Wajuvi tafadhali. Naomba fahamu hawa jamaa vp kwenye ulipaji wa madai..ninataka kujiunga nao baada ya kutendwa sehemu.
If unahisi hawako vzuri..naomba ushauri nijiunge wapi?
Naomba msaada kujua sheria inayosimamia leseni hususani leseni ya udereva kama imebadilishwa au La.
Ndugu wana jamvi siku za nyuma kabla hatujaletewa leseni mpya kwa kipindi kile tulikuwa...
habari wakuu naomba msaada wenu .
mimi si mzowefu wa magari ila ataka kufahamu. gari kama ya abiria coster mbayo inafnya kazi kila siku ..swali langu lina kuja inatakiwa iende kilomita ngapi...
Wakuu,ninahitaji kuagiza Toyota Spacio ya Cc 1500 mwezi ujao.
Ninaomba kujua yafuatayo kuhusu gari husika.
1. Fuel Consumption yake ikoje? inakula sana au kidogo?
2. Itaweza kuhimili...
jamani wanajamvi habariya jioni napenda kufahamu maana ya ivyo vitu vilivyoandikwa apo juu na mimi mnawezaje kuvijua na kuvikagua mimi mwenyewe
Maana mara nyingi wajuvi wa mambo wa apa jf...
Unakuta gari imetembea km 80000. Hii gari unakuta ni ya mwaka 2000. Gari ukiiangalia unaiona kama bado mpya. Wakati mwingine mpaka zile karatasi za kwenye seat zipo. Kwa hapa kwetu tunaziita mpya...
Wakuu kuna kitu nimekuwa nikikifanya japo sina utaalamu nacho napokuwa mlimani(kupandisha) na kukiwa na kafoleni napendelea kuzuia gari na accelerator(kuliko brake/handbrake) maana naona ukitumia...
habari wadau
nina toyota noah sasa matair ya nyuma yanakuwa yanaisha kwa upande wa ndani kwa upande wa nje ni mazur ,sasa sijaelewa nn inaweza kuwa tatzo
ushauri niliopewa na baadhi ya...