JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Ningependa tu kutoa ushauri, kufanya overhaul ni mara mia ununue mswaki ufunge. Mafundi tulionao wanaweza kukushawishi ufanye overhaul lakini tambua engine haiwez kuwa na the same performance+Life...
10 Reactions
24 Replies
4K Views
Ndg wana izengo habari za wakati huu. Katika kuyaanza maisha wengi walianza na starlet kijichuma kidogo dogo very economy. Hivi vimeishia wapi? Wengi walioanza na usafiri mara baada ya kuhitimu...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Bila shaka mfungo wa leo imekamilika salama yaani kwa Resma na mwezi mtukufu wa Ramadhani.Nisiwachoshe sana wakuu,mawazo yenu ni muhimu hapa kati ALPHARD na BREVIS kwa sifa ya 1.ubora wa injini...
3 Reactions
2 Replies
711 Views
Japokuwa wanasema usifanye kitu kwa kuiga au kuhisi watu watakuonaje ila inafika point unaamua ufanye tu ili upate amani. Mimi ni kijana naishi Dar mshahara wangu ni kipato cha kati tu. Sasa hapa...
12 Reactions
112 Replies
16K Views
Hii ni gari aina ya toyota alteza. Gari hii kidogo naona soko lake linapotea kwa kasi sana sijajua tatzo ninini ila ambacho mlikua hamkijui katika gari hili ni kwamba. Wengi wanaopenda gari hizi...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Nahitaji Control box ya Nissan Vannete N200 ya mwaka 2010. Nimeambatanisha picha. Nifahamishe bei.
1 Reactions
10 Replies
717 Views
Wengi wetu utasikia ile gari inakimbia sana, ni kweli gari lazima kukimbia ila ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea. Utengenezaji wa magari kuna vitu...
8 Reactions
173 Replies
15K Views
Wakuu habari za majukumu.. Tafadhar rejea kichwa cha habari naomba msaada wa kujuzwa wapi naweza kupata Tank la pkpk Boxer Bm100.. Napatikana Dodoma
0 Reactions
3 Replies
835 Views
Hello JF members! Je inawezekana kupata Toyota Raum DS....and above Kwa Tsh. 7,000,000? Location: Mwanza . Mwongozo wenu tafadhali.🙏
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Tuchanuane. What are the disadvantages of these solid tyres compared to pneumatic ones. Kama haujui pia sema tu haujui.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau hizi gari unaweza kupata kwa bei gani kuanzia mwaka 2002 mpaka 2007. Nimewahi kusikia kwamba unaweza kupata kwa bei nzuri kwenye auctions za NGOs ama Serikalini. Mwenye kujua naomba info...
6 Reactions
23 Replies
4K Views
Habar za mida hii, fika mmechoka toka mihangaikoni lakin pia polen kwa mgao wa umeme unaoendelea. Kama hapo juu mada inavyokieleza naomba kufaham, umuhimu wa CAR SECURITY SYSTEM, UBORA NA...
0 Reactions
1 Replies
630 Views
Wakuu ninaomba kuzifahamu kiundani hizi gari aina ya Toyota hybrid C-HR. Hasa kwa mazingira yetu ya Kitanzania inaweza stahimili? Ubora wake, na matatizo yake
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Salaam niliwahi kuomba kupewa sifa na tabia za gari la Subaru Impreza ila sikupata majibu, narudi tena humu wale wajuvi wa vyombo hivi vya moto kati ya Subaru Impreza na Premo ni nijue gari gani...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Nataka kufahamu hasa kuhusu hizi Bajaj za Piaggio, kuhusu bei zake, gharama yake na matengenezo.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wajuvi wa mambo, Nipeni udambu juu ya hizo gari 2, okoeni ndoa yangu maana shemeji yenu akizimikiwa gari njiani atadai talaka. akikwama topeni ndio kabisa. kwa ufupi wife hapendi vigari sampuri...
6 Reactions
41 Replies
8K Views
Basi gani umewahi kupanda na ukajutia safari yako.
10 Reactions
730 Replies
44K Views
Eeh.. ndio, wana wa Israel walitembea miaka 40 kutoka Misri hadi kufika nchi ya ahadi, sasa mimi na wewe tuna miaka arobaini tunatembea tu kwa miguu mpaka sasa na nchi ya ahadi bado hatujafika...
7 Reactions
5 Replies
634 Views
Weka pembeni mambo ya movies, haya mambo ya mauza uza yapo kitambo, yapo hata katika biblia na kuran na tumeonywa tusiyachukulie poa. Sio stori ni vitu real hivi, upo zako kwenye safari mara...
11 Reactions
68 Replies
7K Views
Nimefungiwa rear camera kwenye gari yangu. Nami kwa kutokujua, niliondoka bila kujua kuwa huwa zinaonesha mistari miwili ambayo ni mpaka wa kitu kilicho katikati ya barabara. Inanipa shida, kwani...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…