Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

WADAU NISHAURINI NATAKA KUFUNGUA HARDWARE NA SALOON YA KUNYOA ILA SIJUI UTARATIBU WA KUPATA VIBALI HALALI TAFADHALI WENYE UTAALAM WANISHAURI heshima mbele
0 Reactions
3 Replies
1K Views
sajili domain yako sasa kwa 30,000 Tsh tu na upate email accounts 3 bure Tel:+255 22 2133899 Mobile:0755 744584
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, Naomba niulize kampuni serious inaweza kusponsor blog ambayo ukiingia unaona maneno ya huyu katembea na yule au za matusi ya nguoni? Naomba kuelimishwa, blog kama hizo ni za Uturn...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
yeyote anaeuza vifaa used yaani computa, photocopy, printers kwa bei ya jumla na rejareja.ntaka kujaribu hii biashara.........pia nataka kuwa mnnuzi wa jumla wa computer devices kama flash, mouse...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
To anybody in karagwe kagera region, will be highly requested to contact me soon for TIN ore , we need good purity of tin ore in many quantities.Please call 0715381371
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tanzani nakumbuka tuliambiwa tukiwa linked na mkongo/optic fibre gharama za net zingeshuka kwa 50% naona mkongo tunao naona gharama ziko kama kawa though baadhi ya maeneo zimekuwa stagnant...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana JF. Nina fanya kazi na ninahitaji mkopo wa bank,je naweza tumia contribution yangu iliyopo NSSF kama dhamani ya mkopo kwa bank zetu. Kwa wenye ufahamu naoma mnijuze. Karibuni
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Nataka fungua deposit account, niwe naweka tu vijicent kidogo kidogo bila kutoa. sio mamilion ndugu zangu. ni bank ipi itanifaa? vipi zinakua zinazaliana au still wananikata makato wao? am...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau kama mnavyojua kuchagua bank imekua muhimu hasa ukizingatia kigezo kimojawapo cha kutoa mikopo binafsi(private loans)....Naomba mnijuze bank inayotoa hiyo mikopo, masharti nafuu, yenye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Massey - Ferguson 595 90HP 2WD Liliingizwa nchini Dec 2009 Liko katika hali nzuri na limefanya kazi; Iringa; Dodoma na Ruvu! Ni pm kwa anayehitaji MODS : nimeshindwa kuattach picha Naomba...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau mimi ninataka kuagizia gari ya 2001toyota yenye cc 1800 je ushuru wake itakuwa kiasi gani??gharama zake ni usd 4000 cif. Msaada please!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wapendwa, nataka kuwafungulia watoto wanfu account naomba mnishauri bank gari nzuri niwafungulie.
0 Reactions
0 Replies
453 Views
25 MARCH 2012 THE Management of Geita Gold Mine AngloGold Ashanti (GGM) has strongly refuted allegations of human rights abuse as published in one of the English daily papers late last week. The...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Helo, Ndugu wapendwa kama nilivyoeleza hapo juu, mimi ni mfanyabiashara wa vipodozi, vifaa vya kufanyia usafi majumbani, na Nguo za watoto from 0 - 12 years old. Kwa sasa nahitaji mshirika wa...
0 Reactions
14 Replies
10K Views
Ndugu wanaJF,kati ya sisi watanzania wengi tunashindwa kufanikiwa katika mambo flaniflani kwa sababu tu hatujui format ya kuandika jambo flani.jst take your time to copy and paste any important...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Salaam wanaUkumbi, Naomba mwenye kujua mpaka sahii kati ya Rwanda na Tanzania anifafanulie. Ramani nyingi zinaonyesha tofauti. Na je, kumewahi kuwako ubishi wa mpaka kati ya Tanzania na Rwanda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
M/kiti wa CUF Prof ibrahim Lipumba amesema inawezekana kila Mtanzania kulipwa sh 450000 kwa mwaka kutokana na raslimali zilizopo nchini. Prof Lipumba aliyasema hayo Dar es salaam jana katika...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Niko hapa kwenye mashine zao za ATM toka saa 12 alfajiri. Mashine zimezima hakuna umeme wa Tanesco hapa mjini tangu jana usiku na wao hawajafika kuwasha jenereta lao la standby ambalo tunajua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
This I Believe I believe in myself. I believe that all people have the equal right to become all they are willing and able to become. I believe that I am as good as anyone in the world...
0 Reactions
1 Replies
877 Views
Wizi wa mtandaono TIGO umekithiri. Tafadhali wahusika msibweteke okoeni jahazi. Watu kibao wanaibiwa float zao kwenye simu.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…