NEWS Dar fights to save its embassy in Nairobi SHARE BOOKMARK PRINT RATING anzania's High Commissioner to Kenya, Dr Batilda Burian, at a past function in Nairobi.
Dar is embroiled in a case in...
nimekuwa nasikia neno HISA mara wengine wanasema nimenunua HISA au wakishauri kanunue HISA ningependa mnitoe tongotongo neno HISA lina maanisha nini na umuhimu wake kwa mtu au biashara...je mtu wa...
Wachumi Ebu nisaidieni hapa :
Hivi nini ufanyika pale ambapo Taifa fulani baada kuona ela yake imeshuka thamani uiinua na kua yenye thamani, nikichukulia mfano jirani zetu Zambia ela yao ilikua...
Wana jamvi hoja yangu inafanana na Pearl lakini tofauti yangu ni kuwa mm nimepata mkopo wa 7m with interest ya 18 % kwa miezi 12 na natikiwa kuwa nimerudisha hicho kiasi plus interest.
@Babalao...
Kuna jambo halijakaa vizuri, uwa naona umu watu wakiuliza maswali mbalimbali ili waanze biashara.
Na uwa ushauri unatolewa kwa watu wanaouliza lakini sijaona watu wakirudi na matokeo kama kweli...
habari ndugu zangu. Mimi ninamiliki nyumba mbili mabibo dar. Eneo ni zuri na barabarani kabisa, nahitaji kubomoa hizi ili nijenge ghorofa Moja floor tatu kwaajili ya apartments. kwakua eneo ni...
Hello wana JF
Mimi nimeajariwa kwenye Kampuni fulani hapa Dar ratiba zangu za kazi no holiday or weekend i mean everday nipo kwa job from sa7asubh to saa1 jioni. Namshukuru Mungu mpaka sasa...
Juzi wakati napita kwenye mataa ya morocco nikitokea mwenge-kariakoo niliona bango linaloashiria uwepo wa maonesho ya kilimo ambayo nimeona neno machinery kama uwepo wa vifaa vya kilimo...
Ndugu wadau, sasa mnaweza kujipatia viazi vilivyolimwa katika hali ya asili bila ya matumizi ya mbolea zenye kemikali.
Sehemu bidhaa ilipo
Mbeya-Kawetere
Bei
shilingi 50,000 kwa gunia...
wakuu nina machine zote X ray,ultra sound,microscope,za kupima kansa,kupima moyo,vitanda vya surgery,kupima ubongo,kuzalisha,hospita uniform vyote ni from uk etc natafuta mteja +255652715232.
Wana jamii na wakulima kwa ujumla karibu sea cliff parking lot jumamosi hii unadilishane mawazo na wakulima wenzako.Nitakuwepo kuongea ha organic products kutoka milima ya ULUGURU...
Wakuu mim ni mwajiriwa wa serkali ambaye nina mwaka mmoja kazini, baada ya kutafakari kwa muda mrefu nimeamua kuchukua mkopo ili niwekeze.
Nilokuwa nataka kujua benki nzuri ya kuchukua mkopo kwa...
HALOO jumamos(12/04/2014) hii kuna semina kali sana,itakayofanyikia ubungo plaza(blue pearl) saa saba na nusu mchana.inahusu uwekezaji TANZANIA.ipo chini ya Recon Brown wa south Africa na...
Nimewasaidia watu wengi kupata viwanja sasa wanaishi kwenye nyumba zao viwanja nilivyo navyo kwa sasa ni ukubwa tofauti ukitaka 20/25-30/30 vinanzi ml 3.5 na kuendelea kulingana na mahitaji...
Wadau habari!nimekuja jukwaani hapa kuuliza jambo moja juu ya ushuru wa kuingiza piki piki na bajaj toka nje,nilikua napenda kujua je rate za ushuru wa kuingiza vyombo hivi hapa nchini toka nje...