JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari wataalamu mbalimbali wa vyombo vya moto. Gari yangu spacio old model nikifikisha speed kuanzia 120km/h inaanza kutetemeka hasa katika usukani....hali hii inakuwa inanipa wasiwas wa kuongeza...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Wadau nilikata leseni mwaka 2012 nilitakiwa ni re new mwaka 2015 lakini sikufanya kutoka na kutokuwa na yo huko nilikokuwa kuhangaika na maisha.Nimerudi mwaka huu 2018 mwezi wa 8 je naweza ku...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa waliowajuzi na mambo ya mechanics, ni ipi hasara kwa gari ya kuvuta /keep on handbrake ya gari pasipo kuminya button. Na kuvuta handbrake kwa kuminya button.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu habari za jioni na natumai tunaendelea na maombolezo ya kitaifa. Hili jamvi naamini ni jungu kuu halikosi ukoko kwa yyte anayejua app ya kuzuia hacking au kujua km cm yako imekuwa hacked...
0 Reactions
1 Replies
729 Views
Wakuu heshima kwenu. Well, naomba kufahamu ufanisi wa betri hizi mbili kati ya N70 na MF DIN55 ziko sawa kiufanisi na ubora au ziko tofauti wakuu...? Ipi ina nguvu kuliko ingine kati ya hizi na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu! Kwanza niseme kuwa sio mtaalamu katika mambo ya magari. Naomba kujua ukweli kuhusu ubora wa gari unavopungua kadri gari inavozidi kutembea. Ni kilometa ngapi ambazo gari...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
kama una vtz new model push to start, no D,full ac ambayo ipo kwenye hali nzuri engine vvti isiwe ya rangi nyeupe, isiwe na tatizo lolote nasisitiza nitafte haraka ukiwa na picha zake zote...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau! Heshima yenu mabibi Na mabwana! Kwanza kabisa nimekuja mbele yenu kufutwa tongotongo katika macho yangu! Nahitaji kujua ni gari gani nzuri kati ya Suzuki swift VS toyota cam...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni ushauri wenu kuhusiana na hizi gari tajwa.. Kuzingantia haya. 1. Durability 2. Comfortability 3. Heshima 4. Muonekano mzuri
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari wadau. Naomba ushauri kwa mwenye ujuzi na gari za Nissan Xtrail model ya 2002 sababu ninahisi ya kwangu inatumia mafuta mengi sana. Nina miezi mitatu nayo toka niiagize kutoka japan...
0 Reactions
22 Replies
12K Views
Wadau nataka kununuwa gari mojawapo kati ya hizo hivyo naomba msaada wakujua ni gari ipi nzuri kati ya hizo. Nimelenga kumiliki Family car with 4 silinda na bajeti yangu ni 15m. Nielimishe.. 1)...
1 Reactions
13 Replies
7K Views
habari wakuu kwa mwenye ufahamu zaidi kuhusu Subaru R1 naomba kujuzwa, mazuri na mabaya ya hii gari
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Je gari za BMW zina uzuri gani na ubaya gani kitaalam zaidi???Specifically BMW X3
0 Reactions
15 Replies
10K Views
Habari yako mdau? Kuna ndugu yangu anataka kubadiri namba za pikipiki yake ambayo ina zile za zamani za T 000 XXX na bahati mbaya kadi imepotea. Kwa mwenye uelewa na hili la usajiri wakati kadi...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Gari dogo lenye kutumia mafuta kidogo kwa safari ndefu lipo Dar LINAUZWA. Kwa 4.5mil tuu nakupatia. Wasiliana na Xhevior 0715 27 47 27 kwa punguzo.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kampuni ya BMW imeonyesha pikipiki yake (bodaboda) ambayo inaweza jiendesha yenyewe bila mtu kuicontrol (self driving). Ingawa BMW wenyewe wamesema hawataiweka kwenye uzalishaji pikipiki hiyo ila...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Nimennua kwa mtu karibuni iko na muonekano mzuri,juz nikaijaribu kwenye milima ya kawaida tu ina feli aisee ad natumia moja pia ina kelel kama tapert zinagonga bado sijamuona fundi naomba mawazo...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habarini wadau kutokana na shughuli zangu za hapa na pale. Nahitaji kununua Pikipiki Aina ya Suzuki Tf125 mwenye uzoefu nayo au anayewahi kutumia. Na je? Dukani inafika kiasi Gani kwa sasa, Uimara...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wakuu nahitaji gari toyota hillux single cabin,manual,cc 2000_ 3000,,kwa ajili ya mama la shambani
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini Mafundi. Kuna hizi bajaj (TOYO) zinazochajiwa kwa umeme, Nahitaji kubadilisha mfumo ili iwe inatumia Mafuta ya petrol au diesel. Msaada wenu ni wa muhimu sana
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…