Watu wengi huwa tunatumia magari bila ya elimu hasa kwenye kuyahudumia na kwa bahati mbaya kwa Tanzania ni wachache sana hujitolea kuandika elimu mbalimbali kuhusu magari kwani wengi hutegemea...
Habari zenu wakuu. Hakika tunaanza wiki na pia tunaelekea kumaliza mwezi huu wa pili na kikubwa ni kushukuru Mungu kwa pumzi aliyotupatia kwani kwa masikitiko makubwa sana tumepoteza ndugu zetu...
Wana JF,
Habari , niende kwenye lengo nahitaji expart mkali wa software za magari kwa kutumia PC, kufanya training ofcn kwangu SOWETO MBEYA.
Namna ya kutumia softwear mbali mbali kama:
DTC...
Inajulikana scania Ndio wana engine bora zinazodumu Kwnye mazingira tofaut
Je ukiachana na scania je injini ipi bora kuanzia uwezo mpk kudumu kati ya hizi
1/ Volvo
2/nissan UD
3/Mitsubishi...
jamaa kafungia ufunguo ndani ya gari na ka lock milango,na kapandisha vyoo vyote, gari ni runx, msaada tafadhali kwamafundi na wazoefu,afanyeje jamaa..
Kumekuwa na maneno tofauti kuhusu oil za Castrol na Oryx sasa naomba kujuzwa kama ni kweli oil za Castrol zinaenda kilometers 5000 na kama ni kweli za Oryx zinaenda kilometers 8000.
Ahsanteni...
Wakuu naomba msaada wa kujua kubadili kadi ya umili wa gari
1. Gari ina cc 1990 ya mwaka 2000
2. Nimenunua kwa mtu wa Mwanza mwaka jana,ila mimi naishi chanika dar
3. Niende TRA ipi kwa hapa Dar...
Nina gari ndogo aina ya Pickup Toyota Hilux. Gari hii ina plate number ya rangi ya njano. Kwa maana hiyo siitumii kwa kufanya biashara yoyote ni yangu tu ya kifamilia.
Naomba kuuliza je, gari...
Msaada kwa anayefahamu utaratibu mzuri wa kuingiza magari kutoka Singapore. Maana nilifahamishwa kwamba yenyewe yakiingia nchini yanakuwa hayana certificate of inspection na hivyo inabidi kupeleka...
Wakuu kwema??
Ndugu yenu nimechoka Sedans, sasa nataka niingie kwenye hizi Midsize SUV.
Ushauri kati ya Harrier anaconda (2014) na Hyundai (2014) ipi iko vizuri Comfortability, Stability...
Wakuu Habari
Hivi naweza kutumia CVT NS 2 kwenye Gear box ya nissani teana ambayo Recommended yake ni Matic J?
Fundi mmoja ananiambia CVT NS 2 inaingia kwenye Gear box yoyote ya nissani na fundi...
Wadau wa usafirishaji, nina rafiki yangu anataka kusafirisha gari dogo toka Dar kupeleka Arusha kwa magari ya mizigo. Naombeni mwongozo, ni wapi usafiri huo kwa Dar unapatikana? Ni salama kwa gari...
Alafu yamaha terminator au wanaiita yamaha cc 600 hivi here engine inaweza vaaa kwenye body ya pikipiki gani hizi kubwa au wapi naweza pata bodi yenye uwezo wa kubeba yamaha 600cc cold kick
Habari Wakuu,
Nataka nivute Pikipiki kwaajili ya misele yangu hapa Town.
Tatizo Nikiinunua itakuwa Pikipiki ya Washikaji tu. Muda wote naazimwa, Siwezi kupata muda mzuri wa kuinjoy nayo...
Nawasalimu wakuu kwa jina la nguvu na uchakalikaji wetu.
Baada ya kupitia threads nyingi hapa na kujifunza mengi kuhusu magari nami natupia uzi hapa ili kupata ushauri.
Kiukweli mi mgeni sana wa...
Kwa mlio wahi kuzitumia naombeni mnitoe tongotongo, maana nimeziona mara nyingi na nikavutiwa nazo
nachotaka kujua Brand gani ni imara,Na zinaweza kwenda umbali gani bila kuchajiwa, changamoto...