Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wadau, Naomba kuuliza kwa wajasiriamali kufanya usajili wa duka lako ili ulipe kodi zitakiwazo TRA ni kiasi gani chafikia kwa ukamilishaji wa usajili? Namaanisha Leseni, TRA, VAT etc. Ni kwa ajili...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
lipo lugwadu njia ya kwenda kongowe ya kama unaenda mkuranga unashuka mwembe mtengu karibu na fun city hakipitiwi na mradi wa mji mpya kigamboni karibu sana kama upo sereous cal0712769766
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Tanzania uchumi unaporomoka kwa 10% rushwa imeongezeka kwa 100% katika kipindi cha mwaka 1994-2010 source itv
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ni dhahiri mvua zina nyesha na kwakuwa mwenyezi mungu katujalia aridhi yenye rutuba ktk ukanda huu wa EAC bila shaka yatupasa kutumia fursa hii kwa umakini sana, Je ni kwa namna gani tunaitumia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF! Msaada tutani. Nauliza sehemu ninapoweza kutengeneza stamp nzuri yenye ubora kwa ajili ya ofisi na pia kutengeneza vyeti vizuri vya dawa kutoka kwa daktari (prescription form) nikiwa Dar...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hellow Tanzanian, any who is serious in business. I have business idea which is total win to win,please i need serious people/person. The idea is new in East Africa. Please those who are...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
jina langu naomba nisilitaje, ila nimesomea uhandisi wa ICT, na uzoefu wa miaka mitatu kwenye mashirika binafsi, toka yanayo anza hata yale ya wastani. nimefanya pia kwa muda wa zaidi ya mwaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hatari kubwa sana ya kiuchumi inatusogelea, jioni ya leo baadhi ya maduka ya kubadili fedha za kigeni yalikuwa yananunua dolari kwa Tshs 1,700. Sijui benki kuu ya Tanzania inachukua hatua gani...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Ndugu mdau ngoja leo tujaribu kutumia maandiko kidogo ili tuzidi kujiimarisha kimwili na kiroho ili tuweze kupata mafanikio ya kweli. Mapungufu humkwaza mwanadamu kufikia ndoto yake katika...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Tunapatikana dsm,mawasiliano piga 0717 01 26 56.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Dear Friends, There is significant variations of wages for different category of workers. Unskilled workers Skilled workers Semi Skilled workers. Mt query is how these categories are...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta Bank inayotoa mikopo kwa riba nafuu, na kwa urahisi, Nimechoka masharti Magumu ya benki X hata baada ya kuwa mteja wao wa muda mrefu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natoa malalamiko yangu kwa kampuni ya Airtel kwa kupandisha gharama za upigaji simu airtel kwenda airtel bila kutujulisha sisi wateja.<br>Nasema hivyo kwakuwa sasa wanalipisha shilingi 6 kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani eeeeh nilishawahi kupost hapa kuhusu kiwanda cha shellys cha pale mwenge,kuna watanzania wenzetu pale wameajiriwa kama vibarua kwa miaka kumi huku wahindi wakilipana pesa kubwa hata kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu nafikiria jinsi ambavyo tunaweza kuunganisha makampuni ya wazawa na kuyaweka kwenye database moja hii itasaidia pale ambapo serikali inatafuta kampuni za kufanya nayo biashara tukumbuke hizi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za mchana wana JF, wadau kuna hisa za hili kampuni zinauzwa hisa moja ni Tsh 475 na wanaanza kuuza kuazia hisa 200. Nina mpango wa kununua hisa 200: naomba elimu hapa wanauchumi faida...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ijumaa ya Tarehe Mosi mwezi huu wa Julai nilikwenda mpaka wa Tanzania na Uganda eneo la Mtukula. Nikiwa naelekea huko pale maeneo ya Kyaka, kama kilomita 35 hivi toka Mtukula niliyaona maroli...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Hivi ni kweli wafanyakazi wa Barclays benki wamefukuzwa? Mwenye habari atujuze!!!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais leo amepokea wageni,Kampuni ya Siemens na Wachina wanaotaka kuzalisha umeme mwingi na kuunganisha mikoa yote kwenye gridi ya taifa.Uwekezaj huu na mwingine wowote unaopangwa kufanyika unanipa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…