Aisee! Wakati baadhi ya watanzania kila uchwao wakilalamika ugumu wa maisha mtaani wakati huo huo kuna baadhi ya watanzania kila uchwao wananunua magari ya kifahari na gharama kubwa mno. Kama wewe...
Nimejifanyia self-assessment katika kipindi cha miezi mitano nimeona kinatosha kunipa picha ya utamu na uchungu wa kumiliki gari.
Wakati naagiza gari uchumi wangu haukua stable kivile, plus...
Ushauri kati ya Toyota landcruiser yenye engine ya 1HZ au 1GD-FTV
Habari wana JF
Naombeni ushauri wenu je kati ya Toyota landcruiser yenye engine ya
1. 1HZ-manual cc 4,164 CC
au
2...
Wakuu vipi.
Majirani zetu Uganda wanamzuka sana na Electric Vehicles na Hybrids. Kuonesha mzuka wao, serikali ikaona itoe kodi (zero tariff) kwenye EV, E-Bikes na kupunguza kwenye hybrids kwa...
Wadau Gari imekuja na Tairi Size 225/65/R16 nataka kufunga TAIRI MPYA NA.225/70/R16 je kuna TATIZO Lolote KIUFUNDI?Naomba Ushauri wetu.
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Wakuu habari.
Bado Watanzania wengi tuna wasiwasi kuhusu "transformation" kutoka kwenye magari ya kutumia mafuta (ICE - Internal Combustion Engine) kwenda magari ya Hybrid (pamoja na Plug-in...
Wadau.
Naulizia maduka/ mtaa wenye maduka ambayo nitapata battery za magari ambazo ni genuine.
Kuwe na brands tofauti niweze kuwa na uchaguzi mpana.
Nipo Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau salam,nina premio Old,7A.Nataka niibadili iwe 5A maana ninahisi 7A matumizi ya mafuta ni makubwa.Sasa swali langu,je nitahitaji kubadili nini na nini.
Nasubiria ushauri kutoka kwa watalaam...
Ingawa yote ni magari ya kazi, nahisi kuna linalomudu zaidi mazingira ya "kipori pori" kuzidi "jenzake".
Muda mrefu litakuwa likitumika Kanda ya Ziwa na mara chache Nyanda za Juu Kusini, hasa...
Wadau wa JF Garage.
Kuna chuma, EV kutoka kampuni la Kijapan Mitsubishi inaenda kwa jina Mitsubishi i-MIEV (Mitsubishi innovative Electric Vehicle).
Hii unaweza kuipata BEforward kwa bei kati ya...
Kila nikitaka kununua gari nawaza sana je nizingatie vitu gani ambavyo nitaviangalia ili kupata gari zuri
Maana kuna jamaa mmoja kanunua gari mwezi tu kalipaki kisa ubovu, na mimi sitaki yanikute...
Sijaiona picha ya sehemu za nyuma za gari hii. Ikiwa imeharibika hapo tu panapoonekana kwenye picha serikali itatumia zaidi ya milioni 50 kutengeneza gari hii.
Gari itakaguliwa na TEMESA...
Nataka kubadili engine , ya gari aina ya Isuzu bigon, ili niweke engine nyingine tofauti.
1: Je engine ya aina gañi iliyo nzuri kwa matumizi na inayo weza Ku fiti vzr kwenye body ya Isuzu bigon
2...
Habari za mda huu wakuu, na poleni na majukum ya kujenga nchi.
Nina Prado fj120 ya 2004 nataka ku iupgrade kubadisha muonekano wake mpka 2021 nje na ndani,ni upholstery gani kwa hapa Dar es...
Wakuu Habari.
Leo nilipenda tujuzane kidogo kuhusu BMW 3 Series. Kila mtu aliewahi kumiliki au kuendesha au ata kama kuna fundi aweze kutupatia Experience yake kidogo kuhusu hizi gari. Hii...