Msaaaada jaman ninagari limeanza kuwa na muuungurumo kama kombikombi, au subaruuu ya mashindano ya magari, nifanyaje!?!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wanajamvi.
Naomba kuuliza ni aina gani ya engine oil specific kwa gari hili, Namaanisha ndio engine oil yake recommended kwa gari hili ;
Toyota Wish
Ya 2006,
CC ni 1790, Engine VVTI...
Ndugu wana Jf habari zenu!?
Ndugu nahitaji ninunue pikipiki kwa matumizi binafisi hasa kwa kuendea kazini... Madhingira sio lafiki sana yaani Barabara sio nzuri na ni ya vumbi na vijilma vidogo...
Habari zenu wana jamvi...Mi napenda sana usalama barabarani....huwa naumia sana nikisikia ajali ambayo imetokana na uzembe au kutofuata sheria za barabarani....Haya ni matumizi ya taa za gari...
Wakuu , habari ya usiku huu, naomba ushauri kabla sijaenda kwa fundi , nimeipaki mahala nilipojaribu kuitoa gia liva kutoka P kwenda drive D gia liva ikawa inashuka tu mojakwa moja bila kubadili...
Wadau nipo Dar natokea Mtwara; shida yangu ni spare za hillux d. Cabin petrol engine (3Y ) 1995 cc 2000. Nipo maeneo ya Gerezani/k.koo.
Note: Nahitaji kuelekezwa duka au maduka yenye genuine spare...
Habari za muda huu wanajamvi,naomba kujuzwa kwa wale wenye uzoefu ni vituo/makampuni ya mafuta ambavyo wanauza mafuta yenye quality nzuri (bila uchakachuzi).,lengo ni kufanya injini iwe na maisha...
Habari wanajamvi
Ninaomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kupeleka mbele kilometres za gari(sedan cars).
Nina fahamu watu wengi wanarudisha nyuma kilometres za Gari kwa sababu mbalimbali, hivyo mm...
Nissan yaunda magari mapya ya umeme
Kampuni ya magari ya Nissan imezindua magari mapya ya umeme, wakati inakabiliana na ushindani unaozidi kukua wa magari ya umeme
Aina hiyo mpya ya magari...
Habari zenu wanajamii,
Kuna gari ina tatizo ambalo nashindwa kulielewa/kulielezea sawa sawa.
Ni kwamba radio ya gari inazima (inakosa umeme?) baada ya muda fulani. Nikichomoa terminals za betri...
Hello Gentleman and ladies, naombeni kuulizia .Napenda sana hizi gari aina ya Toyota Rush ,mwenye kujua uimara wake na kuiagiza mpaka ifike hapa Dar Port ina cost milion ngapi . naombeni msaada...
Wadau ninahitaji grill za show ya bumper ya mbele kwa ajili ya vw touareg ya 2006 pamoja na ya taa ya fog. Zote ziwe za upande wa kulia.hii kwa ajili ya fog lighthii kwa ajili ya show.
Napatikana...
Habari wana jf,kuna maeneo ya mkoani nimepita mfano tabora nimeona nyumba nyingi zikiwa zimepigwa x ,nilimsikia raisi akisema ni mita 30 tu,lakini Hawa jamaa wanapima mita 70.,hii ipo kisheria?au...
Za jioni naomba kuuliza tatizo la gari inapofika kwenye mlima mshale wa spidi haupandi kuzidi namba 2
Pale ila ikifka tambalale unatembea kawaida
Na matumizi ya mafuta yameongezeka kwa hizi siku...