maalum kwa mafundi umeme wa magar,,tupeane ushauri wa kiufundi na namna ya kutatua matatizo ya umeme katika magari,,pia wenye maswali yanayohusiana na umeme wanaweza kuuliza,,
Wadau naomba msaada. Toyota Cami inasumbua upande wa AC ukiweka on ac kuna kamlio kanalia kama mluzi kriiiiiiiiiiii. Naomba anaemjua fund mzuri wa ac anielekeze au anipe namba yake plz. Asanteni.
Wakuu za jioni, nina radio yangu ya gari ambayo kila ninapodisconect battery ya gari either kwa matengenezo au vp, radio ya gari haifanyi kazi mpaka uinsert hiyo cd yake, sasa i think imepata...
Wakuu salama nilikuwa naomba kuuliza mwenye softwere inayotumika kupata detail za gari mfano mtu unataka spare ya gari flan unaambiwa utoe au umtumie chasisi au vin number ili uweze kupewa spare...
Naomba msaada wa ubora na ubaya wa Mark II Grande GX110. CC1988. Nataka ninunue hili gari kwa shughuli zangu binafsi. Asante. Cc Mshana Jr , LEGE, RRONDO na wakongwe wengine. Asanteni.
Mwenye uelewa na gari hii ningependa anipe maelezo kidgo coz gari hii ni nzuri sana japo Tanzania ni machache sana ukizingatia lina bei nafuu kwa kuagiza.
Inatumia ROTAR engine ambazo sijajua...
Kuna ndugu yangu ana haka kagari kanamsumbua kwenye bearing ya tairi la mbele kulia, kila akiweka mpya akitoka tu garage inaanza kupiga kelele na inakuwa imekufa, pia amejaribu kubadilisha hub...
Wakuu nimekuwa confused kidogo hapa, nilihitaji kuchukua gari hii ila kikokotozi cha TRA kimenishangaza, nilihitaji kuchukua Toyota Allex ya 2005 ila nimeshangaa kuona gharama ya uchakavu ya 2005...
Naomba msaada gari almost mpya 6000 km tu toka japan nimeipokea , ikiwa na mafuta kgd sn taa ya empty inawaka lakini gauge iko full tank,
Nikashauriwa labda sababu ya kukaa muda mrefu itakuwa ime...
Nimeenda pale Oilcom Victoria tyre centre pembeni ya duka la nguo wanapouza tairi za good year.
Nimekwenda kubadilisha tairi wakaiba na tyre valve. Kama mnavyoona kwenye link hii kwa michuzi...
Habrini wakuu naombeni ushauri kuhusu ubora wa magari hayo niliyoyataj kwenye heading.kwa maana ya
Comfortability
Performance
Fuel consumption
Maintenance
Durability
Price
Nasubr ushauri wenu...
Wana jamvi poleni na mizunguko ya wiki...mimi ninashida ya mada husi apo juu ningependa kujuzwa namna yakupata taarifa za mapato ya gari kwa njia ya mtandao. Asanteni na Karibuni
10/08/20130
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Japan yatangaza sera mpya kwa Tanzania Sasa Tanzania kuwa nchi lengwa ya Japan
Japan itasaidia Tanzania kuwa kitovu cha uwekezaji katika Afrika...