Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Naibu Waziri Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb) Kwa niaba ya Waziri Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ameshiriki ufunguzi wa Kongamano la Kibiashara kati ya Tanzania na China...
0 Reactions
0 Replies
827 Views
Huyu ndio CEO wa Google na alphabet Inc. Ni mtu mwenye asili ya kihindi na marekani, alizaliwa June, 10, 1972 huko Tamir Nadu India, alipata shahada yake ya Kwanza Katika chuo cha Stanford...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Hawa wadada wanaojitangaza kuwa wanakuletea mzigo toka China huwa wanapiga pesa ndefu. Hizi mishe walizianza akina Faiza Ally. Kwa sasa wamekula wengi hasa wadada. Iko hivi, wao wanaenda China...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Wapendwa, Nimekuwa nikifuatilia issue nyingi za wanawake kwenye jamii wanavyopitia kwenye hali ngumu za kukatisha tamaa, misukosuko kwenye ndoa na hata kwenye malezi ya watoto. Wanake wengi...
2 Reactions
24 Replies
15K Views
Habari wakuu naomba ushauri, hivi eti kwa mtaji wa 450,000/= ninaweza anzisha biashara ya phone accessories vifaa vya simu. Note: Hiyo 450000/= ni kwa aajili ya kununua bidhaa tu na sio...
1 Reactions
24 Replies
29K Views
Habari za Leo jamiiforums? Niende moja Kwa moja kwenye mada, Niko mahali yapata miaka mitatu ila Kuna jirani baadhi siwaelewi kabisa, Kuna jirani nikimsalimia haitiki na milango inatizamana...
1 Reactions
8 Replies
686 Views
Salamu zenu Wadau, binafsi ni mchakalikaji na hivi karibuni nimepata mtaji kama milioni 6 hivi, mawazo yangu ni kufungua biashara ya kuuza mchele kutoka Mbeya, Moro,Tabora kwenda zanzibar. Tayari...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ninatamani sana kufanya biashara ila biashara gani naweza kuifanya kutokana na mtaji wangu ndiyo sijui. Kutokana na kutokua na uzoefu wa biashara, mtaji wangu ni 3m, nachofikilia kufanya hapa kuna...
2 Reactions
17 Replies
6K Views
Niende kwenye mada mojakwamoja Nimestack wakuu mimi najishughulisha na kusupply vifaa mbalimbali. Sasa toka mwezi October nilianza kufanya usambazaji wa bidhaa kwa wateja ila hadi kufika mwezi...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
MBUNGE MARTHA MARIKI ACHANGIA MILIONI 29 VIKUNDI VYA WANAWAKE KATA ZOTE ZA KATAVI ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki tarehe 03 Julai, 2023...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Watu wengi hawajui kwanini biashara ya vitenge hutokea Kigoma, pia wengi hawafahamu wapi watapata Vitenge halisi na original, post hii yenye urefu itakufungua zaidi ili uweze kufahamu kwanini...
7 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwenye maonyesho ya tatu ya uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika hivi karibuni katika mji wa Changsha mkoani Hunan, bidhaa nyingi kutoka Afrika zilioneshwa na kuvutia wateja...
2 Reactions
3 Replies
910 Views
Wadau kama title inavojieleza, ningeopenda kufahamishwa utaratibu wa kufuata ili kupata frame zile za maeneo ya Mwenge. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa juu ya biashara ya mpunga katika bonde la Kilombero mkoani Morogoro katika angle zifuatazo 1. Msimu wa biashara hizo 2. Mtaji wa chini kabisa wa biashara hiyo 3. Changamoto zake...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Naomba kupata mtu mwenye kuwezi kunusaidia muundo wa mini supermarket ni kuanza na mtaji kama wa shingap? Kwa maeneo ya Dar es Salaam.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Benki ya CRDB imeingia mkataba wa makubaliano na Yanga kutoa kadi kwa wanachama wa klabu Yanga katika kuongeza ufanisi wa usajili na masuluhisho ya kifedha. Akizungumza wakati hafla kusaini...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Nilikuwa naomba mwongozo juu ya biashara ya kukopesha wajasiriamali wadogodogo kiwango cha fedha fulani.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Greetings !!!! Kama uliwai kusoma microbiology pale university ebu tukutane apo chini kwenye comments
1 Reactions
4 Replies
584 Views
Habari, Wanajukwaa naomba kueleweshwa kuhusu hii ishu ya Uwakala wa kusaji laini (Freelancer). Je, INALIPA? au ni kupoteza muda bila mafanikio kama ndiyo ushawahi kuona mtu kafanikiwa?
0 Reactions
2 Replies
865 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…