Watu wengi tumekuwa tukijiuliza kuhusu ndege zenye mfumo wa injini ya jet.
Katika mada nilizozitoa nilieleza kuhusu aina za injini zinatumika kwenye ndege.
Mfumo wa injini ya jet ni tofauti...
Nina rims ambazo zilikuwa silver wakapiga rangi nyeusi flan hivi haijakolea. But inabanduka hata kwa maji ya presha..
Nataka kurudia kupiga rangu rims napenda ziwe nyeusi. Wapi naweza pata...
Anataka kubadili gearbox ATF. Automatic Trans. Fluid. Gari ni Toyota Rumion ya Mwaka 2008. Ya CC 1800
Anasema anahitaji ile yenyewe kabisa yenye ubora halisi. Haijalishi bei anataka kitu bora...
Nimekuta wadau wa magari wanabishana kuhusu ubora wa hizi gari pendwa za off road aka gari za pori.
Nani mkali kuanzia Bei ikiwa mpya Au used, Maintenance, resale value nk.
Binafsi naona LC...
.
Siku ambayo vijana wengi wala bata wanaikubali sana sababu ni siku weekend inaanza, wanaachana na kazi then wanapumzika, Ijumaa hii Agnes alikuwa bado yuko ofisini anamalizia vimeo vyake...
Wasalaam Wakuu, Naomba kupata ushauri kuhusu kufunga mfumo wa gesi kwenye gari cc 2000.
Je, kuna changamoto yoyote ya ufanisi wa gari nitakayokutana nayo?
Je, ni kweli kwamba mfumo huu unaokoa...
Wakuu habari za jioni, naomba mnisaidie kupata control namba nikalipe fine ya traffic ikifka saa 6 usiku inabet 7500, najaribu kutafta kwenye mtandao wao leo umegoma kabisa.
Namba ya gari T102 CVR.
Nina gari yangu toyota nadia ilianza kusumbua baada ya kuacha taa wazi na kukuta imenyonya betri yote so inasumbua kuwaka nikahisi betri bovu nikanunua betri mpya ila tatizo ni lilelile msaada...
Leo nimekutana na mtu nikamwambia nina M8.5 na natafuta kununua ist mkononi namba D, jamaa akaniambia kuwa sitaweza kupata. Labda kwa uzoefu wenu nijuze zaidi kuhusu bei yangu hiyo na gari hilo...
Naombeni ushauri kwa wale wanaozijua gari za Toyota corona, maana kuna mtu anaiuza na ni namba B, nipo kweny process ya kuilipia na kuifanyia matengenezo mdg mdg.
Wakuu nimevutiwa na hii garii, kutokana na matumizi yake ya mafuta.Naomba mwenye Ufahamu zaidi ya hizi gari au ambae amesha itumia atupe uzoefu wake prons and cons.
Nawasilisha.
Wakuu
Habari zenu.
Najua kuna watu wameshawahi kupata ajali ya kugonga gari ya mtu mwingine au gari yake kugongwa na gari nyingine,(Private cars)
Je, ikitokea hali hio ni kipi cha kufanya au...
Kuna gari Toyota vista nauziwa,mwenye gari ananiambia kwa majigambo ya kwamba engine ya hiyo gari ilisumbua akanunua engine mpya ya 3s.
Je, hii engine inafaa kwa kiasi gani nimlipe pesa ya gari?
Wakuu nimeombwa ushauri wa gari zuri la kutembelea, Bajeti yake isizidi Mil.35. yaani Iwe 35M kuja chini. Binafsi si mtaalam, Anayehitaji ni Mkulima binafsi niliwaza angepata Double Cabin Toyota...
Wakuu Habari zenu, poleni n majukumu.
Ile safari yangu ya Tanga kutumia pikipiki yangu cc110 nimefanikiwa kwenda salama na kurudi salama kabisa.. Mungu ni Mkubwa.
Niliondoka Ijumaa iliyopita...