Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wadau Nina stationery maeneo ya Mbezi beach ina deal na shuguli zote za secretary pamoja na general supply,kama yupo mwenye kuhitaji huduma yetu tafadhali awasiliane na mimi hapa hapa or...
0 Reactions
0 Replies
940 Views
Wakuu Nina mpango wa kuanza hii biashara ya kuuza t shirt zenye logo kwa wenye uzoefu naomba changamoto za hii biashara na vitu vingine vinavyohusu hii biashara
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ipi njia bora na inaokoa gharama kuweka mkandarasi au kuwatumia mafundi wa kawaida ktk ujenz wa nyumba?? Kwasababu ktk mafundi wa kawaida suala la usimamiz linanipa shida kwakuwa mm mwenyew sio...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Bei yake ni nyepesi kabisa....
0 Reactions
2 Replies
2K Views
By Obed Natugumya- Basobokwe TelexFREE is an online money making business and many Ugandans have been recruited through social media invites. To gain membership, one has to contribute close to...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Sijui kama hii kitu imewahi kuletwa hapa lakini kwangu ni kitu kigeni.Inakuwaje mambo ya dini yahusishwe moja kwa moja na biashara tena ambazo sio taasisi za kidini?Kwa anaejua vizuri haya mambo...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nina mpango wa kuanzisha biashara ya fresh foods (samaki wabichi kama sato, sangara, migebuka na sea foods, kuku, nyama ya ng'ombe na mbuzi) Morogoro. Nataka iwe modern. Naomba wazoefu wa biashara...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wana jamvi kama ilivyo ada hapa JF ni kisima cha fikra. Naomba kujuzwa kuhusu hii biashara kuwa Insurance Agent, wenye udhoefu naomba Experience zao kwenye hii biashara wadau.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kamera za film (sio digital) zipo sokoni. Pamoja na kamera kuna pia flash na mifuko ya kubebea camera. Anayehitaji tafadhali ani pm.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi sio mwanauchumi wala mtaalamu wa mambo ya biashara. Naongea kama layman mmoja. Kwa muda mrefu nimekuwa nikipata taarifa zisizo rasmi kwamba wilaya mbili zinazoongoza kwa kuchangia mapato ya...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wakuu wasalaam. Napatikana dsm jimbo la ukonga. 0714 521128
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Nina mtaji wa pesa kiasi kadhaa na niko huku mkoani Kagera, Natafuta mtu anayeweza kupata kwa urahisi vifaa vya electronics used au mpya km vile simu,Laptops,Lcds nk nahitaji mtu huyo tuweze...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
RANGE ROVER VOGUE MODEL 2004 DIESEL Bei 60 0717866528 piga kwa maelezo zaudi
0 Reactions
0 Replies
776 Views
Wakuu baada ya kuzidi kusumbuliwa na ndugu zetu kujiunga kwenye hii kitu na watu kukataa kabisa kwamba hii sio Ponzi Scheme naomba hao watu watueleze hizo pesa zinatoka wapi... Products Kwakweli...
1 Reactions
0 Replies
992 Views
Mmmhhh!Mimi sina la kusema zaidi ya wachumi kutoa maelezo ya kina kwanza.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu kitu kizuri ule na wenzako! Tuna Kampuni ya masuala ya "Technologies & General Supply", ni Limited Company by shares. Hadi sasa ina Wakurugenzi wawili tu! Imesajiliwa kwa taratibu zote za...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
I am a tourism guru, broadly experienced and deeply educated locally and internationally. I have been in the tourism game for the past 15 years and currently running my own consultancy firm. I...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
SMS Marketing Benefits to Enjoy at GSMSGSMSThe most afordable leading Mobile Marketing company in Tanzania. Our cutting-edge mobile communication platform helps individuals, businesses...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ni mpya kwenye box, ina 4gb internal memory, 1gb ram, 5 mp of camera and a 4G internet...namba yangu 0713409381
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakubwa, naomba msaada wenu wa mawazo. Mimi ni mwajiriwa lakini ktk kipato change kila mwezi naweza kubakiwa na laki mbili, je kwa amount hiyo naweza kuifanyia nini in terms of investing it...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…