Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

natafuta samsung galaxy sII - 250,000/= samsung galaxy sIII - 400,000/= samsung galaxy sIV- 480,000/= mm nko Arusha na namba zangu ni 0764118083
0 Reactions
0 Replies
913 Views
Gari hii inauzwa na mwenye nayo anaiuza 4.5m haongezi wala kupunguza hata mia ni kwamba mwenyewe anashida kubwa sana hivyo anasema mtu hufaliwa na chake ni pm ili upate gari hii
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Dar does not allow outward direct investment, Nairobi, Kampala do Share Bookmark Print Rating Trucks await clearance at the Mutukula...
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Kama kuna mtu anajua kampuni nzuri inayouza majiko mazuri plz nijulishe.! Na km yupo muhusika picha ni muhimu zaidi.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mimi ni muajiriwa wa serikali ninatka kuchukua mkopo wa mda mrefu nipate kiasi kikubwa, take home yangu nikama 460000 hivi. Nishauri niende bank gani ambayo inatoa pesa ndefu kidogo. Asante
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Waungwana Habari za Kazi, Nahitaji mtaalamu mshauri wa kilimo na ufugaji wa kisasa, ili nipate Huduma. Wasiliana na nami kwa 0714868342/0684224309
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau nafanya kazi Dar. Nina mil. 1 inaniumiza bichwa nifanye biashara gani halali nijikomboe na ajira za serikalini? Naomba msaada wa mawazo
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau nipo kwenye mchakato wa kufungua bucha huku moshi kwa sasa bado nafanya uchunguzi kuhusu mahitaji ya hii biashara; nahitaji kujua kwa huku moshi ni wapi wanauza nyama ya ng'ombe kwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nimeweka mada muda si mrefu ikaondolewa na nilikua nimeshaanza kupata comments, naomba kuuliza kuna kitu nilikosea kwenye uandishi wa ile mada au!! kwanini imeondolewa haraka hivyo?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu kwa wale mnaotumia huduma za Vodacom Mtandao huu wa biashara sasa wamekuwa wahuni, unaponunua kifurushi cha usiku (wajanja night) wanakwambia ni unlimited ingawa si kweli. Uhalisia...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
mimi ni msichana,ni mwanafunzi katika chuo kikuu fulana hapa nchini mwaka wa kwanza napenda kumiliki biashara yangu mwenyewe .lakini tatizo pesa,sina mtaji wa kuniwezesha.kutimiza lengo langu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
The Internet is huge. Most people can agree on that at this point. But most people don't realize how big it is in relation to the global economy. it turns out, the Internet is a huge driver of...
0 Reactions
0 Replies
610 Views
Habari wana JF Najitaji mtu anayeuza tshirt aina ya jezi ambazo ni original. Aniuzie kwa bei ya jumla, ama anielekeze duka linalouza kwa bei ya jumla. Nakumbuka nikiwa Dar nilikua nanunua elfu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Zitto Kabwe EFD zilianza kutumiwa mwaka 2010 kwa jumla ya wafanyabiashara 16,000 waliosajiliwa kwenye Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT). Mwaka wa fedha 2009/2010, kabla ya EFD, makusanyo ya kodi...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Salam wanajamii. Naomba msaada kwenye hili,,nafikiria kuingia kwenye kilimo cha maharage,kwa anaefahamu msimu,maeneo mazuri kwa kilimo na costs naomba anisaidie,,nilipendelea bagamoyo ila ndo bado...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
wakuu heshima yenu, kwa sasa bongo kuna kampuni xa muhindi inayojishughurisha na mchezo wa kubet(kamari) kwenye ligi mbali mbali za ulaya. je unauzoefu wa kucheza au kuchezesha? je inalipa? je...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salamu wakubwa, naomba kufahamu mambo kadhaa kuhusu malipo kwa paypal, mimi ni mgeni kabisa mambo haya. Kuna mtu amenielekeza nije kutafuta topic huku jamiiforum lakini inanitoa ushamba nimesechi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za wanaJF, 1.Naombeni msaada wenu mimi nataka kuanzisha shulke moja makini tu ya computer. Basic Applications na Advanced applications je ni hatua zipi za kusajiri kwa mwenye ufahamu huo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Je, ni kampuni gani naweza ku itumia kupata gari zilizotajwa hapo juu? Je, itani-kosti bei gani kuzifikisha hpa bongo. Mimi nina 24millions kwa gar zote mbili. Mwenye info zaid naomba aweke hapa.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau nimevutiwa na hizi gari mbili kwa uwezo wangu siwezi kuchukua zote. Naombeni usharuni nivute ipi kati ya hizo. Ipi inamudu masafa marefu, running cost? Nisaidien wadau
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…