Wakuu Habari,
Leo nimeona nielezee kidogo kwa namna gani unaweza kujua uhalali wa kilometer zinazosoma kwenye gari unalotaka kununua either mkononi kwa mtu ama yard.
Hii njia haitaweza kuapply...
Wakuu hii Gari nataka kuinunua, nimpatie Dogo apige nayo kazi ya Bolt, ni Vits namba B inauzwa 4.5 tumeshushana na jamaa hadi 3.8 na amegoma kushuka zaidi ya hapo, vipi nikichukua kwa bei hiyo ni...
Wakuu, wakurungwa hongereni na majukum ya jumanne ya leo, nakuja na mada uliwezaje kununua chombo cha usafiri kwa bei rahisi?
Namanisha fedha kidogo tu ikawezekana kuwa na usafiri nahujajutia...
Msaada wakuu. Ni sehemu gani Dodoma naweza pata garage au mafundi wazuri wa hii gari? Maana nahisi kama mafundi wengi naowapelekea hii gari inawashinda. NB: Ina tatizo kwenye kuwasha, ukipiga...
Baada ya kula buyu siku sio nyingi nilifuatilia chanzo na kugundua ABS module imeziba kwenye njia moja na kupelekea gari kutopeleka hydraulic kwenye mguu wa kushoto mbele. Hivyo ililock brakes...
Hili tukio la kuonyesha magari kazaman na kisasa siko tayar kulikosa.
Mwenye taarifa kamili ni wapi na lini anijuze. Nimepata taarifa robo.
Je, unaleta ndinga gani? Umemiss ndinga gani? Ya kale...
Habari zenu wana JF,
Natamani kufanya conversion ya SUV kuwa pickup..(10ft longbase)
Kati ya suzuki
Escudo (anytype)
Samurai (anytype)
Naomba ushauri wenu vitu vya msingi vya...
Wakuu habari za muda huu,
Kuna suala naomba nipate ufahamu zaidi.
Imekuwa ni kawaida kwa watu kuuliza kama gari limerudiwa rangi au kubadilishwa rangi pale anapotaka kulinunua mkononi kwa mtu...
Kuna madereva huwa wao wakishaweka D ndo nitolee mwendo mdundo, unakuta Brake pads zinaisha hajui zinakula disc mpaka inakua nyembamba utafikiri CD.
.
Sasa Basi nimekuandalia Tips rahisi kwa ufupi...
Habari zenyu ..
Ma engineer..
Naomba kujuzwa kwa uzoefu wenu kuwa..
Kati ya kuchimba block na kuweka siilivu ama kutanua block toka standard kuwa size 25 na kuendelea kipi ni bora hapo!!??
Ufanisi...
Nina gari Rav4 kili time ya mwaka 2000 plate namba ABB mpaka leo natembelea, imeshafikisha kilometa 223,320Km m. Hakuna fault yoyote nnayopata, dashboard haiwaki taa zingine zaid ya mafuta na...
Ni muhimu kuzingatia vipimo unaponunua tairi za gari yako for a safe and comfortable drive.
Tairi zikitofautiana even a single dimension ni tatizo.
Tairi mbili za mbele na tairi mbili za nyuma...
Habari wadau wa jf,
Nmekuwa nikiziona na kuzihusudu hizi gari tokea nimepata ufahamu wangu, leo nimeona nije kushare na wale wengine mnaozifahamu pia hizi gari ikiwa ni gari iliojizolea umaarufu...
Habari za humu wakuu naombeni ushauri wenu kijana wenu nahitaji kununua gari used kwa mtu bajeti yangu ni 3M to 5M.
Gari ambazo nazifikiria ni
1.Toyota Mark II gx 110 cc 2000
2.Toyota passo cc...
Habari zenu wakuu, tafadhalini naomba msaada wa ushauri kwa mwenye kuijua mazda demio ya 2004 -2006 upande wa running cost zake, magonjwa yake na je kuna uwezekano wa kudumu nayo kwa miaka...
Habari ya hapa wakuu,
Naomba kwa anaefahamu namna ya kujua kama tairi imexpire au bado, maana naenda kununua tairi leo ndio nikakumbuka kuna uzi nilishawahi kuuona huku miaka ya nyuma ukielezea...
Habari zenu wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada naomba maelezo kuhusu kununua gari hiyo pichani yaani rav4 1995-2000 mkononi (used)uliyotumika hapa Tanzania ni vitu vipi vya kuzingatia, Budget...
Kuna Watu Mmejaaliwa vipandwa na miongoni mwa vipandwa hivyo ni aina ya hizi gari PRADO 95 (MCHAGA),PRADO 120 (DIAMOND) Hizi gari zinaweza kukusaidia kuingiza kipato kwa kukodisha kwa watu binafsi...