Nina Nissan Hardbaody J8 ya mwaka 2009,
Ilikuwa na ZD30 engine imekufaa.
Nataka kuweka Engine nyingine nimekutana na mafundi tofauti Kila Moja anamapendekezo yake ya engine ya kuweka,
Kwa mwenye...
SHIP BREAKING/SHIP RECYLING/SHIP DEMOLITION/SHIP CRACKING/SHIP DISMANTLING
Hii ni kitendo cha ukataji wa meli kwa ajili ya kutoa vipuri, malighafi za vyuma ambazo zinaweza zikatumika tena au...
wadau naomba tujuzane bei ya hizi gari nnchini afrika kusini. lengo nikujua kama ziko chini kuleko kwetu tanzania au la.
1.ford ranger
2.mercedes benz
3.toyota hilax
na jee ni njia ipi rahisi ya...
Habari za Jumamosi wakuu.
Nipo safarini kutoka Dar naelekea mbeya na kesho niunge Border Tunduma katika harakati za uchakarikaji.
Nikiwa naandaa safari yangu lilinijia wazo na nikawaza mengi juu...
Habari za kazi wakuu poleni kwa mapambano ya Corona....naombeni ushaurini wenu nina gari Mitsubishi pick up L 200 ya mwaka 1995, ugonjwa mkubwa unao Ni sumbua upo kwenye engine maana sijawahi...
Wadau habari!
Mimi Leo naomba kufahamishwa kazi ya Antenna zinazofungwa kwenye Magari. Mfano ni katika picha hizi [emoji116][emoji116]
Naomba tufanye ku share elimu.
Habari wana jamvi ,
Nina toyota crown nimekuwa nikiitumia kwa mda mrefu ,
Leo katika kuwasha gari asubuhi ,ghafla nakuta gauge /mshare wa mafuta haufanyi kazi vizuri ,yaani unashuka na kupanda...
Habari wakuu. Bila shaka nyote ni wazima na mishe mishe zinaendelea kama kawaida. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu uagizaji wa magari.
Internet imerahisisha sana shughuli za...
Za saizi wadau.
Hivi hizi hiace commuter zinazo toka japan bila viti ni wapi watu wanatengeneza hivi viti hapa TZ au kuna sehemu za kununua already made kwa ajili ya Hiace commuter?
Wadau.
Naomba msaada na ushauri juu ya garage/ fundi mzuri ambae anaweza akanifanyia Body works & Painting kwa Toyota Land Cruiser 70 series.
Location awe ni Dar es salaam
Wadau naomba uelewa juu ya hii kodi ya umri (age) kama inavyooneshwa kwenye TRA calculator
Reference Number:
22234104475
Make:
TOYOTA
Model:
HARRIER ZSU - 60 / 65
Body Type:
SUV
Year of...
1) Ondoa mguu wako kwenye accelerator na Washa taa za dharura (hazard lights)
2) Pump (kwa kukanyaga na kuachia) pedal ya breki kwa haraka haraka
3) kama ulikuwa kwenye gia kubwa ipeleke haraka...
Kama kuna mdau hapa,ana taarifa juu ya namna ambavyo mtu anayeanza kazi anaweza kupata mkopo wa gari,bila ya kuwa na pesa taslim,ila awe anakatwa kila mwisho wa mwezi.je afanyeje kupata mkopo wa...
Ukiangalia hapo kwenye picha inaonyesha kabisa sehemu ilipogonga na kuharibika.
Hivyo kupelekwa Nairobi kwa ajili ya matengenezo.
Kisha ukiangalia kwenye Total.
Hii gari imegharimu shilingi za...
Gari yangu ya mwanzo ist kwa kweli Nilikuwa nawaonea wivu sana mkitamba humu ila Nilikuwa sina la kusema.
Nimenunua unyama mwingine wa subaru na leo nlikuwa kwa fundi kufanya marekebisho ya...
Hii kampuni ya Kijerumani yenye makao yake makuu katika jiji la Munich inatengeneza magari bora zaidi duniani.. Magari ambayo ukiendesha lazima upate furaha.. Gari huichoki.. Driver oriented...