JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari za mda huu ndugu zangu Ningependa kufahamu kwa anaye fahamu au anyejua kufanya shipping ya diagnostic machine kutoka nnje model mwaka 2022-2023 Naomba anisaidie au kama kuna mtu anafanya...
2 Reactions
1 Replies
393 Views
Taa za mbele(bim na full)zote haziwaki, lakini pass light zinawaka, indicator zote zinawaka,na hazard zinawaka, gari ni RUNX 2005,INZ,nimefanya yafuatayo 1. Pale kwenye fuse box ya engine slots...
1 Reactions
3 Replies
790 Views
Matumizi ya vileo - hii sio rocket science, inajulikana ulevi unapunguza umakini barabarani. Matumizi ya simu za mkononi hasa ya mara kwa mara - mtu anaendesha huku anachat WhatsApp na kujibu...
3 Reactions
2 Replies
442 Views
Ndugu wataalamu mnaoendesha bajaji za umeme. leo nimeendeshwa na dereva wenye bajaji ya umeme na kuongea naye kumenipa wazo la kununua bajaji ya umeme mwenyewe. Dereva aliniambia bajaji za umeme...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Salaam wadau! Nina toyota Vitz 2000 1300cc ambayo haina hata miezi mitatu tokea iingie Tanzania! Nilihakikisha fuel tank mafuta yameisha nkatia mafuta 27Lts na kwenye fuel gauge ilionesha 5 bars...
5 Reactions
53 Replies
13K Views
Hii gari imekuwa kila kona ya mji imekuja kwa wingi namba E kuna nini huko wajuzi tuambieni
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habarini ndugu watanzania wenzangu. Naombeni kupata uzoefu wenu kwa biashara ya daladala kwa hapa jijini Dar es Salaam, ningependa kufahamu, changamoto zake, fursa zake, namna bora ya uendeshaji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hellow! Jaman samahani naomba msaada nimeulizwaa. Swali kwamba nitaje mifumo minne inayoisaidia injini kufanya kazi!? Naomba msaada
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii gari ni ist ijayo. Ambaye amewahi kuwa nayo, tunaomba mrejesho.
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,hizo aina mbili tajwa hapo juu, ni gari ambazo huwa naziona barabarani na nimetokea kuzipenda Kwa muonekano wa nje. Kwasasa natumia Toyota...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Kipi unahitaji kufahamu haswa?, Uliza swali lako na nitalijibu hapa kwa kina.
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari wakuu. Naomba kutoa angalizo ama ufafanuzi kidogo kuhusu nafuu ya kodi pale utakapoagiza gari zilizotengwa South Afrika. Nimeona mijadala mingi humu watu wakisema kuna unafuu mkubwa wa...
23 Reactions
54 Replies
9K Views
Wataalam habari Ninachangamoto ya kusumbuliwa na tatizo la kusmoke mara kwa mara kwa bajaji yangu aina ya tvs Oil kila baada ya wiki mbili block na Piston ni OG na nimefunga wiki mbili nyuma...
1 Reactions
2 Replies
782 Views
Wakuu Naja Kwa UNYENYEKEVU mkubwa kutaka kujua undani wa Nissan pathfinder nimeiona kwenye mnada nataka niichukue vipi spea bongo?
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari Poleni na majukumu Watalam naomba kuuliza Je inawezekana kubadili lugha kutoka kijapan-kingereza Na je inawezekana kuconnect Bluetooth na simu? Anayejua msaada tafadhali Gari ni...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu salama? Nimeweka Engine Oil 20W-50 kwenye X-trail niliyonujua majuzi nipo sawa? Ama nimeingia cha kike? mileage: 41,000kms
8 Reactions
179 Replies
29K Views
Nilijichanganya kwa ushauri kutoka kwa Mafundi uchwara. Nilinunua Toyota Harrier 2990cc Petrol ukiweka Lita 10 kutoka Kimara mpaka Kariakoo taa inawaka. Naliuza kwa 17m TZS Ila wateja hawarudi.
27 Reactions
155 Replies
26K Views
Magurudumu (Tairi) za ndege hazina kiunganisho wala husiano na injini za ndege iwe Pangaboi au Jeti. Gurudumu huzunguka huru kama toroli au au kiti cha kusukuma "wheel chair" isipokuwa tu...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu nyote, Nashukuru kwa wote ambao mlinishauri kwamba nikasome kozi ya Auto electricity. Na hakika ushauri wenu nitaufanyia kazi. Ila kwasasa ninaomba kwa yoyote anayefahamu chuo...
2 Reactions
1 Replies
298 Views
Ngoja niendelee kujichangaa nije nimchukue huyu mnyama full Eletrical vehicle Delivery inaanza tar 23 November Wamerakani wanahamu sana kumpanda huyu mnyama Risasi haipenyi Nyundo haivunji na...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…