JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari za weekend wakuu. Ninatafuta chasis ya Landrover 300 ya milango mitano.
0 Reactions
0 Replies
681 Views
Poleni na kazi, Nina gari dogo linatumia petrol kuwaka linawaka vizuri shida yake baada ya kwenda umbari kama km 5 linazima ghafla na kuwaka ukiwa unaendelea na safari hivyo hufanya kama...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wanajamiiforums, Nataka kununua toyota nadia yenye engine ya 3S mwenye uzoefu nayo naomba anipe -Mazuri yake -Mabaya yake Natanguliza shukrani za dhati kwa wote watakaonisaidia!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salamu kwenu wadau wa kupendezesha magari yenu upande wa matyres/mguu/kiatu/Rims. Uzi huu nakaribisha wenye uelewa na dondoo mbali mbali za aina za Rims kwny magari kuanzia size(upana na duara)...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Wakuu VP, Kuna gari jamaa anataka kununua, ni mitsubishi pajero, vipi ni yapi matatizo yake, je vipuri vipo, gharama za uufundi, uimara WA gari, na mafuta. Ushauri wenu WA haraka unahitajika
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Dar es Salaam. Wako wanaofikiria kupumzisha magari yao kutokana na mzigo mkubwa wa gharama za kuyatumia, na hasa bei ya mafuta ambayo inaendelea kupanda, huku kipato kikiendelea kudumaa. Baadhi...
0 Reactions
38 Replies
18K Views
Kuna model ya Toyota inaitwa ISIS , hizi gari ni nzuri hasa ukipata yenye cc1790 vvt-i utafaidi sana. Mwendo upo , nafasi kubwa ndani na matumizi mazuri ya mafuta.
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Hbr za leo wanaJF Naomba mda wenu kidogo ili niwaeleze mambo mawili matatu hivi kuhusu hivi vyombo vya moto/machine/mitambo n.k. hulsusan matengenezo, marekebisho na matunzo. Vifaa hivi ni muhimu...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu nahtaji gearbox automatic ya passo ni wapi hapa Dar taweza kupata na gharama zake huwa ni kiasi gani,na vitu gani muhimu vya kuzingatia wakati wa ununuzi! Passo yangu ni ile cc 990
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba kujua makadilio ya gharama za kurudia rangi kwa gari Nissan Safari. Gari hizi nissan safari/patrol huwa zinachakaa kipaa cha juu cha gari.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Nawasalimu. Nina biashara yangu ya duka hapa dar es salaam na Handeni Tanga, huwa bidhaa zangu nanunulia maduka mbali mbali kitumbini na kariakoo. Nafikiria kununua gari itakayosaidia wakati wa...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Au tumebweteka kutumia vya wenzetu tu? Mdau mbona hakuna tecnolojia na nyenzo mpya? Tumekalia modification tu gari linawekwa maurembo tu, sijui v8, sijui nini mayai, sijui kibao. Karine hii...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Poll Poll
We are connect simply to get Cars from Be forward....
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Kampuni ya Japan yasainifu tairi lisilohitaji kuingizwa upepo. Kampuni ya mpira ya Toyo ya Japan imesanifu tairi lisilohitaji kuingizwa upepo, na imepata mafanikio katika kuongeza maisha na...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Hivi kati ya Rav4 na Vitara ipi ni gari nzuri in terms of performance, durability n.k
0 Reactions
18 Replies
11K Views
Zinahitajika Toyota Allion, Porte,Sienta. Bei isizidi Mil 6 namba iwe C haijawah pata Ajali wala kupakwa rangi. isiwe imewah kufunguliwa engine kwa jambo lolote. mdogo wangu amemaliza shule...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana Jukwaa, Natafuta fundi mzuri wa gari tajwa hapo juu. Ni gari la kazi, Mwanzoni liliua mechanical fuel pump tukawa tunatumia ya umeme. Nikanunua mechanical pump nyingine lakini ikafa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarini wanaJF Katika pitapita zangu hapa mjini nimekuwa nikiona magari mengi watu wanayomiki ni toyota hata nikiwa ndani ya daladala kwenye foleni huwa naona magari mengi kwenye foleni ni...
1 Reactions
24 Replies
11K Views
Mimi nilikutana na hii:- clutch kutumbuka au kunasia yaani ukikanyaga clutch hairudi juu inabaki chini hivyo huwezi kubadili gear hii ilintokea nikiwa katika foleni maeneo ya gongo la mboto
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…