Habari wakuu,
Kama heading inavyojieleza, kapita pita pita zangu nikapata hii taarifa kuwa walimu hawalipi yale makodi ya TRA wanapoagiza magari, naomba wenye ujuzi wanipe ukweli upoje na kama...
Habari wakuu.., Napenda mwenye uelewa aina ipi ya harrier kati ya old model au second model yenye matako ni nzuri.Kwa maana ya gharama za uendeshaji,durability nk.Nawasilisha.
Sent using Jamii...
Wakuu eti ili coaster iweze kuwa inafanya Masafa marefu mfano ;mbeya-tanga nahitaji kufanya modifications gani ili isiwe inasumbua?? Hasa hasa Mitsubishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za asubuhi wakuu! naomba kujua faida za kufunga turbo ktk gari ya ndogo kuna rafiki yangu ananisihi nifanye hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
WanaJF samahanini,
Kumekuwepo na tabia ya wauzaji wa magari hasa madalali kudanganya wateja kwamba gari haijarudiwa rangi. Ili wauze gari fasta.
Naomba kujua namna ya kutambua gari iliyorudiwa...
habari jf.
Kuna jamaa yangu mwezi wa 10 anastaafu, sasa kama ndugu yake kanambia anataka kuingia katika biashara ya kuendesha gari ndogo za mizigo hususani MT canter sasa nilikuwa nahitaji...
Habari za jumapili ya leo? Natumai wengi mmetulia mkijitathmini namna ya kuanza mikiki mikiki ya wiki mpya mbele yetu.
Nimekuja hapa nikiwa nina shida moja, gari yangu siielewi.
Gari ilianza...
Ndugu wanajamii, habari zenu!
Naombeni wataalamu wanisaidie kuniambia tatizo ni nini? Gari yangu aina ya Allion A15.
Huwa narecord Mileage kila nikiweka Mafuta ila nishangaa nikiwa njian juzi...
Habari wadau
Gari langu limepata ajari naombeni msaada wa fundi nzuri wa kunyoosha na kupiga rangi { awe na bei za wastani}
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za humu ndani waungwana. Huwa nafurahi sana na mada za humu ndani. Leo nina mada kuhusu mafundi na garage tunazopeleka magari yetu kwa matengenezo.
Nimemiliki gari moja(rav4) kwa miaka 4...
Habari za majukumu wanajukwaa.
Kuna hizi gari ambazo zinakuwa na freezer/jokofu kwa nyuma zinaitwa Freezer Truck/van , nimeangalia katika mitandao ya wauzaji wa magari na kukuta aina nyingi za...
Wataalamu nna gari yangu iligonga mti airbags zilipasuka hasa kwenye steering ndio imeharibu show mana imechana honi haipigi tena
steering nimeulza ni 200k
Je airbags znapatikana? mana steering...
Mimi ni msafiri wa mara kwa mara especially kwenye hizi nchi za kusini mwa Africa, katika hizi safari nimekuwa nikipanda basi za makampuni tofauti kama mchina (yutong, zhong tong...
Sijui niseme ni ugonjwa au ni mazoea yaani nimejikuta napenda sana milio ya magari makubwa makubwa kama scania ikipanda mlima au haya ya mwendo kasi yakisimama pale linapoanza safari yaani...
Nimefanya tafiti yakinifu nakugundua haya magari ya muingereza yaliyojizolea sifa duniani nakuwa kama nembo la taifa Lao yakizeeka yanakonda, kusinyaa na kuchukiza sana.
Yakiwa mapya kama hili...
Wana Jf naomba kupata uelewa kuhusu hizi rimu zipi ni imara na kunatofauti gani itatokea kwenye gari endapo utatoa sport rim na kuweka steel rim?
Msaada please
Sent using Jamii Forums mobile app