Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Naombeni ushauri mzuri Gharama nyepesi za kurekebisha Chumba cha kawaida cha futi 10 kwa 10 yn furniture pamoja na kabati za kuwekea madawa. Pia Meza kubwa ya kioo milango ya kioo na Gharama...
5 Reactions
35 Replies
8K Views
Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania ( TPA) imepanga kujenga matenki ya kuhifadhi mafuta (Farm Tanks) yenye uwezo wa kuhifadhi tani 360,000 kwa wakati mmoja ili kufanya Meli...
0 Reactions
3 Replies
646 Views
Nazani kwasasa jamaa upande wa kuhakikisha kila mtanzania anamiliki smartphones kwa Bei rahisi unaupiga mwingi.. Baada ya kuona machawa wengi wa mjini wanamsifia ikabidi na mimi nizame china...
30 Reactions
67 Replies
10K Views
Natumaini muwazima sana wa afya na poleni na majukumu ya kila siku Nilikuwa naomba ushauri kuhusu biashara ya car wash Sijawai kuifanya naombeni muongoza niweze kuindesha.ndugu zangu maana...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Natafuta simu za batani kwa ajili ya mteja mkoani. Naomba connection 1. Endapo wewe ni muuzaji, tuwasiliane. Nipe namba yako na duka liliko, ntakutafuta. Uwe na whatsapp ili...
2 Reactions
6 Replies
960 Views
Salamu wandugu, Naomba kuuliza hawa Mkopa ni wa kweli au kama waongo tu wanasema wanafanya biashara ya kukopesha bidhaa basi wakanilainisha nikakubaliana nao lakini naona kama wana dalili ya...
0 Reactions
1 Replies
346 Views
NAIBU WAZIRI KIGAHE AFANYA ZIARA CHUO CHA CBE & TRIDO Naibu Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa jengo la Metrology Annex unaoendelea...
1 Reactions
2 Replies
517 Views
Habari zenu humu ndani? si muandishi mzuri sana wa nyuzi humu jf ila leo nimejisikia kushare kitu kidogo na nyinyi juu ya biashara, nikiamini kwamba naweza kubadili fikira za baadhi ya vijana na...
65 Reactions
112 Replies
21K Views
Wakuu naombaa kuuliza fremu ya duka Mbezi Luis au Kimara naweza pata kwa shingapi kwa mwenzi maeneo ya barabarani barabarani?
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Spacio Cc1490 Low km Bei M12.5 Full Ac 0783299186 0r 0716095123
3 Reactions
7 Replies
516 Views
Upungufu wa dola ya Marekani katika maeneo mbalimbali unaanzisha mnyukano wa sarafu ya akiba kati ya dola na yuan. Pesa ya Yuan ya China ambayo ilikuwa inafanya kazi katika soko la biashara kati...
9 Reactions
22 Replies
3K Views
Nawasalimu kwa jina la muungano wa Jamhuri ya Tanzania, Nimekua nikifatilia threads mbalimbali za biashara humu, Wengi naona wanasema ili kuingiza faida kubwa Kwa siku basi ni lazima Uwe na Mtaji...
13 Reactions
73 Replies
25K Views
Habari wakuu, Ninaamini hapa ni home of Great Thinkers kwelikweli, watu wenye mawazo mazuri sana kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea katk jamii. Kwa sababu hiyo, ninaomba mawazo yenu kuhusu...
0 Reactions
106 Replies
59K Views
Habari zenu wapambanaji, Naomba kujuzwa bidhaa ambazo inaweza toa faida ghafi ya laki moja au zaidi kwa pc na huku mimi nikiinunua pamoja na usafirishaji niwe nimetumia laki moja au pungufu ya...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Habarini kwa ujumla. Nilikuwa na wazo la kufungua duka la kuuza vioo vipi linalipa na changamoto zake ni zipi hasa? Karibuni kwa maoni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WAKATI MAONYESHO YA 7-7 YAKIENDELEA UWANJA WA MWL. NYERERE KILWA ROAD NAJIULIZA HIVI IWEJE TANTRADE WAWEKE VIINGILIO KWA ANAEINGIA HUMO UWANJANI? WAKATI HAKUNA HUDUMA YOYOTE (mfano vyoo, maji...
6 Reactions
54 Replies
7K Views
Asalaam wakuu. KUfupisha uzi. Kwasasa kuna mahali nafanya kazi nalipwa laki 5, ila kazi inanichukulia muda mwingi sana. Ingawa nakula bure , na nalala bure(vyote nimepewa na ofisi yangu). Umri...
7 Reactions
40 Replies
3K Views
Miaka ya nyuma kidogo tulikuwa tunasikia shuhuda za watu waliofanikiwa kimaisha kuna matajiri walianza kufanya biashara za ajabu ukimuona sasa huwezi kuamin Wapo walioanza biashara kuuza karanga...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Ndugu wana board Mimi ni Mwalimu lakini mbali ya ualimu pia nafanya biashara ndogondogo na hasahasa kuuza vitu vya kike, kiukweli hela ninayo lipwa kwa mwezi, huku biasharani naipata baada ya two...
1 Reactions
35 Replies
29K Views
Kwa Nini mchele unaotoka kyela mkoani mbeya una bei kubwa na soko Sana hapa dar Kuna tofauti gani Kati ya mchele wa kyela na mbalali??? Na mchele you in soko Sana hapa dar Kati ya mchele wa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…