Baharia (Seafare) ni mfanyakazi yeyote katika meli. Katika meli kuna mabaharia ambao ni maofisa (Officers) na ambao si maofisa(Crew).
Meli ina idara kuu 3 kulingana na mgawanyo wa majukumu na...
Wakuu....
Hizo features zipo kwenye Subaru forester huwa zinanichanganya kujua Zinatumika wakati gani..
Sport mode naijua vizuri maana hata kwenye Rumion yangu naitumia, ila kwenye Subaru...
Umewahi kuona hurrier ya kijani au njano.
Au umewahi kuona Land cruiser V8 new modeli ya njano.
Kwa kifupi Tanzania sijawahi kuona gari ndogo za kijani.na njano
Wakuu ni kara ya pili sasa inanitokea,
Mara ya kwanza nilipeleka gari yangu ikiwa mpya, kwa kuwaamini madogo kwa kuwa ndo car wash pekee iliyopo mtaani, nikaiacha gari nikaifata baada ya masaa 2...
Waungwana habari zenu. Naombeni ushauri,nina gari yangu TATA XENON DICOR 3.0L. Nahitaji kuibali Engine niweke injini ya Toyota. Je niweke injini gani inaweza kuwa poa.?
Salaam wanafamilia,
Naonaga mara nyingi dereva akibadili gear kwenye lorry kuna mlio wa gesi kuwa released kama sauti inayotoka akiapply brakes,, naomba kufahamu kama kuna uhusiano wowote wa gear...
Habari zenu wana JF.
Nahitaji badilisha rim za kwenye gari yangu zilokuja from Japan na kuweka hizi alloy wheels or sport rims.
Gari yangu ni porte na huwa nasafiri kwenda mkoa mara moja or...
Kama wewe ni moja ya wale wanaopenda walahu kujua kwa mwonekano baadhi ya vipuri vya magari hasa katika engine ambapo wengi wetu tumekuwa tukisumbuana na mafundi wanapotuelezea vifaa vipi vimeisha...
Habarini Wakuu,
Tangu mwaka wa 2018 June nilikuwa nikihitaji at least kupata usafiri binafsi. Katika mchakato wa kuwashirikisha wajuzi zaidi wa magari na madalali baadhi wamekuwa wakisuggest aina...
Hii nakupa tu ushauri wewe unayetaka kumiliki gari lako na lisikupe mawazo ya kuonana na mafundi Kila siku.
Asilimia 85 ya magari used Tanzania mmliki huuza kwa Sababu gari linamsumbua, asilimia...
Kumiliki gari na kumaintain gari ni vitu viwili tofauti, ndo maana unaweza kuta mtu ananunua gari kwa furaha anafanya na sherehe mambo ya maintenance yakianza inakua balaa..
.
Unaanza kuona gari...
Wakuu,
Kuna gari Aina ya mitsubishi outlander PHEV, ni gari ambayo nimeipenda kwakua ni SUV yenye muonekano mzuri Ila kikubwa ilichonivutia ni kwamba hii gari ni Hybrid, kwamba unaweza ukatumia...
Tanzania bara na (au) visiwani tulikua katika moja ya nchi za Africa zilizopendekezwa au zilizofikiriwa kuhost Grand Prix.
Ikumbukwe kwa Africa ni South Africa tu waliwahi host F1 GP, first time...
Wakuu. Sijui umri unanienda au? Kuna baadhi ya "trend" za magari naona zinazidi kushika kasi. Najua "maybe" ata Automatic transmission zinavyoingia kuna watu waliona jau, ila ishazoeleka sahivi...
Wadau poleni na majukumu ya kulijenga taifa.
Napenda kujua,maana mara nyingi escudo zenye shape hii,ona picha huwa ni v 6 cc 1990.Je kuna zenye Cc 1590.
Na je kama watalaam wa magari mnanishauri...
Naomba kufahamu unapoongeza maji kwenye gari je injini inatakiwa iwe inanguruma au gari inatakiwa iwe imezimwaka kabisa au switch iwe on?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app