Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Nimepitia katika makundi ya wafugaji wa kuku naona wana kuku wengi sana wanatangaza kuuza. Sasa najua JF ni jukwaa pana sana, wapo watu wanajua kuanzia mtaji, mahitaji, faida na hasara za...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
SERIKALI KUNUNUA VIPURI NA VYUMA KATIKA KIWANDA CHA KILIMANJARO MACHINE TOOLS Serikali kupitia Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) imekifanyia ukarabati mkubwa Kiwanda cha Kilimanjaro Machine...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii ni kwa wafanyabiashara au watu wanaotangaza biashara zao kwa platform za Meta (Facebook na instagram). Kumekuwa na huduma nyingi sana haswa instagram, Kuna vijana wanatangaza huduma ya kufuta...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Hizi tuziite ni biashara bikra huwa ni sawa na kuwa mwanaume wa kwanza. Ni biashara nyingi sana hazikuwepo Tanzania bali ziliingia kwa kucopy na ku paste biashara zinazofanywa nchi zingine...
2 Reactions
5 Replies
792 Views
Greetings everybody? I trust you are good. Leo kama ilivyo kawaida yangu kutoa maarifa bila uchoyo kabisa nataka nikufundishe jinsi unavyoweza kutumia app ya CouchSurfing kupata wageni toka nchi...
38 Reactions
120 Replies
22K Views
Wakuu natafuta soko la mashati meupe ya shule, ya mikono mirefu na mifupi. Nauza kwa bei ya kiwandani , kuanzia dozen 50. Nipo Dar. Kuna Size Small Medium Large, 38, 40,42 na 2, 3, 4 . Toa oda...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
MELI YA MV. MBEYA II YAREJESHA SAFARI KWA KISHINDO Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile amefanya ziara katika Bandari ya Kiwira (zamani Itunge) Wilayani Kyela ambapo ameshuhudia kuanza...
0 Reactions
1 Replies
442 Views
Nnabiashara ya mikoba na pochi za kike ila nilikuwa naomba nipate ujuzi zaidi ya kufanya biashara online [emoji120]
1 Reactions
6 Replies
894 Views
Habarini wakuu, Ni financial institution ipi naweza kuweka pesa 1.2m kwa mwezi kwa muda wa miaka mitano bila ya kuitoa. Namaanisha credibility nzuri bila uzinguaji na wenye riba nzuri sana ambayo...
2 Reactions
10 Replies
893 Views
SERIKALI KUJENGA KITUO CHA FORODHA KAKOZI, MOMBA "Je, kuna mpango gani wa kuweka kituo cha forodha Kakozi, Momba ili kuunga mkono jitihada za kujenga Soko la Mazao la Kimataifa?" - Mhe. Condester...
0 Reactions
0 Replies
387 Views
Habari, nataka kuagiza simu ya apple kule apple store, nataka kujua kama kuna mdau yeyote alisha wahi agiza na changamoto zipi alipitia mpaka kuipata.. 1. Gharama ni ile ya pale uliolipia naada...
2 Reactions
4 Replies
359 Views
Hellow members,Leo nimekuja na tukio lililotokea leo asubuhi baada ya moja ya mteja wangu kuingia mkenge kwenye rada za matapeli. Ipo hivi mimi najihusisha na kununua/kufuata,kufunga na...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Tafadhali naomba kujua ni wapi au ni website gani ambayo inatoa offer nzuzi ya affiliate marketing na ambayo inakubali hata kwa nchi zetu za Africa ikiwepo na Tanzania. Nmejaribu website...
1 Reactions
1 Replies
763 Views
Siku za karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la famasi au maduka ya dawa lakini wengi wameishia kufunga biashara na kukimbia frame. Je, tararatibu zipi za kufuata? Unafanyaje ili uweze kufanikiwa...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za majukumu Ladies and Gents. Baada ya Purukushani za mjini naona ajira zimekuwa ngumu sana nataka kuuza mali zangu baadhi nijite kwenye Biashara ya Nafaka (karanga n.k) Nina Kiwanja...
8 Reactions
59 Replies
2K Views
Habari zenu wadau,kama mada inavojieleza nahitaji kununua kitanda cha mbao.kwa anaeuza au kujua maeneo wanakouza vitanda vizuri anijuze wadau. Niko vikindu,mkuranga.
1 Reactions
0 Replies
382 Views
Habari za Muda kidogo, Wakuu mimi ndugu yenu ni mpiga madili na pia ni mfanyabiashara wa vifaa vya ujenzi na umeme pia, Sasa katka biashara hizi ninazo fanya ni kwamba nafanya biashara na Wakinga...
8 Reactions
44 Replies
4K Views
Natafuta sehemu wanaponunua oil chafu bei iwe inayoridhisha... Natanguliza shukrani.
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Yeah nataka nianze hii Biashara vifaa vyote tayari ninavyo bado sijapata sehemu natafuta maeneo ya Mbagala rangi tatu, kwa azizi Ally na tandika. Nahitaji mtu anayefanya hii Biashara anipe mbinu...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Amani ya allah iwe juu yenu. Katika harakati za maisha, watu wanapambana sana ili kuona wanajikwamuaje katika dimbi la umaskini. Kila mtu kuna kitu anafikiri ni bora zaidi akikiweka kwenye...
5 Reactions
43 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…