Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari za jioni, Naomba msaada wenu katika ununuaji wa simu toleo zuri la Samsung ila Series au IPhone(kwenye iPhone iishie 11pro). Ila ningependa zaidi iwe Samsung iwe nzuri idara zote
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari, wa Jf mm ni kijana mpambanaji nimeona sasa nijikite kwenye biashara hii ya asali mbichi , nipo Tabora naomba nipate wanunuzi wa asali kwa aliyeko serious nitauza nikiwa huku kwa bei kg 1...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Naomba kupata taarifa za USHURU wa vitambaa vya kushona,je wana toza kwa MITA au kwa jora?tafadhali kwa anaejua naomba kufahamishwa.
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Hi utaratibu moat wa kupata leseni ya Biashara online sio Kama ile ya karatasi halmashauri unapata sasa hivi ONLINE. Sasa kuna baadhi ya stationery hawajui kwahiyo nataka nikomae mwenyewe JE...
3 Reactions
62 Replies
15K Views
Nna mpango wa kufanya biashara ya matofali, mwenye uzoefu naomba anipe uzoefu.
2 Reactions
3 Replies
551 Views
Habari zenu wadau, Nafikiria kufungua biashara ya kutengeneza bisi (popcorn), kwa upande wangu naiona ni biashara rahisi na haitahitaji mtaji mkubwa. Kuhusu sehemu ya kufanyia si tatizo na...
3 Reactions
159 Replies
93K Views
MBUNGE ENG. ULENGE: IFIKE WAKATI TUANGALIE VIPAUMBELE VYA TAIFA LETU ILI TUWEZE KUSONGA MLELE "Kamati ya Miundombinu tulikutana na Kamati ya Wizara ya Fedha, kiliniumiza ni kuwepo na miradi mingi...
0 Reactions
1 Replies
369 Views
DC LUDEWA ASISITIZA UZALISHAJI MALI GEREZA LA LUDEWA. Mkuu wa Wilaya ya Ludewa - Victoria Mwanziva amefanya ziara ya kutembelea Gereza la Wilaya Ludewa. Akizungumza na viongozi mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
352 Views
Maisha ya Zanzibar yapoje katika sector ya utalii, mim ni guide najua lugha kama English Kijerumani na Spanish, nianzie wapi kwaajili yakupata fursa Zanzibar?
0 Reactions
5 Replies
895 Views
Habari Wakuu, Natafuta Maduka, Vibanda vya Uwakala, Saluni na sehemu za kuweka Donat zangu. Donati zangu zauza shilingi 100, nikiweka kwako nitakupa shilingi 20 kwa kila donati. Nipo Mabibo...
3 Reactions
17 Replies
961 Views
Hii ni kwa wengi wenu na sio wote. Je kuna sababu gani ya kitaalam ya kufanya hivo? Maana unaiona bidhaa unakuta umeipenda ila bei sasa hauioni, mwingine anakuambia hadi umpige simu kuulizia...
1 Reactions
5 Replies
472 Views
Hellow members,nimekuja kushare nanyi fursa hii niliyogundua kuwa inahitajika kwenye soko la kuuza na kununua bidhaa hasa kariakoo. Nimekuwa nasafirisha bidhaa za watu mbali mbali kutoka kariakoo...
11 Reactions
77 Replies
3K Views
Nina 1.M nawaza kuwa Wakala wa kutoa pesa na ktuma pesa wazoefu inalipa kweli? Wenye experience na hii kazi Ina faida kweli
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Startups that scale too quickly fail. Yes or No Why?
0 Reactions
9 Replies
504 Views
Habarini ndugu, Nilikuwa naomba usharudi wa utaratibu unaohitajika kufungua duka na kuuza pombe kali Dodoma mjini. Ningependa niwe nauza jumla na rejareja. Natakiwa nianze wapi kama eneo tayari...
1 Reactions
5 Replies
11K Views
Wadau nataka kununua kifaa cha umeme online china,chenye thamani kama laki mbili,ni supplier yupi ni wa uhakika,na je anasafirisha mpaka tz,msaada please,kifaa kinaitwa INSULATION RESISTANCE...
1 Reactions
1 Replies
664 Views
Habari Za majukumu wanajamvu, Katika pitapita zangu, nimekuja tembea mkoa wa tabora, na nimeupenda, naweza weka kambi kwa mda . Naombeni ushauri wajuzi wa huu mkoa ,Biashara gani naweza fanya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
The dollar should be replaced with a global currency, the United Nations has said, proposing the biggest overhaul of the world's monetary system since the Second World War.In a radical report, the...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ninatafuta sana sehemu ambako kuna kitu kama mnada wa mbwa. Sehemu ambayo watu hupeleka mbwa wao kuuza hapo na watu huenda hapo kununua mbwa. Yaani sehemu ambayo unakuta wauzaji mbalimbali...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wanajamii kuna haja ya kupambana kujinanusua kwenye kansa ya matumizi ya hii pesa ya kigeni,maana tuajikuta tunaamuliwa kila kitu ambacho ni chetu maamuz yanatoka kwao,naomba kuwasilisha... Neno...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…