Naomba faida na hasara zake kwenye gari, je kwa mazingira ya bongo ni vyema kuwa na gari lenye sunroof?
NB: Mtandaoni nimekutana pia na kitu kinaitwa moonroof.
Kwa wale wenye uzoefu wa bima mitandaoni naomba msaada wa maelezo.
Kuna gari ilikuwa gereji kwa muda imepona inahitajika bima (thirdy party), mlipaji hana fedha taslimu ya kulipia bima,anataka...
Hii Subaru ya South Africa ipo vizuri kwa muonekano Mbio kwa wakimbiaji na balance ipo pia..hapo naona inauzwa 32,000,000 Tsh bado kaizari na gharama za kusafirisha mpaka Tunduma...
Ndugu wana JF habari za muda huu?
Bila kupoteza wakati nina interest ya kuendeshea gari ambayo ni pure electric car (Nissan leaf)
Sasa mwaka wa fedha huu palitangazwa na waziri wa fedha wakati...
Kwamara ya kwanza mwisho wa mwez huu nimepanga ksafir umbali mrefu kwakutumia usafir binafsi Dar to Mwanza. Naomba muongozo kipi cha kuzingatia hasa ili kupunguza mazonge njiani hususani issue ya...
Ukitaka kufunga GPS tracker kwenye chombo chako mathalani gari....
Weka mezani lengo la kufunga tracker kwenye gari lako.
1. Je unahitaji kufunga tracker kwa ajili ya kufatilia mizunguko ya gari...
Naona! sana upepo umeziangukia gari hizi! SUBARU FORESTER- Hizi gari nyingi ni za mwaka 2010, lakini hapa mjini now ndio zinaingia sana!
Actually kwa wale wenye plan za kununua magari...
Habari wakuu,
Nimekuwa nikipitia nyuzi nyingi kuhusu magari tofauti lakini sijabahatika kukutana na uzi ukijadili Toyota Altezza na Subaru Legacy ni gari ambazo natamani kununua.
Naomba...
Habari za jioni wakuu
Nina Toyota premio ya mwaka 2008, hii gari imeanza kugonga chini yaan unavyoendesha hasa kwenye rough road unahisi kama usukani umeachia kwani unaskia manyanga ya kutosha...
Basically the pro max version of the T7.
Has dual tanks,different front & rear shocks(pre load adjustable), steering dampers,seat, higher windscreen, Tft display and 3 mode switchable ABS.
Its...
Habari wakuu,
Naomba kuuliza kati ya Toyota Kluger na Subaru Forester ipi ni nzuri zaidi kwa kuzingatia uwezo wa engen, uimara wa gari na vitu vingine vya muhimu.
Angalia Thread hii ikiwa kiyoyozi chako hufanya kazi tu wakati gari lako linasonga
Hakuna kitu kinaboa kama pale unapopunguza gari lako mwendo au unaposimama kumsubiri mtu/rafiki yako halafu...
Wadau nina gari aina ya Suzuki Escudo, tulibadilisha slinder head gasket baada ya gari kugoma kuwaka na kuchanganya maji.
Sasa injini haizunguki kabisa ijapokuwa mwanzoni iliwaka kwa kumiss sana...