Habarini za kazi,
Jana nilienda kufanya service kwenye kababy walker kangu. Baada ya service ya kawaida (kubadili oil, greasing n.k) fundi akaangalia transmission fluid (ni ya toyota ATF Type IV)...
Kama kichwa cha habari hapo kinavyoeleza maombeni msaada wa DIAGRAM ya ist yenye engine ya 1nz fe na ile ya 2nz fe kwa mwenye nazo anisaidie wakuu nina shida nazo kwa mwenye nazo naomba me na kwa...
Na gari ndogo ya abilia Aina ya Rosa. Inasumbua Sasa kuzima gafla. Fundi moja amesema pump za umeme zinasumbua anasema nibadili. Ila bajeti inakuja m4+. Sijaelewa.
Nahitaji fundi aliyoko Kanda ya...
Wakuu naombeni msaada nifanye Nini kuondoa mis kwenye gari ya Suzuki Swift old model 2001 ilianza baada ya kuosha engine.
Fundi amenishauri nibadilishe plug, pump lakini bado miss ipo vilevile...
Miami International Boat Show ni maonyesho makubwa ya boti na vifaa mbalimbali vya majini. Mashindano haya hufanyika katika mji wa Miami huko Marekani na kukutanisha makampuni ya utengenezaji...
Habarini wana jamvi,
Naomba kujua ubora wa gari kutoka kampuni ya autocom japan maana naona bei zao ni nafuu kidogo ukilinganisha na wauzaji wengine (Befoward & sbt).
Je, nini kina chagiza hili...
Salama wana GT
Kuna jamaa anataka kununua family car, na baada ya search ya muda mreefu amepata Honda Crossroad ila hana uhakika na upatikanaji wa spare parts, so anaomba ushauri kwenye spare...
Wakuu
Naomba msaada.Hii gari sijawahi kubadili Oil tangu ninunue hivyo imefika wakati nataka kuweka Engine Oil.Naomba ushauri wa Engine bora kabisa na genuine kwa gari hii.
Ahsanteni
Habari za saa hizi wakuu, poleni na majukumu, gari yangu (corolla spacio) ilipata majanga iligongwa mbele vitu vyote vya mbele vikaharibika including fan, radiator na vyote vya mbele pale, so...
Wadau! Ninaishi Chanika na ninafanya kazi Kariakoo. Ninamiliki Rav4 lakini naona inanielemea kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta.
Ombi langu kwenu: Nataka kununua gari lenye CC chache ambalo...
Kampuni hiyo ya kuunda Magari imesema taarifa zilizovuja ni pamoja barua pepe 296,019, namba za wateja wanaotumia mfumo wa T-Connect na namba za simu zinazounganisha magari kupitia mtandao...
Naombeni kujua bei ya engine and gearbox mtumba za scania 124.
Kuna mtu anataka kuniuzia lakini naona anataja bei kubwa kuliko nilivyoelekezwa na fundi wangu.
Wanajukwaa kama kichwa cha habari hapo juu.
Nataka kununua gari moja Kati ya hizi mbili, zote ni model moja,lakini moja inatumia disbutor na nyingine inatumia coil.kati hizi ipi itanifaa?
Naomba...
Wakuu habari,
Naomba ushauri wenu nahitaji kununua gari aina ya toyota alphard ya kuanzia mwaka 2006, Sina uzoefu na magari, katika bei ,ulaji wa mafuta, nk. 🙏
Habari wakuu!
Week 3 au 4 nyuma niliwasilisha ombi langu kwa WanaJF kunisaidia aina ya gari ya kuanzia maisha hasa kwa budget ya 10M.
Wengi walinishauri kuanza na IST au Vitz, ila nilipofika...
Naomba mwenye uzoefu wa hii gari anisaidie kuhusu uzuri na mapungufu yake, kama vile matumizi ya mafuta n.k.
Ni gari ambayo nimetokea kuvutiwa nayo kwa muonekano wake wa nje japo ya ndani siyajui.