Habari wana JamiiForums.
Nimejipiga piga hapa nikajikung'uta kila kitu nikanunua Mazda CX5 sasa nilikuwa naomba mwenye kujua garage nzuri yenye mafundi wa Mazda
Jamani naomba elimu, ikiwa umelipia gari kwa dollar 4000 cc 1800 ya mwaka 2007 makadirio ya kodi ya Used Motor Vehicles Valuation System itakuwa inaanzia sh ngapi hadi ngapi?
Watu wengi wamekuwa na utaratibu wa kununua gari wanazotamani kuwa nazo, lakini ukweli ni kwamba matumizi ya gari kuna muda ni makubwa kuliko uhalisia wenyewe, mimi kama muagizaji na muuzaji wa...
Kumekuwa na mjadala tweeter juu ya chuma ya UMEME wengi wanadai hii ni Tesla S7 na wengine wakidai ni BYD Co na wengine wanasema ni Changan Deepal S7.
Mtaalamu wa haya magari Mad Max utatusaidia...
Habari,
Naulizia kwa mwenye uzoefu wa hizi scooter za Kichina, TVS Jupiter (sina uhakika kama kuna models, brand nyngne) ambazo kwa mwonekano ni kama Honda Click ama Yahama. Changamoto yake hasa...
Habar wakuu,Nina pikpik aina ya boxer bm 150 sasa hii pikpiki huwa inatoa mlio wa kwenye injinimlio huwa huwa kama Luna kitu kinagonga gonga ndani ya injini
Kwa mafundi nimepeleka na wamebadili...
Hummer ni chapa ya magari ambayo ina asili katika magari ya kijeshi ya Marekani yanayojulikana kama Humvee (High Mobility Multipurpose Wheeled Vehicle). Historia ya Hummer ilianza mwanzoni mwa...
Habari za siku mabibi na mabwana kama ilivyo ada tunaendelea tulipoishia katika mada ingine tena.
Leo tutaelezea milio ambayo ukiisikia kwenye gari yako jua kuna tatizo na tatizo husika, Kiufupi...
Wazee naomba msaada nahitaji gari nzuri 4 wheel drive tunataka kukodi tarehe 17 mwezi huu kutoka Dar mpaka sumbawanga na kurudi. Safari itakua ina vituo mbali mbali kama morogoro,mikumi,mbeya...
Nawasalimu wote jukwaani
Kutokana na kuzidi kupaa kwa bei za mafuta napenda kujua zaidi kuhusu hizi hybrid cars. Ufanisi wake, uimara wake, consumption ya mafuta[nimesikia ni ndogo] na mengine...
1. Wale wote wanataka kuagiza magari nje ya nchi mwaka ujao wa fedha wajipange maana Dr wa Uchumi (PhD) First class ameongeza tozo ya kuchangia ujenzi/maendeleo ya reli (1.5% mpaka 2.0% ya CIF)...
Nimejichanga Sasa nataka kununua gari ili kujipongeza. Je gari gani ya kununua?
Kati ya Benz E200 ya kuanzia 2009 Vs Subaru Forester XS ya kuanzia 2008.
Wanaotumia honda Fit, naomba mniulize chochote tushirikishane uzoefu. Watu wengi wamekuwa wakiharibiwa magari yao kwa sababu tu ya kukosa uzoefu Kuhusu Honda Fit
Asante
Wakuu baada ya kudumu na HARRIER kwa muda nimepatwa na hamu ya kubadilisha gari. Nilitamani ALPHARD, XTRAIR au DUALIS.
Kuna jamaa yangu kanishauri kwamba huko nikama kurudi hatua moja nyuma...
Wakuu kwema. Kusave muda, hii ni kwa wapenda Hybrid na Electric Cars.
Haya, Zero Emission Vehicle Mandate (ZEV Mandate) ni "sheria" waliojiwekea nchi za US, EU na China ambapo wana lazimisha...
Mwaka 2021 niliwahi kuleta story ya Range Rover fulani ya mzungu mmoja kule Zanzibar. Nadhani baadhi ya member watakuwa wanakumbuka.
Ila short story ya hiyo gari mpaka inawaka, Unaweza kuangalia...