JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Kwa mahitaji yako ya vipuri mtumba Kwa aina tajwa hapo juu tafadhali wasiliana nasi 0712046405 Hutojuta wala kuwaza tena Karibuni tupo sinza mori wanyama hotel
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Je unataka gari [emoji593]ya kutembelea au ya biashara[emoji590][emoji598] au unataka bajaji, pikipiki[emoji605][emoji598], bodaboda mpyaa na huna muda wa kutembelea show room. magwila online...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu Naomba kupata uzoefu juu ya haya magari mawili, nna ka bajeti ka 8M lakin naona hizi gari 2 ndo zinanivutia zaid Corola x ya 2005 na premio ya 2005.. Naomba ushauri wenu kuzingatia uimara...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Gari yangu ni Rav4. Kuna buton nikibonyeza inawaka taa nyekundu, kwakweli sijui kazi yake! msaada tafadhari Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Ilikuwa ndoto yangu ya muda angalau niwe na usafiri wa kueleweka sikuwa nahitaji kuwa na mkebe wa gari ...hiyo kitu sikuitataka kabisa Sasa kuna mishe nilikuwa nazifanya naona zimetiki na hapa...
7 Reactions
50 Replies
9K Views
Injini inatumika kwa magari kama:- 1. Gx110 2. Gx100 3. Verosa 4. Alteeza Nimebadili injini a zamani nauza pea kama 1.cylinder head/ complete 300,000 au bila camshafts =200,000 2.ac...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Nimeona mafundi wengi wanatumia multimeter kutambua matatizo ya simu. Nauliza hakuna uwezekano wa kutumia kifaa maalumu,km wanavyofanya madaktari kwa mgonjwa (CT scanning) Naomba ufafanuzi wa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari wadau. Fundi ameshauri nibadili engine oil pump, ipi itanifaa na ni bei gani? Nimeambiwa ya Toyota ni kama laki 1.is that right?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nomba ushauri gari yangu TOYOTA VOLTZ ugonjwa wake gari ni nzito nikapeleka garage za mtaani wakafungua gear box na kubadilisha hydrolic cha ajabu imekuwa ata afadhali na awali imekuwa nzito...
0 Reactions
57 Replies
10K Views
Amani iwe kwenu. Nimeona video clip, gari aina ya Audi ikivuka 'max speed' yake kwenye odometer hadi kufikia 378 Kph kwenye 'digital display' Bila shaka ni audi q8 ya mwaka 2019. (?) Je kuna...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hv gari ikiwa na Cc ndogo ila piston(cylinder) nyingi mfano cc 1980 with 6 cylinder au gari ikiwa cc kubwa ila poston(cylinder)chache mfano cc 2300 with 4 cylinder je ipi itakua ina kula sana...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Wadau ,ivi rangi inayopendeza kuiweka kwenye gari hususani TOYOTA RAV4, naombeni ushauri wenu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
20 Replies
3K Views
wakuu naomba elimu kueleweshwa namna ya kusoma kilomiter,siamini kama gari imeenda kilomiter hizo kwani juzi kwenye screen ya gari y imesoma number 99754 lakini cha kushangaza baada ya 3 days tu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habarin wakuu Kwa anaefaham nauli ikoje anifahamishe kutoka lusaka(zambia) had gaborone(botswana) pia maisha ya botswana yako vp kiujumla,karibun Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Nilipata ajali na gari ikakaguliwa na vehicle inspector na akaandika report baada ya kuipeleka gereji, malipo yameandaliwa na mwenye gereji akakubali kutengeneza kutokana na malipo yaliyokubaliwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana jamii forums naomba kujui hii alama au taa inamaanisha nn kwenye gari tajwa hapo juu,, Ilikua inawaka na kuzima,,sasa hivi inawaka tu haizimi
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Jamani naombeni msaada kwa mtu anaejua Ubora wa AUDI A5 QUATTRO Year - 2008. Na bei yake inaweza kuanzia Tsh ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu amani kwenu. Kama kichwa kinavyojieleza nisaidieni vitu vya msingi ambavyo ni lazima nivifanye mara tu baada ya kununua gari yard. Karibu sana wataalamu wote akiwemo RRONDO&Mkuu Jr...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nahitaji vvt-i sensor mpya ya gari aina ya toyota mark2 GX110,nimeulizia moshi hakuna vvt-i mpya na nimejaribu kufunga used lakini baada ya kutembelea km50 taa ya check engine ikawaka tena na kila...
0 Reactions
1 Replies
967 Views
Wakuu natumia kitoyota passo ambacho nilinunua kwa mtu, ila sasa nataman kubadili baada ya kufanikisha kuuza hili la sasa, Natamani lutumia gari ndogo vilevile aina ya Toyota IST, TOYITA IST...
1 Reactions
60 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…