Hii gari sijiu ilitengenezwa kwa ajili ya wenye uzito mdogo, mkitimia wote watu watano kana titia utazani umebeba magunia ndani.
Gari laini sana kwa mazingira yetu mpaka barabara, unabadilisha...
Habari.
Nimeombwa ushauri, na mie nikaona busara kupata mawazo chanya zaidi kutoka hapa JF.
Ninaye jirani yangu ambaye anataka kununua gari jingine (naweza sema ku-upgrade) na kuliuza hili...
Dear Wadau,
Please kindly find the below snaps and Table 1: 1999 TOYOTA HILUX SURF SSR-X V SELECTION for your information and consultation.
Kwangu reliability and durability kwenye gari are the...
Habari wakuu,
Nahitaji kununua betri mpya kwa ajili ya gari yangu ila ningependelea kampuni tofauti na hiyo chloride exide maana nimeitumia muda mchache sana ,kiufupi sijaipenda (au ni matumizi...
kati ya toyota carina ti vs toyota allex,ipi imetulia
1.ulaji mafuta
2.upatikanaji spare
3.unafuu wa spare
4.kuhimili rafu rodi
5.uimara wa bodi,engine,gbox etc..
Dear Wadau,
Please kindly naomba ushauri hapa, the key inputs kwangu ni reliability and durability kwenye hizi engine kwenye Toyota Surf ya mwaka 1999.
WHAT IS MOST DURABLE AND RELIABLE ENGINE...
Hii ni mojawapo ya kauli ama ushauri wa kipumbavu sana hua unatolewa humu JF magari kwa mtu anaetaka kununua gari.
Mtu anamshauri mtu anunue gari halafu spear atakua anaagiza online ama Dubai...
Habari wajumbe.
Yeyote aliyekata carina ti au mwenye kujua wapi ntapta vitu vifuatavyo.
1. Ac compressor ya ti carina.
2. Dashbod(ile saa complete yenye odometer, rpm na gauge ya mafuta)
3...
Habari zenu
Kampuni yetu inatoa mkopo wa magari ni gari aina moja tu nissan juke naomba nijue changamoto zake nianze kujipanga mapema kabla sijachukua hili gari nasika watu wanayasema sana haya...
Habari wanajamvi,
Kutokana na bei za magari zimepanda sana, nahitaji kununua gari used la mkononi/yaliyotumika tanzania lenye hari nzuri. Bei kuanzia mil 7 hadi 12.
Wapi ntapata wanakokopesha...
Tairi zipo 2 rim ziko 4
Hali yake ni nzuri, zilifungwa kwenye Nissan Xtrail kimakosa so ndo nimezivua
Bei ya rim na tairi complete laki 2 na nusu (kila moja)
Rim pekee laki na 80
Mazungumzo yapo...
Habari zenu wana JF
Kuna hii huduma ya kusafisha headlights jamaa wanaitoa ukungu zinakuwa na muonekano Kama mpya. Hivi usafishaji huu hauna madhara kweli kwa taa za Gari hapo badae?
Naam kwa wakazi wa Dodoma naomba mnisaidie na hili. Nahitaji kununua spare kadhaa za pikipiki yangu Yamaha DT 125, je, nitapata duka lipi apa Dodoma mjini?
wadau naombeni msaada,namna ya kusafisha taa za mbele,kubwa za gari,jana usiku nimepata shida sana barabarani,mwanga ulikuwa mdogo na hafifu sana,alafu taa ya kushoto ina mwanga mkali kishinda ya...
Habari wana jf,
Nlikuwa nafuatilia juu ya Mitsubishi Fuso Fighter horse ambayo ina 11700 cc ukubwa wa engine yenye uzito kwa horse pekee 6300kg nikaona inafanana cc na scania 124 .
Je, naweza...