Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari, Kichwa cha uzi cha husika, Naomba kujua riba inayochajiwa na NMB Pesa fasta. Natanguliza shukurani
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Nina alizeti kilo 10, nataka kukamua mafuta. Nielekezeni kwenye mashine iliyo karibu na hapa ninapoishi, Kibaha, Picha ya Ndege.
0 Reactions
2 Replies
470 Views
Habari wakuu Naomba kama kuna wakala wa Perfect Money au yeyote anayejua namna ya kufanya deoosit perfecct money kwa kutumia mitandao ya simu ( M-Pesa, Airtel Money n.k) anipe mwanga nataka...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu Tafadhali naomba kujua kiundani kuhusiana na biashara ama uwekezaji huu wa MAKAA YA MAWE. Kwa mwenye uzoefu naomba kujua taswira nzima inavyokuwa, mfano Mahitaji muhimu (vifaa nk.)...
0 Reactions
1 Replies
598 Views
WAFUGAJI WA MUSOMA VIJIJINI WAENDELEA KUUNDA VIKUNDI VYA UCHUMI: KATA ZA IFULIFU NA NYAKATENDE ZAOMBA JOSHO LAO LA MWAKA 1956 LIBORESHWE Jana, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter...
0 Reactions
0 Replies
423 Views
Hebu wenye uzoefu tupeane mawazo jinsi mtanzania aliyeko Tanzania anavyoweza ku "self publish" kwenye mitandao kama Create space, Lulu.com nakadhalika au kuuza kitu kwenye mitandao kama Amazon.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Natumaini wewe usomae Uzi huu u mzima wa afya. Napenda kuchukua fursa hii kuuleta kwenu Uzi huu. Kwa mda mrefu nimekuwa nikifuatilia hili swala wa kupublish kitabu cha kielektonic yaani eBook...
2 Reactions
23 Replies
8K Views
Kuna ndugu anauliza ni namna gani anaweza tuma mtu au kuagiza machine ya kufyatua na kufungasha pipi toka uchina. Kwa niaba namtangulizia shukrani za dhati. AMINA Isiwe domestic na Isiwe heavy...
2 Reactions
5 Replies
522 Views
MASEGA MASEGA Je gari yako haina nguvu? Je gari yako ina unywaji wa mafuta kwa kiasi kikubwa? Je gari yako ina muungurumo usio wa kawaida? Je gari yako taa ya check engine inawaka mda wote hata...
1 Reactions
1 Replies
333 Views
Mimi ni master planner na fundi wa kutengeneza garden kuanzia hatua ya kwanza ya kupima MWINUKO wa eneo lako, kufanya tadhimini ya Aina udongo Unaotakiwa kutumia, kama Kuna mahitaji ya kifusi...
2 Reactions
2 Replies
475 Views
Habari wana jf, Naomba mwenye business idea ambayo nikiwekeza 30m naweza pata faida ya atleast 5m per month.
2 Reactions
49 Replies
4K Views
Kwa hali kama hi hamna Muhindi inae weza kuja Tanzania na akushindwa kutoboa maisha, watanzania wengi tumedekezwa kazi yetu kulalamika lalamika wakati hi nchi ina fursa za kiuchumi za kutosha kabisa,
4 Reactions
43 Replies
2K Views
Habari za asubuhi JF people? Mimi ni Dalali wa Viwanja Magari Nyumba & Co. Kuna pesa huwa naipata gjafla kutokana na shughuli zangu za u middle Nimeamua kuanza kukopesha. Watu ninaoanza nao ni...
16 Reactions
304 Replies
52K Views
Leo nilikuwa natumia huduma ya Lipa kwa simu kupitia voda, nikalipia bidhaa yenye thamani ya elfu 15 nikakatwa sh. 850, kama sijasahau hii huduma hapo mwanzo ilikuwa na lengo la kumsaidia mteja...
20 Reactions
96 Replies
17K Views
Ni muda tena. Katika tafuta tafuta zake akaje kunicheki na kuniomba ushauri kuhusiana na duka kiujumla duka la vyakula kama muitavyo nafaka. Maswali aliyouliza. Je, kuanzisha biashara ya kuuza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Waliowahi kupata huduma Kwa mfumo wa hii kampuni ya baridi baridi..inayouza AC na nimewahi sikia kama wanakodisha...kitu kama hiko...ukilinganisha na mtu kwenda dukani na kununua AC moja Kwa...
0 Reactions
6 Replies
864 Views
Stamara wajada ni msingi kwenye kila kitu tunachokifanya, Kama wanasiasa wasemavyo vijana tujiajiri huku wao wakiendelea kukaa maofisini na wengine wakiroga waendelee kubaki kwenye hizo nafasi...
4 Reactions
12 Replies
959 Views
Habari zenu wadau natumaini ni wazima wa Afya. Naitaji kufahamu kwa mwenye uzoefu na biashara ya kuuza vifaa vya michezo kama mipira, soksi jezi viatu na vifaa vyote vinavyo husika katika michezo...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Kuna mzee mmoja hapa ubungo alitaka kuiuza nyumba yake kwa Bei ya tsh mil 25,wakapangana na madalali wawili ambapo madali watachukua mil 2 tu. Sasa madalali wamempata mteja ambae alivoina nyumba...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Wana great thinkers Kuna mishe ya karanga ndani ya mikoa ya Kanda ya ziwa TABORA SHINYANGA Kuna aina tatu za karanga RED ndogo ndogo rd RED kubwa kubwa (TIRA) RD NYEUPE (WHITE) wt Utofauti wa bei...
17 Reactions
35 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…