Wakuu mambo vipi poleni na majukumu yakujenga taifa nawapenyezea hii wale wapenda magari na miendo Ile drag race iliyofanyika mwaka jana pale Nyerere Bridge Kigamboni inarudiwa tena hii ni season...
Wakuu, tukubali magari ya umeme yanazidi kuongezeka kwa kasi sana ndani ya hii miaka mitano. Na inavoelekea yatazidi kuongezeka maradufu. Mfano tu angalia hii chart nimeitoa Wikipedia.
Sasa kwa...
Hizi gari za kununua South Africa MAKABURU na WAZULU wameshazitembelea kilometres za kutosha mpaka sio poa. Kukuta gari imetembea 400,000 kms huko sio jambo geni sijui jamaa wanaendesha kwenda...
Hello wana JF,
Naomba mtu anayefahamu fundi wa Mitsubishi anisaidie kwa Arusha.
Gari inachelewa sana kubadili gear na inatembea kwa rpm kubwa sana kwa speed ndogo na kuna muda inakosa nguvu...
Habari wana-JF kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, ningependa kujua ni gari gani ya kuagiza kutoka Japan inaweza kupatikana kwa 17m baada ya kodi. Yaani mpaka inafika mkononi icheze kwenye 17 na...
Tuache bei ya chuma yenyewe, ila TRA wanataka Mil 185 ukileta hii kitu tena ya 2024. Sasa sijui ikiwa 0 kilometa kuna excuse?
Kusema kweli kuna magari mazuri ila ushuru kichomi.
Tukipishana...
McLaren ni ndoto ya wapenzi wengi wa magari. Ila bei sio rafiki. Mfano, hii McLaren Senna inauzwa MSRP $1,000,000 ambayo ni kubwa sana.
Sasa McLaren wametengeneza Sena 30 ambazo ni toy, zenye...
Land cruiser vx v8 hii gari isikie tu!
Hii ni ndege ya chini!
Ukionja hii gari unaweza ishauri Serikali kuwe na leseni maalum kwa madereva wa hizi gari maana ni ndege ya chini wallah!
Nahisi...
Habarini wapendwa, Nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye mada, je gari ukiwa unaweka full tank na sio ya mafuta ya buku kumi kumi inapunguza ulaji wa mafuta?
Yaani kuna mtu kanishauri gari...
Wakuu wafanyabiashara hamjambo humu! Nataka kujua Bei ya basi aina ya YUTONG ni kiasi gani na kama unanunua nje ya nchi, hadi kufika hapa kwetu ni thamani ya shilingi ngapi mpaka naipata mkononi...
Mwaka 2010, Nissan walitengeneza Nissan Juke 1st generation iliokuwa designed na Kenji Kawasaki na mwenzie, wakaja na hii design:
Ni gari nzuri, nje na ndani, comfortability, efficiency na...
Wakuu nataka kuagiza Gari SUV Japan. Katika kuperuzi nimeangukia katika Gari hizo 2 naombeni ushauri wenu Isuzu Bighorn (Diesel 3000cc) vs SUZUKI GRAND ESCUDO (Petrol 2730cc). Nichukue ipi...
Mi hadi nachoka. Hawa jamaa bwana. Naikuta single cabin CIF $6,000 (mil 16) uko Beforward.
Hafu eti ushuru sasa wa TRA mil 28 unalipa. Karibia mara mbili ya bei ya kununua.
Gari ya kazi...
Siku hizi magari yamekuwa bidhaa iliyozagaa kama Madera pale Kariakoo.
Kuna gari yard.. Kuna za minada.. Kuna za mikononi..
Gari za mikononi ni pendwa kutokana na bei yake kupoa kidogo.. Ingawa...
Kuunda boat ndogo ni rahisi utengeneza body , unaweka injini na vifaa vingine vya elektroniki, na inaweza kwenda kwenye trela ili kusafirishwa popote. Mchakato wote unaweza kudumu kwa miezi...
Shwari?
Ushawahi kuazimisha gari kumbe limerudishwa na deni bila kujua? Au umefika muda wa kulipa bima ushasahau?
Basi tukumbushane:
Kuangalia Deni la Trafick:
TMS CHECK
Kuangalia Bima ya...
Toyota Raum ni gari dogo lililotengenezwa na kampuni ya Toyota na kuuzwa kwenye soko la ndani la Japan (JDM) kuanzia mwaka 1997 mpaka mwaka 2011 ambapo uzalishaji wake ulisitishwa rasmi. Gari hili...