Kutokana na ushindani Wa kibiashara ya kusafirisha abiria imebainika scania wameibuka washindi hasa kwa mwendo na durability hasa kwa safari za mbali,km dsm to mby,dsm to Mt.tulichangie wadau.
Wanajamvi naomba
Kujua Kwa wajuz au
Waliowahi kutumia kichocheo
Cha NANO ENERGIZER
ambacho kinapata airtime
Katika tv mbalimbali nchini.
Kichocheo hiki ni Kweli
Kinasaidia kuifanya engine
ya...
Habari wanajamvi,
Wakuu nisaidie jinsi ya kulipa hizi faini za.mashine tunazopewa barabarani na trafic, nina kijikaratasi hapa cha fine ila nashindwa kulipa
Msaada please
wakuu habari zenu ?
kama nilivyo andika hapo juu
Naomba ushauri wa gari hiyo ya mizigo fuso fighter 4 tone uzuri wake na ubaya wake ..nataka kuifanyia kazi dodoma to dar.asanteni
wadau kuna jamaa yangu amepoteza funguo ya gari .alishapoteza ile ya kwanza na sasa amepoteza ile ya akiba. anahangaika afanye nini . kama kuna mtu ana uzoefu katika hili please tufahamishane ili...
Hi members,
Kuna oil nyingi za magari kuanzia, Orxy, BP, Castrol,Shell, Engen na zingine nyingi kulingana na eneo uliopo. Kwa thread hii tusaidiane ni oil ipi nzuri kwa kwa gari kwenye ila kwenye...
Habari zenu mabibi na mabwana. naomba kuuliza kwayeyeto anaefaham OFICI ao MTU binafsi wanao jihusisha na kutoa mikopo ya magari. Naitaji Gari aina ya NOAH old model, ao Toyota CARINA Ti. naitaji...
Kampuni ya kuunda magari ya China Geely, imekuwa mwekezaji mkubwa kwenye kampuni mmiliki wa magari ya Mercedes-Benz, Daimler, ikisema ina matumaini ya kushirikiana na kampuni hiyo kubwa ya...
Gari yangu Toyota mark ii gx100,engine type 1g-fe vvti.gari nikiwasha asubuhi inachelewa kuwaka na kama ikiwaka basi mpaka niiache idle kama dakika 5 ndiyo niweze kutembea vinginevyo nikikanyaga...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu kumekuwa na shida na usumbufu humu barabarani kuhusu hizi stika za usalama barabarani,nilikuwa naomba kujua mwisho wa kukata hizi stika ni lini...
Nina ka mkweche kangu Toyota Premio 2006 gafla Mlango wa nyuma upande wa kushoto haufunguki kwa ndani na kioo hakipandi wala kushuka, nini tatizo? nini chakufanya
Wakuu habari za majukumu.
Mpango wangu ni kuagiza Gari used kutoka Japan. Nimepitia website ya kampuni ninayotaka kuitumia lakini Gari nililolipenda halina ABS.
Ninaomba kufahamishwa kama...
wakuu hizi ndizo gazi 10 ambazo bei zake zinazifanya kuwa gari ghali zaidi kwa mwaka huu, sijui hawa wanao nunua hizi gari huwa wanafikiria nini, japo gari nzuri na luxury lakini hizo bei...
"Bila kupoteza muda wakuu niende moja Kwa moja kwenye Mada.
Volvo ni gari nzuri zinajulikana na imara pia na zinakubalika.
BMW pia ni gari nzuri classic na zenye ubora pia na zinafanya vzuri...
Nimeanza kuziona hizi gari sehemu kadhaa , vipi vipuri vyake vinapatikana?
Maduka yako sehemu gani , hapa DAR au Mwanza?
Mwisho vipi ubora wa hizi gari ,anayezijua aje atuambie , tumeanza kuchoka...
Habari wakuu...kwenye ndani ya taa za gari kunakuwa na ukungu unaojijenga na kufanya taa kukosa ule ug'aavu wake,hii hali uwa inanikera sana. gari yangu inaonekana imechakaa sana.nmejaribu...