu Dar ila imeanza kuzingua mis za kutosha na inabugia mafuta kama jini. Mafundi wengi wanabahatisha kwa hii gari nawaza nibadilishe engine nifunge 1G-FE msaada...
Wakuu natafuta injector pump ya mistubish rosa 4d33 gari hii ilikuwa inatumia injector pump ya umeme imenizingua kwa hivyo nataka kuweka ya kawaida inayo tumia planjer je naweza kupata sehemu...
Habari wa jamii nina gari yangu vitz ina tatizo la break za mbele kupata sana moto sana(ku jam) kila nikitembea baada ya km 20 nimekwenda kwa fundi wangu kaisha safisha caliper (lile jumba la...