JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wataalamu habari zenu, najua mapambano ya kutafuta tonge la kila siku bado yanaendelea. Nipo hapa kuomba msaada wa mawazo kati ya hizi gari mbili nichukue gari ipi. Gari inahitajika kwaajili ya...
4 Reactions
21 Replies
5K Views
Hii gari kama mafundi wa kukisia unaweza kulia kilio cha kodi. Gari inatumia kadi tofauti ambazo kila kadi inajitegemea kwenye kujiendesha. Kila kitu kina kadi yake na ikiingua basi hakuna...
0 Reactions
3 Replies
852 Views
Ndugu wataalamu na wazoefu wa magari hususan Subaru Exiga toleo la 2010 naomba kufahamu ubora, uimara na changamoto za gari hii katika suala zima la maintenance, ulaji wa mafuta na vitu vingine...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Pre purchesing Car Inspection ni moja ya kitu muhimu sana katika ununuzi wa gari kwakuwa itakufanya ujue tatizo lolote la gari kabla ya kujilidhisha na kulinunua. Hivyo OKEMI technical services...
7 Reactions
6 Replies
1K Views
Magari ya umeme ndiyo magari yanayotazamiwa kutumika zaidi siku za usoni. Serikali nyingi barani Ulaya zinaahidi kusaidia utengenezaji wa magari yenye kiwango cha chini cha uzalishaji wa hewa...
20 Reactions
141 Replies
21K Views
DPF ni nini? DPF (DIESEL PARTICULATE FILTER) ni kifaa(filter) ambacho kimedisainiwa ili kuweza kupunguza gesi ya moshi chafu inayozalishwa kutokana na muunguzo wa diseli katika gari. Filter hii...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wakuu habari zane nimeleta uzi huu mnifumbue macho kwa hili nisije kuingia mkenge, Nataka kununua gari maana nimeendesha pikipiki kwa muda mrefu sasa imetosha bwana naomba. Ninatazamia kununua...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Habarini. Kama kuna mtu anafahamu wapi zinapatikana Car Steering Lock please anisaidie kuna jamaa yangu mkoani ana hitaji ameomba nimsaidie. Nadhani wengi wenye magari mtakuwa mnazifahamu...
1 Reactions
1 Replies
315 Views
Nahitaji kurudia rangi ya gari, au kubadilisha kabisa naomba kuelekezwa mafundi wazuri bei pamoja na ushauri wowote. ni ki- ist
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nilipeleka gari kwa fundi anipigie rangi, sasa baada ya kupiga rangi kweli gari lilipendeza na rangi ikawa na mng'ao mzuri sana kiasi kwambanunaweza jiona sura yako. Baada ya kama mwaka hivi...
5 Reactions
48 Replies
14K Views
Habari wataalamu, Ninatafuta gari kutoka Japan ambayo ni ngumu ya miaka ya 90s, inavumilia shida na inavumilia safari ndefu za mara kwa mara, na inayotumia engine ya diesel. Baada ya kufanya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani naomba msaada. Eti ni kweli kwamba uzito wa gari ni sawa na uzito wa mzigo ambao inaweza kubeba? Mfano, gari tani moja inaweza kubeba mzigo wa tani moja pia? Gari tani tatu inaweza kubeba...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Naomba kuuliza nko kwenye process za mwisho kuagiza gari yangu japan. SWALI. CIF ya gari ni kubwa kuliko estimation kodi ya TRA.mfano.CIF ya gari MIL 7.KODI TRA MIL 4.5.JE TRA watatumia hiyohiyo...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, namshukuru mwenyezi Mungu panapo majaaliwa mwezi wa nane mwanzoni nitaipokea hii gari ambayo nimekua na ndoto nayo kwa muda sasa. Kiukweli sijawahi kuendesha gari ndo nakula...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wadau, Naomba kujua gereji ipi wanatoa huduma hii kwa hapa Bongo na je gharama zake zipoje nimetokea kuvutiwa nataka nifanye kwenye gari yangu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba mnisaidie kitu nilisafiri yapata week mbili nikaliacha gari langu aina ya IST ila baada ya kurudi nimeliwasha likawaka ila silensa ilikuwa juu sana. Baadaye ikaanza kutoa halufu...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu naomba kujua sababu ya gari kuchemsha (overheat) Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
107 Replies
60K Views
Habari wakuu, Nimetembea majiji mbalimbali esp. DSM, Arusha, Mbeya, Tanga na Mwanza ila Mwanza magari aina ya Kluger ni mengi sana na Arusha kidogo halafu wachina pia wanayatumia. Siri ya kutumia...
5 Reactions
56 Replies
6K Views
Wakuu na wajuzi wa mambo ya magari naombeni msaada, jana wakati naendesha Gari (BMW X3) ghafla Alarm ikalia mara moja tu kucheki Dashboard nikaona Tire Pressure Light imewaka, nikajua tatizo ni...
7 Reactions
118 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…