Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kumetokea Watu wanajifanya wanakopesha simu za Mkopo hapa Facebook na kukutaka uwatumie pesa kidogo ili wakutumie bidhaa yako huko mikoani ndugu yangu utapigwa vibaya. Nasema hivyo kutokana na...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Kwa kawaida mtu anapoanza biashara yoyte,kubwa ama ndogo huwa anakuwa na malengo fulani.Inapotokea biashara hii imekufa au kufungwa huwa pia kuna sababu. Kwa utafiti mdogo niliofanya kumekuwa na...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Nina wazo la kufanya biashara ya ndizi either kutoka Bukoba kwenda Mwanza ama Dar, na mikoa mingne ila sina idea yoyote ya wapi naanzia, mtaji kiasi gani unahitajika na masoko yapoje. Kwa...
1 Reactions
4 Replies
314 Views
Je unatunia simu yako kama wi-fi hotspot wakati wa kazi ofisini au masoko chuoni? Wakati mwingine internet inakata mtu akikupigiaa sasa acha na hizo habari suluhisho limepatikana kwani ni Vodacom...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii ni benki ya mwanzo nchini kuendesha huduma zake kwa misingi ya sharia za kiislamu. Pia ni muendelezo wa mfumo bora wa kibenki unaofanya kazi nchi nyingi duniani. Benki hii ilipoanza kazi...
14 Reactions
111 Replies
6K Views
Treni ya Mwendokasi Kutoka Dar es Salaam - Morogoro Kuanza Safari Mwezi Julai 2023 Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Atupele Mwakibete amesema safari za treni ya mwendokasi (SGR)...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Napenda kujua mengi zaidi kuhusiana na bei ya vifaa vya simu pale KARIAKOO kama vile 1.betri za simu za button, 2.chaji za aina zote(za kichina na original), 3.earphone pini kubwa na pini ya...
2 Reactions
26 Replies
18K Views
Habari wana JF Leo naomba nigusie maswala machache yanayohusu sheria na utendaji wa makampuni binafsi. Naamini umewahi kusikia juu ya wito wa kurasimisha biashara na makampuni. Wapo viongozi wa...
4 Reactions
7 Replies
3K Views
Wadau, hivi business ya kufungua computer training institute kuwafundisha watu software mbalimbali za computer kama word excel provides point na ujuzi mwingine wa kidijitali. Je, biashara hii...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Aseeh, me ni kijana nmejitahidi kutafta mtaji kwa muda mrefu, nmepata kiasi kidogo nataka niingie kwenye biashara ya uber/bolt ya bajaj, nipeni muongozo na ushauri wenu jaman
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba unendelea salama na shughuli zako za ujenzi wa Taifa. Leo nimeleta Mjada kuhusu aina ya Biashara inayohusisha zaidi na Ununuaji na Uuzaji wa...
1 Reactions
2 Replies
540 Views
Nahitaji fedha kwa kuweka bond kiwanja, nipo dar, anayejua napoweza pata tafadhali
0 Reactions
10 Replies
648 Views
Mmeshindaje wadau, nilikuwa naulizia wenye uelewa na biasharra ya kupeleka bidhaa Congo mje mtupe madini, nataka niende katanga je ni bidhaa gani inatoka huko? Na utaratibu upoje inabidi uwe na...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni ndoto yangu ya siku nyingi kuanziashia clinic ambao nitaibrandi mikoa kama Dodoma, Mwanza, Dar na Arusha. Wazo nishalifanyia kazi muda sana ila nimekuja kwenye wajuzi na wenye uzoefu wa...
2 Reactions
7 Replies
558 Views
Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba unaendelea salama na shughuli za ujenzi wa maisha yako na taifa kwa ujumla.Leo nachokoza mada kuhusu mambo ambayo huchelewesha mafanikio ya mtu.Ni...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari zenu wadau wa JF. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ninaomba nipate maoni yenu kuhusu uanzishwaji wa kampuni hapa nchini Tanzania. Ninataka kuanzisha kampuni ambayo itajikita katika...
0 Reactions
2 Replies
467 Views
Hello wapendwa[emoji112] Wale tunaopenda kujiajiri inatuhusu hii Ideas tofauti[emoji1370] Kama hauna mtaji Unaweza kwenda kkoo ukachukua vitu kwenye maduka ya jumla ukapanga kwenye barabara...
73 Reactions
145 Replies
33K Views
kama heading inavyojielezea ninahitaji fridge la bei rahisi kwaajili ya dukani iwe ya kampuni yoyote na iwe mikoa ya Dar Kilimanjaro na Arusha mahali ambapo nafanyia biashara ni Njiapanda ya Himo...
1 Reactions
3 Replies
636 Views
Kwa huduma, mbovu, masimango, dharau, kejeli, kebehi, nk za huyo konda wenu wa leo, atashusha heshima ya kampuni yenu na.kuwaharibia biashara. Wekeni mfuatiliaji mtaelewa ninalomaanisha. Kampuni...
1 Reactions
2 Replies
403 Views
Nimekuwa nikisikiasikia kuwa benki ya NMB inauza BONDI. Na watu hununua Bondi hizo. Naombeni kueleweshwa juu ya biashara hiyo kwa mwenye uelewa. Asante.
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…