Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

"Namshukuru Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko ambaye baada ya kuteuliwa alifika Ngara na kuzindua miradi ya Umeme kwenye Vijiji vya Ntanga na Katulanzuri...
0 Reactions
1 Replies
440 Views
Hizi hatua za kenya za kupunguza bei tunapaswa kuzitizama upya lama hazikiuki east africa protocals, na kama wanashusha bei nasie tushushe nao sambamba...
1 Reactions
2 Replies
318 Views
Habari za leo Samahani, Naomba msaada wa kujua biashara gani naweza kufanya kwa mtaji wa Million 3 Nitashukuru sana kwa michango yenu
4 Reactions
34 Replies
5K Views
Hello guys, I have a building (6 storeys) in the heart of Arusha city near Mount Meru Hospital and Arusha International Conference Centre that needs a partner/investor to cooperate with. The...
2 Reactions
4 Replies
350 Views
Hawa jamaa twende nao mdogomdogo, kwa maanuzi haya tuimarishe bandari tu hili wese likipita tanzania uchumi umepanda...
2 Reactions
0 Replies
276 Views
Nashangaa kuona bado hizi fikra za kale zinaendelea "kila mtu ajitafutie cha kwake", mtoto wa mfanyabiashara anafika miaka 23 hana utofauti na watoto wa mwalimu, yani hajui kitu kuhusu biashara...
8 Reactions
16 Replies
1K Views
Nahitaji kuwekeza katika kufunga mifumo ya matumizi ya gas katika magari, na kua na kituo cha gas refueling. Mtaji ninao ila sijui hata pa kuanzia. Naombeni mtiririko mzima.
0 Reactions
2 Replies
211 Views
Rais SSH anasema mgawo wa umeme unaoendelea hivi sasa JMT hautokani na hali ya hewa (ukame) bali ukarabati wa mitambo na miundombinu ya usambazaji, inabidi mitambo mingine izimwe isifue umeme ili...
2 Reactions
3 Replies
471 Views
Kwanza kabisa fanya research ya Location especially kwenye maeneo yananayo kuwa kwa kasi hasa ya makazi na viwanda yenye miundombinu rafiki kwa aina ya bishara husika. Ni vyema ukipata eneo...
6 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanabodi, Nini kimetokea hadi kufanya beer aina ya windhok na Heinken kupotea sokoni? Nimepita maeneo tofaut tofauti, wanalalamika beer hakuna! Hii inapelekea bei yake kuwa juu tofauti na...
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Yaani biashara ni rahisi sana kwa kuongea na kwenye maandishi, wakuta mtu ananunua na kuuza na kupata faida kwa muda maalum kabisa kwa maneno yaani utazani ni one way hadi kufanikiwa. Nawasihi...
14 Reactions
38 Replies
2K Views
Habari za mchana wakuu? Moja kwa moja kwenye mada, hizi ni taarifa fupi nilizopata mpaka sasa kuhusu biashara ya mchele toka Kyela eneo la Kasumulu ndipo utaponunuliwa. Mosi, plastick la debe...
5 Reactions
41 Replies
7K Views
Wakuu habari, Natumai kuna wajuzi na wenye uzoefu na mji wa kahama kwenye eneo la ujasiriamali hapa, nina ichi kiasi cha laki nane ambacho natamani kisikae kizalishe chochote kitu ili nitanue...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Mwenye kujua chimbo kko la bei nzuri nguo za awali za mtoto mchanga naomba unielekeze
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu, napenda kufahamu bei za frem za biashara dodoma zinaendaje . Biashara kama 1. Furniture 2. Mapazia, mashuka, godoro, neti, 3. Hardware ... Napenda kufamu bei za frem na mzunguko wa...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Nataka nifanye hii mishe naomba bajeti hapa nina dishi la Azam tu. Najua gharama za kibanda, TV nch 40, au projector, supika, solar in case umeme umekata, nk. Mnakaribishwa kunipa changamoto za...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wakuu, nlikuwa naomba msaada Kwa wazoefu, ninataka kufungua duka la vifaa vya useremala lakini nataka kuanzia na vichache vyenye matumizi ya kila siku kama misumari ya aina zote, msasa...
4 Reactions
0 Replies
978 Views
Habarini wana JF naitwa james nipo mwanza , naomba kupata ushauri kutoka kwenu namna na jinsi ya kuendesha biashara ya nafaka , kwa mtu alie na ujuzi zaidi naomba anielimishe
3 Reactions
14 Replies
4K Views
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Viwanda, Exaud Kigahe wakati wa kufunga sherehe za maonesho ya SIDO kitaifa mkoani Njombe ambapo zaidi ya washiriki 628 wameonesha bidhaa zao kwenye maonesho...
0 Reactions
1 Replies
388 Views
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), imeelekezwa kuwalea wafanyabiashara nchini kwa kurahisisha jinsi ya kuifikia, kuwa mbunifu wa namna ya kuwahudumia na kuifanya Taasisi kuwa ya...
1 Reactions
0 Replies
342 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…