Hello. Nahitaji magari yafuatayo kwa mkataba. Kama ambavyo watu hutoa mkataba wa pikipiki na gari za Uber.
Nahitaji;
1. Fuso 10 Tone.
2. Canter 3.5 Tones. Au Eicher au Tata.
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU
Wakuu naomba kufahamishwa, ni mahala au muda gani natakiwa kutumia OverDrive funcionality kwenye auto transmission. Ni kwa Ufahamu tu
Nawasilisha
---...
Mtu aki kuovertake, ame kuovertake kwa haraka zake, Hajakudharau, Hajaovertake safari Yako ni Gari Yako Ndio Kaipita, Punguzeni Ligi barabarani.
Dhana kwamba Mtu akikupita Amekuzidi, au gari yako...
Land Rover ni kampuni ya Uingereza, Land Rover ndio hutengeneza magari kama Range Rover, Discovery nk lakini kwenye taarifa ya Serikali magari ya kampuni hiyo hayako hata kwenye top 20 ya magari...
Hawa jamaa kama wamepona wana Mungu sana. Mara zote tunakumbushana kuwa Highway sio sehemu ya mchezo. Hii overtake ambayo inafanywa kwa mtindo wa "Tailing" madhara yake ni kuwa hutaona mbele na wa...
Ebana hizi gari nimeanza kuziona ona mtaani. Ni gari ile ile imetolewa kwa both Suzuki na Toyota.
Nimeielewa sana hii gari, nataka nijipange niiagize, ila changamoto ni moja, siioni kwenye hizi...
Naihusudu sana Discovery 4 angalau kwa muonekano na chapa yake ya Land Rover, japo nikiri sijawahi kuiendesha hivyo siijui kivile.
Kama walivyo watu wengi wa ukanda wa Afrika Mashariki, tumekuwa...
Gari aina ya Raum inazingua kwenye mfumo wa AC, nikiwasha AC ni kama temperature ya injini inakuwa iko juu kiasi cha gari kuzima.
Fundi anasema shida iko kwenye thermostat anataka aitoe...
Habari za le OK wakuu, kuna post moja nimeona mahali nikaona labda inaweza kuwa option ya angalau kidogo kuchelewesha gari lako kuibwa
Ila japo naona kuna uwezekano mkubwa wa kuvunjika miguu...
Hizi engine za umeme ni zaidi ya engine za mafuta. Nimejaribu kufatilia makala mbali mbali kupitia Youtube watu wanavyobadili magari ya zamani au kujitengenezea kama kaka yetu Masoud kipanya...
Nilileta uzi humu kuhusu gari ya kununua kwa bajeti ya milioni 5,nilipata Vitz Rs namba D kwa mtu na sio kwa dalali ikiwa msumali haswaaa kwa bajeti ya milioni 5.5 !Kokote naenda pasipo shida,kwa...
Habari za majukumu ya ujenzi wa taifa,
Kumekuwa na mjadala hapa uliokosa majibu kutokana na uelewa tofauti wa mafundi.
Tumepata kigugumizi juu ya gear box oili gani inafaa kwenye gari aina Premio...
Yawezekana:
1. Ulienda kununua bila kupata ushauri kwa mzoefu sababu ulijiamini uzoefu wako unatosha kulikagua gari.
2. hukutaka kumlipa fundi wa kulikagua.
3.ulienda na fundi kulikagua lakini...
Habarini wakuu.
Husika na kichwa cha habari hapo juu naomba kufahamishwa kuhusu pikipiki hii;
1. Uimara wa chasis yake na body kwa ujumla
2. Upatikanaji wa spare zake
Habari wana jamii,
Ninagari aina ya nissan xtrail newmodel ya 2009 nimeinunua mwezi uliopita nilipoenda nayo rough road nikakuta chin inagonga balaa nilivyopeleka kwa fundi akasema stabilizing...