JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari wakuu, Nimechunguza na kugundua kwenye Road Traffic Act ya Tanzania kuna sheria ambazo hazijaainishwa vizuri haswa kwenye suala la kuvuta trailer ndogo (binafsi). Kwa wale mnaofahamu...
1 Reactions
1 Replies
242 Views
Nahitaji Kagari cha mizunguko ya Mjini na Visafari vichache vya mikoani, Baadhi ya Maeneo nitakayofika yana Rough and Aggressive Roads. Hiki kisuzuki kina cc 1300 na kipo juu kiasi kwamba...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Namiliki gari aina ya cresta gx 100 yenye injini ya 1G kavu. Hii gari wakuuu Mjapani hapa alicheza kama pele gari iko na starehe kama yote wakati unadrive. Kama ni mzee wa myendoo basi hapa...
21 Reactions
121 Replies
18K Views
1. Je, ni full hybrid? 2. Inaweza kutembea kwa betri engine ikiwa iimezima. 3. Fuel conception ikoje.
0 Reactions
1 Replies
739 Views
Wakulungwa salaam! Napenda sana gari aina hii nataka nipate sifa yake na Bei yake Ili nione kama naweza kununua na Mimi nianze nayo maisha. Naomba sifa yake na Bei yake please Sent from my...
5 Reactions
85 Replies
7K Views
Naomba kueleweshwa kuhusu hizo gari kuhusiana na uimara na utumiaji wake wa mafuta. Mwenye uelewa please. Au ushauri gari gani nyingine inayofanana muundo na hizo ambayo ni economy kwenye mafuta...
0 Reactions
27 Replies
11K Views
Hii trend ya kuuza gari mtu anaangalia usajili wa namba namba ya gari ni ya lini mfano EEM, DYL, DME ndo atamke bei ni ushamba sana unaendekezwa na washamba, Kwamba gari nzuri ni yenye namba...
8 Reactions
32 Replies
4K Views
Ngumbaru na Wazalendo wenzangu hii ndo gari ya kumilik Kama Una hela ya mawazo Kama Mimi. Bei nafuu, mafuta inanusa na Spea bwerere.
7 Reactions
48 Replies
6K Views
Hii kwa wadau wa motorsports & movies. Kuna hizi upcoming movies mbili zinakuja zinahusu F1 kwa 100% ziweke kwenye list yako. Sena (2024) Hii itakua chini ya Netflix, sio movie kabisa ni...
4 Reactions
8 Replies
435 Views
✓Kwenye gari Kuna vitu vingi sana kama havio sawa vinapelekea gari kutumia mafuta mengi kuliko kawaida. Kwa mfano 1) Kutanuka kwa matundu ya nozzle. 2) Kuchoka kwa spark plugs 3) Kuwepo na...
4 Reactions
12 Replies
730 Views
Wakuu 2021, Inshallah nimefanikiwa kumilik hii SUV. Nimejinyima for 11 good years kufanikisha hili. NB: Vijana jifunzeni uvumilivu katika kutafuta
49 Reactions
326 Replies
25K Views
Habari. Hadi sasa TOYOTA hayupo nyuma katika kipenge chake cha kushika soko kwa aina fulani ya gari ambazo huwa nyingi kupita maelezo. Kama ilivyokuwa zamani model nyingi zimepita ila kuna moja...
9 Reactions
122 Replies
25K Views
Wakuu hizi mini coopers msizichukulie poa mkadhani Ni size ya IST sijui Vitz zenu. Mzungu Katia Mini Cooper 5 door (2022) speed 260kph ni motoooo. Bei inakimbizana na SUV zenu mnazovimba nazo...
15 Reactions
46 Replies
7K Views
What is the technical challenge of Subaru Forester XT Subaru challenge
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Msaada kwa wanaoifahamu, waliowahi kuendesha au hata kumiliki hii gari aina ya FORD EVEREST TITANIUM 2022. Kuna rafiki yangu anataka kununua hiyo gari 0 km anaulizia; 1. Upatikanaji spea hapa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Daah baadhi ya hawa wenzetu ni changamoto sana kwenye utunzaji vyombo vya usafiri hasa gari ya nyumbani. Wanachokijua ni kuwasha gari na kutoka nalo mkuku. Maadam wese lipo yeye anachojua ni...
16 Reactions
46 Replies
1K Views
Usukani ni kitu ambacho hata mtu ambaye hajui gari anafahamu, ni kitu ambacho hata watoto wadogo wanakijua lakini ukweli ni kwamba watu wengi sana ikiwemo madereva ambao wana leseni na uzoefu...
4 Reactions
1 Replies
1K Views
Nataka kuagiza hzi pikipiki za umeme zinazotamba kwa sasa, kibongo bongo naskia zinatembea kwny 1.5m ila nimejaribu kuangalia huko China zinapotokea naona zinarange kwenye 260$ kupanda juu hadi...
0 Reactions
8 Replies
570 Views
Tabia yake Oil inakuwa nyepesi jinsi inayopata joto na kuwa nzito jinsi inavyopoa. Kwahiyo kufahamu viscosity sahihi kwenye cold start na operating temperature ni muhimu! Viscosity ni resistance...
18 Reactions
155 Replies
27K Views
Nineweka full tank lita 65 ajabu nimetembea km 350 mafuta kwishney leo nimejaza tena.
3 Reactions
348 Replies
97K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…