JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
wakuu kama title inavyosema, ipi hapo ni gari nzur ya kuchukua, maana now bei hazitofautiani sn, hata cc rav 4 ni 1990, wakati Harrier ni 2150. wenye ujuzi na uzoefu wa hiz gari kwa barabara na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
The evasive maneuver test is performed to determine how well a certain vehicle evades a suddenly appearing obstacle. This test has been standardized in ISO 3888-2. Forms of the test have been...
0 Reactions
2 Replies
988 Views
Hamjamboje wanajamvi Naomba kufahamu ni vituo gani vya mafuta (Petrol station) vinavyotumia mfumo wa kadi na visivyo na usumbufu? Pia isiyochakachua pump zao. Mfano unahitaji kuwekea kadi yako...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Wadau tupeane uzoefu wa utumiaji wa mafuta ktk magari tunayotumia! Mimi naendesha gari aina ya Toyota Succeed(TX G Package) ina CC 1496 ya mwaka 2003. Kiukweli haka kagari nimetokea kukapenda hasa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau wa JF, binafsi, pamoja na basi za kichina kuwa mkombozi wa usafiri hapa nchini, lakini tuanze kumulika athari zake.Kwa leo nataja shida moja kubwa ya kiufundi inayojitokeza mara kadhaa sasa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu kichwa cha habari chahusika,nataka ninunue moja kati ya hizo gari,ushauri wenu plz based on xperience and technicalities juu ya hizo gari!Asenti!
1 Reactions
66 Replies
24K Views
Wana Jamii naomba kwa yeyote anayefahamu anisaidie. Niliagiza toyota brevis toka Japan tatizo AC haileti ubaridi, compressor inazunguka, gas imo ya kutosha,nimepewa ushauri na mafundi kuwa...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Naomba kwa anayejua atusaidie; je leseni daraja D unaweza kuendesha gari iliyobeba watu 12? Naomba na maelezo ya kisheria kwa msaada zaidi please
0 Reactions
1 Replies
888 Views
Natumaini hamjambo,, Ninahitaji Boxer BM 150 (used iliyo katika hali nzuri) kwaajili ya matumizi binafsi, hivyo ninaomba kujua jinsi yakutofautisha kati ya fake (mchina) na original (muhindi) pia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu side mirror yangu moja imepasuka kioo,nimechongesha kioo cha kujitazamia nkaweka bana,dah kumbe sio kabisa yani sipati ile wide view kama kioo halisi cha gari!Wapi naweza pata kioo halisi...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Ivi ni sababu zipi za kisayansi ama za kawaida zilizo na zinazosababisha mpaka leo uskani (sterling) ya gari isiwekwe pale katikati bali huwekwa pembeni kushoto ama kulia mwa gari Wakati kwa...
12 Reactions
94 Replies
15K Views
Habari wakuu! Nipo kwenye mchakato wa kuagiza gari mojawapo kati ya mercedes benz w203 na Bmw E90 ila nahitaji mawazo yenu kuhusiana na: Uimara,running cost pamoja na matumizi ya mafuta.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wana jamii forum. Ninauza Honda CRV RD5 ya 2003 Taarifa zaidi ya gari ni kama ifuatavyo; Body: SUV 5doors Engine: K24 i-VTEC, 4 cylinder, 2000CC Transmission: Automatic 5-gear, 4WD, ABS...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Wapendwa naomba kama kuna mwenye link ya website ya polisi ile inayokuwezesha kujua kama gari inadaiwa, nilikuwa nayo lkn nilipo format simu ya gu kila kitu kikapotea. Natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
13K Views
Wadau naomba kupata ufahamu kuhusu hii gari (Mitsubishi Pajero V78W; Engine CC 3200-Diesel) ubora au mapungufu yake (mechanically), fuel consumption etc
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Binafsi, Naomba ushauri ipi ni nzuri na imara zaidi kati ya Boxer, Sanlg, Haojue au kama kuna nyingine yoyote ile
0 Reactions
19 Replies
9K Views
Habari Wakuu, nina maswali mawili kwenu 1. Kuna Gari aina ya Fuso hii Gari ikiwa inatembea alafu Dereva akafunga Break ya ghafla hii Gari inazima japo kakanyaga Clutch (maana inakua katika Gia)...
0 Reactions
0 Replies
774 Views
Wadau nikiwa mtumiaji mkubwa wa mabasi ya abiria yaendayo mikoani nimeanza kupata hofu kutokana na wimbi la mabasi hayo kulipuka na kuwaka moto na kusababisha vifo na upotevu mkubwa wa mali...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu! Gari aina ya Noah Townace, Old model (Automatic)... Speedometer yake haisomi kabisa, na imeecha ghafla! JE, NICHEKI NINI HASA? (Ninayo Idea ya umeme wa magari ila sijawahi...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…