JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Kluger model 2005 to 2007 vs Subaru forester 2008 to 2011. Sijui ipi wakuu itanifaaa kichwa kinazunguka sielew kabisa. Lakin naitaj gar yenye nguvu, comfortable barabaran ,rough road iwe vzuri...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari wakuu, Naomba ushauri Wa Mark 11 grande GX 110 wanja yenye engine ya 1G beams 2000 ulaji wa mafuta na pia kama mtu anayo ya 2004 namba D iliyo nyooka tuwasiliane
3 Reactions
10 Replies
885 Views
Habari wadau, hizi gari zinaonekana kama sawa hivi, ila naomba elimu zaidi ya google. Probox ya 2015 vs succed ya 2013 ipi nichukue? Je ni kweli succed ni probox ilio boreshwa? Kama ni kweli...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wataalamu wa kodi za magari naomba nieleweshwe kidogo juu ya hotuba ya Jana ya mawasilisho ya budget ya serikali kwa mwaka 2023 /2024. Moja wapo ya kipengele ni magari yanayotumia umeme na gesi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wana jamvi nauliza garage au fundi mzuri wa Mitsubishi Outlander Dar es Salaam
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Salaam waungwana mafundi Wa ukweli Na wale makanjanja mnaotengeneza hiki huku mnaaribu kile ili turudi kwenu Mara kwa Mara salaam sana Jama Nina pikipiki yangu aina ya TVS cc150 cha kushangaza...
2 Reactions
32 Replies
22K Views
Ndugu wana JF kulingana na utafiti wangu mdogo nimeona kuna uhitaji wa uzi wenye kujuzana wapi unaweza pata vitu kama vilivyotajwa hapo juu na vingine vinavyohitajika katika magari au mashine...
4 Reactions
72 Replies
7K Views
Habarini wakuu. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna hizi gari ambazo tunazi consider kama ni gari za aina moja, kwamba zinafanana kwa kila kitu. Naongelea Qashqai vs...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani msaada, nina ka TVS kangu kamechakaa sana je naweza nikakapaka rangi na ni rangi gani nzuri? Nataka nipake sehemu zote injini hadi chassis
2 Reactions
3 Replies
936 Views
Habari wandugu, Naulizia betri nzuri kwa gari Tajwa hapo juu na gharama zake. Sijawahi kubadili betri toka imefika.
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wakuu? Naombeni ushauri, wish yangu inakula lt1 km4 tatzo itakua nini? Wataalamu nisaidieni.
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Wajumbe habari poleni na majukumu na pilika pilika za kila siku Nina swali kwa walio kwisha tumia Mark x na brevis napenda sana hizi gari na ninataka kuchukua moja wapo ipi ita faa ya kwendea...
10 Reactions
51 Replies
13K Views
habari zenu kifupi nimekutana na msala huu. Katika kukagua gari nkakuta stable au kipaja cha diff ya canter nati ishachomelewa kwa hio beringi ikiungua au kuharibika huwezi kuibadili. Katika...
1 Reactions
2 Replies
542 Views
Habari zenu wakuu heri ya mwanzo wa wiki ambayo ndani yake tunatarajia sikukuu. Kama ilivo ada leo ningependa kuzungumzia kitu ambacho kuna debate kubwa sana ndani yake kwa madereva na mafundi wa...
11 Reactions
32 Replies
8K Views
Anayeijua sifa ya hii gari wakubwa kuna mtu anaiuza nawaza kuinunua. Toyota Allion
0 Reactions
2 Replies
879 Views
Waungwana naomba mwenye uelewa wa namna ya kuitambua pikipiki SANLG original anisaidie maana nina mpango wa kujitafutia kausafiri hako japo ka kimaskini. Nawasilisha.
0 Reactions
5 Replies
881 Views
Huu uzi nilitamani ningepata Automatic Gearbox mbovu nikaufanyia video. Kwa maana ninaamini kwa njia hiyo wote mngenielewa vizuri. Hata hivyo nitajitahidi kuelezea kwa kadri nitakavyoweza. Hebu...
39 Reactions
140 Replies
10K Views
Ukiwa na changamoto yoyote kwenye basi, wasiliana na LATRA 0800110020. MAGUFULI BUS TERMINAL 0734450010. Watu wengi au abiria bado hatuna elimu ya kutofautisha haya madaraja ya mabasi licha...
4 Reactions
8 Replies
979 Views
Habari wakuu, Swala la kupenda gari na kutunza ni kipaji ambacho watu wachache wamejaaliwa hii unaikuta kwamba magari ya aina moja yalioagaizwa mwaka mmoja limoja linakua linamuonekano mzuri...
1 Reactions
2 Replies
387 Views
Kiukweli leo nimesikitika sana baada ya kukutana na gari iliyoingia nchini mwaka jana(2021), Ni zile namba D za mwisho mwisho lakini tayari ina majanga makubwa mno. Gari yenyewe ni Porsche...
19 Reactions
62 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…