JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Bei za Toyota LandCruisers zenye uwezo wa 1VD zimepanda hivi karibuni wakati Toyota ilipotangaza aina ya 2024 LandCruiser 70 Series itakayoendeshwa na injini ya dizeli ya 1GD 2.8-lita yenye...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakubwa naitaji kumiliki gari moja wapo kati ya hizi Subaru Forester ya 2005 na Nissan Dualis 2007 je, Ipi inanifaa zaidi ikizingatiwa ndo mara ya kwanza kutaka kumiliki gari? Nilitaka kujua...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Katika elimu za kidunia za kujihami na majanga mbali mbali tuwapo barabarani, kuna baadhi ya wazee wanashauri hili:- Iwapo upo kwenye gari na ghafla ukaona mtu unayemfahamu amekatisha ghafla kwa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
1. Kufunga Spencer 2. Kubadirishia coil spring na shock ups zenye height kubwa kidogo kuliko zile za awali? Wajuzi wa mambo njooni mtupe ABC kati ya njia hizi ni ipi inaweza isi athiri stability...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuna group la Bwana Chriss Lukosi, bingwa wa minada na magari. Huyu jamaa anajitaidi sana kutuweka kama ulaya na magari ya kisasa. Sasa kwenye magroup kuna marange na madiscover ya UK unakuta...
11 Reactions
79 Replies
8K Views
Kutumia gari yenye plate number za nchi ZA. Habarini za leo naomba kujuzwa je kuna uwezekano nikuwa na gari lenye plate number za nchi jirani na nikata kuitumia hapa nchini kwetu Tanzania kwa...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii gari bana kila nikiiona inanipa hasira sana za kutafta hela wazee ni gari flani ambayo ni sort of a cross over SUV ila design yake imekaa makini sana kwa picha inaonekana ndogo ila in reality...
55 Reactions
1K Replies
99K Views
Wanajukwaa naombeni msaada kwenye hili, nimeagiza gari japan na nimetumiwa profoma invoice na details za kibank kwa ajili ya kulipia inasema tarehe ya mwisho kulipa ni tarehe 9/8/2023 kwa saa za...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Nina changamoto ya gari kuwaka kwa shida, nimebadili spark plug, fuel pump na petrol filter pasipo mafanikio.. Naomba ushauri nipate pa kuanzia. Gari ni Suzuki Escudo old model.
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu, Naomba ushauri juu ya injini ya gari tajwa hapo juu 1KD ya gari aina ya Toyota Land cruiser prado (120) nahitaji kununua. Sina uzoefu na gari zinazotumia diesel. Hivyo naomba...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello, Wakuu nipo road nimepata changamoto ya tyre nikapata mdau akanipa tyre 265/65R17 nimefunga kulia kwa mbele gari yangu ni 2WD wakati matairi yote matatu ni 225/65R17 na bado nina 100Km...
0 Reactions
1 Replies
906 Views
Habari za majukumu wandugu, poleni na hongerani katika majukumu ya kujijenga na kulijenga Taifa. Naomba sasa niende kwenye mada husika. Mimi ninamiliki usafiri wa gari aina ya Toyota Cami. Sasa...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Habarini Wakuu na wajuzi wa mambo, mafundi wazoefu na wamiliki wa malori. Naomba kujua kati ya izo engine za mistubishi canter: 1.4D 33 2.4D 34 3.4D 35 Ipi ni bora kwa canter mayai ton 3.5...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Tunakumbushana tu kuwa Toyota crown Japan ni taxi tu. So tupunguze shobo na kuvimba bila sababu.
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Update: Mzigo wenyewe umewasili *************************************************** Baada ya kukaa sokoni kwa takribani miaka 14, replacement ya Land Cruiser Prado 150 series imeanza kunukia...
9 Reactions
48 Replies
7K Views
Habari wadau! Katika pita pita zangu nimetokea kuipenda sana mazda mpv niwaza maybe siku za mbeleni walau na mimi niweze kuagiza. Naomba ushauri kwa wanaoijua hii gari especially kwenye nyanja za...
5 Reactions
66 Replies
11K Views
Hivi kwa nini haya Ma Prado yanaongoza kuchomoka tairi la mbele? Nimeshakutana na jamaa kama wanne hivi katika nyakati tofauti tofauti wakiwa wamechomokewa na tairi za mbele. Nikawaza kama...
13 Reactions
116 Replies
25K Views
Gari ya petrol imeanza kuwa na tatizo wakati wa kuliwasha. Ninapoliwasha haliwaki mpaka nikanyage mafuta ndio linawaka lakini nikitoa mguu kwenye mafuta linazima haraka sana. Naomba ushauri maana...
0 Reactions
2 Replies
557 Views
Habari zenu wajumbe wa balaza hili tukufu la wapenda magari. Mimi raia mwenzenu mnyenyekevu na Mzalendo nipo hapa mbele yenu kupata maoni, ufafanuzi, ujuzi, taarifa na maelezo ya kina juu ya gari...
12 Reactions
123 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…