There's a major shift under way, even though the US mainstream media has left it largely untouched. The shift will send the United States into an economic maelstrom and dramatically reduce the...
Habari wadau,
Kwa wale wenye uzoefu na biashara hii ya uwakala wa kibenki, yaani unakuwa na kibanda chako lakini unafanya shughuli za uwakala wa mabenki mbalimbali, kama vile NMB na CRDB...
Je, ni kweli unaweza kufanya kazi na kupata pesa kupitia mtandao?
Ndiyo, inawezekana kufanya kazi na kupata pesa kupitia mtandao.
Je, ni kazi gani mtu anazoweza kufanya kupitia mtandao?
Ni kazi...
Umuofya kwenu wakuu,
Naomba kujuzwa jee ni kweli kua ukiagiza bidhaa kwa kikuu haulipishwi kodi. Nimeagiza mara kadhaa bidhaa kwa Aliexpress na kila maia nimekua napewa makadirio na kulipia kodi...
Juzi juzi nimeona kwenye taarifa serikali kupitia mkuu wa mkoa wakibomoa madanguro na kujisifu ili kukuza uchumi watu waache kazi hizo,Ila serikali hiyohiyo inashindwa kusimamia watumishi wake...
Habari wakuu
Nahitaji kufanya international business Yani kununua bidhaa kutoka kwenye kampuni zlzo nje ya nchi mfano UK, Austria, South Africa n.k.
Naomba kujua Ni njia gani za kufanya malipo...
Kupitia JamiiForums, nimepata fursa ya kujitambulisha na kushirikiana na jamii hii yenye uchangamfu na busara.
Mimi ni mfanyabiashara naeagiza mzigo mbali mbali kutoka china kwa sasa na nipo hapa...
Mimi ni mwajiriwa niko maeneo ya Kijijini
Nina kahela nmesave sh milioni 7 nataka nizungushe kanipatie faida
Biashara gani itanifaa maana huku nilipo mzunguko wa hela ni mdogo.
Napata wakati mgumu
Ciao famiglia, come stai?
Leo tuongelee kidogo kuhusu business diversification. Ulimwengu wa sasa katika ushindani wa biashara, diversification ni key mojawapo ya kukufanya uendelee kukua zaidi...
Wana JF pole na kazi,
Mimi naitwa Pelius nipo mwanza, ni kijana niliemaliza chuo na kukutana na changamoto ya ajira, moja kwa moja niende kwenye swali langu.
Je, nikiwa na mtaji wa 100,000Tsh au...
Habari WanaJF
Niende Direct kwenye mada.. Mimi ni mfanya biashara za mtandaoni mara nyingi huwa natumia CRDB Visacard kufanya malipo.
Tarehe 31/10 nililipa kiasi kama 2.8M nikapokea...
Nataka kufanya biashara Kati ya Nairobi na Dar es Salaam kupitia mpaka wa Tarakea! Biashara Ni ya Nguo!
Naomba kujua mahitaji ya muhimu ni yapi.
Kibiashara na personal
Habari wakuu kwa mujibu wa ratiba yetu leo
Tunajadili Fursa mbalimbali za kiuchumi ambazo unaweza kuzifanyia kazi ndani ya nchi yetu kulingana na Mazingira uliopo.
Wakuu kutokana na changamoto...
Habari zenu wana jamvi,
Naomba kufaham kwa mwenye uelewa kuhusu wire transfer. Huchukua siku ngapi kwa pesa iliyotumwa kutoka nje ya nchi kwa njia ya wire transfer kukufikia kwenye account yako...
Au tuko Uchumi wa Kati kisiasa maana hii Dunia ina Wahuni kila kona
Ukiona Wabunge wa CCM wanalilia kuadimika kwa US Dollar Ujue hali ni tete
Niishie Hapo
Kwako FaizaFoxy 😂🔥🐼