Habari za majukumu wakuu?
Gari yangu aina ya Toyota RAV 4 miss TZ jana ilinasa kwenye dimbwi la maji kwenye kina kirefu kidogo ikabidi mpaka tuite watu yale magari ya breakdown waje waitoe baada...
Nipo Dar es Salaam, na kuna mvua + Mafuriko ila nafuatilia yanayoendelea uko China kwenye Beijing Auto Show ya mwaka 2024, ilioanza tar 25 April hadi 4 May.
Hii Beijing Auto Show kwa jina jingine...
Hadi Sasa plate number zinasoma EH... ikiwa ni miezi 6 tu toka herufi E kuzinduliwa.
Inasemekana Kila herufi ndani ya herufi kuu Inabeba magari 1000. Hivyo toka Herufi E Imeanza tumeagiza magari...
Nimejaribu kupick European Cars ambazo watu wanazinunua sana.
Kwa bahati mbaya sina story nyingi za kununua Mercedez Benz, japo nilitamani ningeweka maelezo ya C class na E class sababu ndio gari...
Wakuu, naamini wengi Gari inakuvutia kwanza muonekano, then ndio unaanza kufuatilia kujua engine, fuel consumption, spare etc hadi unaamua kuinunua.
Sasa kuna gari apa naona kabisa zilikua...
Wakuu kwema.
Mkazi wa Dar, nataka ninunue baiskeli kwaajili ya mazoezi na siku moja moja hali ya hewa ikiwa nzuri natumia kwenda nayo kazini (3KM kutoka nyumbani).
Naomba ushauri wenu, kwa...
Wadau, naomba kujua, kwanini toyota raum 1490cc watu hawazichangamkii sana? zina madhaifu gani?
Vipi kuhusu
1. Uimara na uvumilivu rafu rodi
2. Ulaji wa mafuta
3. Upatikanaji na bei ya spare...
Nina gari yangu Pajero mini dash board inaonyesha Ile sign ya battery/AT na nimeprove alternator haifanyi kazi maana nikichaji battery gari inatembea mpaka battery inaisha kabisa
Sasa wataalam...
Kama mada tajwa hapo juu ilivyo
Kama kuna muuzaji wa pikipiki hizi za kichina anitajie orodha ya aina ya pikipiki alizonazo awake na bei nikielewa nitamfuata mwenyewe pm
Naomba msaada wenu wakuu. Nimezishotilist hizi gari tatu ili ninunue mojawapo.
Vigezo
Uimara kuhimili safari za vijijini kuwaona wazee
Confortability
Upatikanaji wa spea
Uchunguzi...
Habari wadau. Naomba kufahamu zaidi kuhusu hii gari kwa maana sijaona nyuzi nzuri za kuielezea kwa undani.
Je, huwa zinachangamoto gani kimatumizi?
Naiskia huwa inaleta shida katika mfumo wake wa...
Wakuu, kwema.
Kwa wale ambao wamewahi kununua gari, kwa kuagiza, kwa mtu au showroom, hivi rangi ya gari uwa unaiweka katika options zako za muhimu au?
Kwa upande wangu, rangi ya gari nilikua...
Wana JF,
Kwanza kabisa wasalam. Wakuu nna shida kadi yangu ya pikipiki imepotea kwenye mazingira ambavyo sikumbuki hata mara ya mwisho nilikua nayo wapi.
Pikipiki yenyewe nilinunua Kwa mtu hivyo...
Habarini Kwema !!!, na gari yangu aina ya Toyota Brevis nilinunua kwa mtu hii gari shida yake kubwa nikiwa naiendesha inazima tu gafra yani cjajua shida nn mana nilinunua mwezi wa 6 mwaka huu...
Wadau na wataalamu wa Magari naombeni ushauri gari yangu ninapowasha AC inatumia mafuta mengi sana.
Kwa mfano nisipowasha AC ninaweza tembea 12km/L mpaka 13km/l hapa mjini,Lakini nikiwasha AC...
Ukiangalia mifumo ya dunia mingi ni universal, lakini hali ni tofauti kwenye uendeshaji wa magari!
Kuna nchi unaendesha kushoto, nyingine kulia, nisichoelewa ni kipi kilisababisha wasikubaliane...