JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Nimenunua kwa mtu ila nimeanza kusikia kamlio tofauti kwenye injini kama inakuwa inakwaruza pale unapoanza kuondoka. Je shida ni nini?
2 Reactions
22 Replies
12K Views
Wakati hiyo ukiweka lita 13 tu inatembea kilomita 100
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu naombeni ushauri, nina safari kidogo kama ya KM 400 kwa siku moja ila sijawahi kusafiri na hiki kigari, ushauri tafadhali...
8 Reactions
90 Replies
17K Views
Wakuu ninatumia Premio f , cc ndogo 1490, kwa sifa nilizowahi kusikia kuhusu gari hii upande wa matumizi ya mafuta ni mdogo kama vile ist, ila kinachonishangaza nimeweke lita 10 ( mafuta ya elf...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
Wakuu habari za kutwa,wazoefu na wataalam wa gari hii tunaomba mtuondolee ubishani huu kijiweni kwetu kwamba gari hii tajwa inatumiaje mafuta km ngapi kwa lita
2 Reactions
12 Replies
1K Views
. BMW Series 1 [Coded E87] ni moja ya subcompact executive cars inayotengenezwa na BMW toka kwa 2004 ikitokana na BMW 3 Series Compact, Series 1 tunasema ni solid athletic design [ngumu yenye umbo...
10 Reactions
21 Replies
6K Views
Wapendwa poleni kwa majukumu Naomba kujua mambo ya msingi kwa gari tajwa hapo juu 1. Ulaji wa mafuta 2. Upatikanaji wa spea 3. Magonjwa ya mara kwa mara 4. Uimara wa gari hasa kwenye bara...
0 Reactions
38 Replies
9K Views
Nimeipenda hii gari, nipo njia panda kati ya cc 1.5 na 1.8! kwa mwenye uzoefu ni ipi ambayo nitakua comfortable kwa safari ndefu, wakati huohuo nitatumia mafuta kidogo, na itakua funny to drive...
2 Reactions
14 Replies
6K Views
Tumekuwa tukizoea kuona ndege zenye rangi nyeupe kwa muda mrefu na kila tuangalie angani karibu ndege nyingi haswa za abiria ni nyeupe, so ushawahi kujiuliza ni kwanini? Iko hivi katika siku za...
9 Reactions
12 Replies
3K Views
Kama unajua mahali wanaweza paka rangi vizuri na KUNYOOSHA body vizuri sio kupiga piga na kupaka putty [emoji23] pia ku spry gari ionekane kama haijawahi pakwa rangi. Usiniambie niende AZAM...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Sababu ya kupendwa hizi gari ni nin hasa??
3 Reactions
107 Replies
20K Views
Nissan x-trail hybrid Honda vezel hybrid Gari zote ni cc chini ya 2000cc pia ni 4w drive consumption ya hybrid si chini ya 20km/l so nashauri kama unataka kaagiza gari basi zingatia...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari za muda huu wakuu, ninaulizia mtu mwenye uzoefu na Honda fit GE6 za 2007-2010, vipengele vyake, ubora wake na vengine.
0 Reactions
1 Replies
636 Views
Ukilinganisha na ATCL nyie vyuma vyenu vimechakaa aisee. Wakati mwingine mnabania mpaka AC yaan pale mwanzoni wakati watu wana-board na kukaa ndege inakua OFF Tofauti na Ndege nyingine abria...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Nimeona imejitokeza kwenye gari yangu sasa sielewi maana yake. Anayejua anisaidie.
1 Reactions
5 Replies
826 Views
Hii Gari Ni cc 1990 tu lakini Ina space kubwa ndani na ni seat 7. Inafaa kwa kazi ngumu. Mpaka ifike Bongo ni 7,000 USD tu. **Kuliko uhangaike na sijui Noah, Alphard mwishowe uonekane Mama Lishe...
11 Reactions
125 Replies
17K Views
. Ilikua December Mwaka jana 2021 Ijumaa Usiku Boni alinitext WhatsApp, Akanambia anatafuta Toyota Harrier ya mkononi Tako la nyani yenye hali nzuri. Akasema budget yake ni Million 18 Net hapandi...
9 Reactions
16 Replies
2K Views
Msaada Kwa wataalam husika juu ya hili tatizo.hydraulic ilivuja ghafla,mafundi wakabadilisha hiyo seal kwenye gear box.Lakini baada ya kutembea masafa kidogo ikajirudia.Shida yaweza kuwa nini hapa...
1 Reactions
5 Replies
748 Views
Kuna rational gani katika hili, kwamba ukirudi reverse na ukakata kulia gari inaenda kushoto, why?
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu ni hivi, nilimwanga coolant yote kwenye rejeta, pia nikafunfungu koki kwenye injini na kumwaga yote. Halafu nikajaza upya kama lita 5 hivi, cha ajabu hata nikitembea km 10, nakuta maji...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…