Ndugu wanajamvi naomba tujuzane aina nzuri za oil ya magari hasa madogo ya petrol. Mara nyingi sana hawa mafundi wetu hawako kama wanajua sana, unaweza kumuuliza fundi oil hii ni ya km ngapi...
Habarini wakuu.
Naulizia kama kuna mtu yeyote anayefahamika kudesign sports body kit za gari mbali mbali, maana huwa napishanana tu barabarani na watu wamepimp gari zao ila sijui exactly kwa dar...
Wadau naomba ushauri nimekuwa nikisave pesa kwa muda mrefu iliniweze kununua gari ambayo itanisaidia kwenye safari pamoja na majukumu ya hapana pale.. NAOMBA USHAURI KULINGANA NA VIGEZO...
Habari WanaJF,
Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana.
Kwa wenye experience na Brevis umbali wa Km 30 inakula lita ngapi?
Ili nipate picha halisi...
Wana jamiii,,,naombeni mwenye taarifa zozote za wapi Bajaji used kutoka nje zinauzwa. Nataka bajaji used ambayo iko katika hali nzuri kwa ajili ya kufanyia biashara. Mtaji wangu sii zaidi ya...
Wadau msaada kwa anaefahamu kuhusu vitz old model nikiwasha AC inaishiwa nguvu sasa sijajua ni tabia au ndo uwezo wake ilivyo?? Kwa anaefahamu naomba anijuze Asante
Nataka kubadili engine , ya gari aina ya Isuzu bigon, ili niweke engine nyingine tofauti.
1: Je engine ya aina gañi iliyo nzuri kwa matumizi na inayo weza Ku fiti vzr kwenye body ya Isuzu bigon
2...
Je kama unataka kukadiriwa kodi, eneo la kujaza mafuta hakuna option kama gari ni ya umeme tu. Kuna petrol na diesel. na ukiacha blank haitoi majibu. Au Tanzania hatujaruhusiwa kuimport magari ya...
Nataka kubadili engine , ya gari aina ya Isuzu bigon, ili niweke engine nyingine tofauti.
1: Je engine ya aina gañi iliyo nzuri kwa matumizi na inayo weza Ku fiti vzr kwenye body ya Isuzu bigon
2...
naomba kuuliza wapi nitapata injini bora ya mtumba ya mark 2 gr,shafti ilishachongwa nataka kubadili moja kwa moja injini maana gharama za kuchonga na kununua baadhi ya vipuli naona ni ghali...
Habari zenu wanaJF, nina swali kidogo kama heading hapo juu.
Je kuna athari zozote kuendesha gari (automatic) ukiwa umechomoa funguo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habar za jumatatu ya kwanza ya mwezi September!! Naamin tu wazima!
Kama somo linavosimeka hapo juu,,nahitaji sports ream za premio new model!! Nitafurah kama nitazipata zinazokuja na Magar ama...